Search results

  1. nipeukweli

    Maneno/Sentensi/Majina Yaliyosikika Zaidi 2018

    Wanajamvi, Salaam Tunapoelekea kuumaliza mwaka huu 2018; hebu tujikumbushe maneno, sentensi ama majina yaliyotumika zaidi mwaka huu. Nitaanza; Watapata tabu sana CCTV Hajulikani alipo Maandamano Nyegezi Mo Amber Rutty Konki Korosho 26/04 Asilimia 25 Musiba ....
  2. nipeukweli

    Ni King'amuzi kipi ambacho sio "Katope"?

    Wasalaam wanajamvi. Katika ving'amuzi ambavyo nimepata uzoefu navyo, vingi niliishia kuthibitisha kuwa ni "katope" mara hali ya hewa ibadilikapo hata kidogo tu. Unakuta unatazama kitu cha maana, mara nyingine kipindi flani mubashara ila ukianza upepo flani tu au mvua kidogo tu tayaaaariiii ni...
  3. nipeukweli

    Tofauti za kiuchumi vs mapenzi na ndoa

    habari zenu wadau... hivi ni athari zipi zilizopo wapenzi wanapokuwa na tofauti za kiuchumi/kifedha? tafakari mfano huu... kuna kijana na binti wanapendana sana, yaani saaaana. kijana ni mtu aliyefanikiwa sana kifedha mapema, amesoma ana nyumba kadhaa, magari na mali zinginezo za kuhamishika...
  4. nipeukweli

    Why do men "pull away" sometimes...

    habari zenu wana MMU... bila kupoteza muda, nianze moja kwa moja na lile lililonifanya nianzishe "sredi" why do men "pull away" sometimes? kwanza what do I mean by "pull away"? kawaida unakuta watu mmeanzisha mahusiano ya kimapenzi, mambo yanakwenda vizuri tu alafu ghafla unaanza kuona...
  5. nipeukweli

    Wanafunzi wa Vyuoni na madesa/vibomu, tutafika kweli?

    habari zenu wadau wa Jukwaa hili la Elimu. leo maoni yangu yanaelekea kwa wanafunzi wa elimu ya juu na suala zima la matumizi ya madesa yanayojulikana vilevile kama vibomu. madesa hutumika sana na wanafunzi katika nyakati tofauti tofauti, mfano kuandika assignments na reports (za field work...
Back
Top Bottom