Search results

  1. M

    Nchemba anapomuita Mnyika mtoto wa kiume

    Nchemba ni janga jingine la kitaifa linaloandaliwa.........
  2. M

    Chuo cha ualimu Kinampanda-Iramba Singida hatarin kuwapoteza mkuu wa Chuo na Makamu wake

    Eee bana unanikumbusha mbali....enzi za Mangw'enyengw'enye (Mr.Shilla) akiwa ndio Head Master - Namkumbuka mwenyekiti wa shule wakati huo (1982 - 1985) - James Midigo ( Cheyo) na kundi lake - Lotah, Colourless, Jomba, na......shule ilikuwa balaa miaka hiyo, Sasa nasikia ni GIRLS SEC SCHOOL
  3. M

    Jenerali Ulimwengu: Huyo Dr.Kashilila ametumwa kutuambia bunge lisirushwe "LIVE"

    jamani kama kuna mtu alimsikiliza ..."kibonde" jana kwa jahazi, kweli utajua jamaa akili imetindia au ana njaa ya kufa mtu, wazi wazi anatetea suala la kutorusha live vipindi vya bunge na kudai dunia kote ndivyo ilivyo.....labda sijui duniani kote kwa kibonde kuna maana gani.....kama ni njaa...
  4. M

    Kumbe Waziri Anna Tibaijuka naye fisadi

    .............na ukitaka jua udhaifu we huyu mhishimiwa nenda pale wizarani ukiwa na shida hasa ghorofa ya tatu, kwa kweli huduma zao zinanuka...hata aibu hawana
  5. M

    Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

    kwa kweli hapa umenena....... HATUNA SERIKALI, NI AIBU TUPU TUU SASA.:lol:
  6. M

    Upimaji wa ardhi- ushauri jamani

    chances watabomoa tuu, maana nyie mmeingia baada ya mipango miji kutoa matumizi ya eneo husika. Kama wangewakuta nyie mkiwa hapo, hiyo ingekuwa hadithi tofauti.
  7. M

    I hate nbc bank services at coperate branch

    ...lakini kila siku wanatuambia branches zao zote ziko "online"...au ni hoja ya kuuzia tuu?..Huduma za mabenki yetu bado saana, .....na unaweza kuta hakuna hata mtu anayefuatilia ila unapigwa story tuu
  8. M

    Walimu tunarudi kazini lakini.........

    ..kwa kweli sasa kazi tunayo >>>>we have 3 years to GO, Serikali inatumia mahakama ku-survive? - Hii ni hatari kweli kweli.
Back
Top Bottom