Search results

  1. mubaraka

    Saluni za kunyoa nywele sehemu nyeti

    sas bint maringo wana ziba na nn au kuna vifaa special kutoka china wanatumia kuzibia swali la nyongeza na kama wana ziba vizuri kabisa huko kwa bibi nyau vipi kuhusu ule uwoto wa kandokando ya kile kijiji ni hayo tu naomba unijibu
  2. mubaraka

    eti hizi ndio loans walizopangiwa watu na heslb?

    ww ulikuwa wapi mkuu wakati tunatangaziwa hizo mambo au ndio ulikuwa village
  3. mubaraka

    Usipitwe na hii Thread I swear you gonna like it!!!!

    nimevutiwa na ule ubeti wako wa mwisho unao anza na i wanted her MUNGU katupa zawadi ya maisha hapa duniani zawadi ambayo haijirudii hivyo kama unampenda mtu mwambie ili moyo wako utulie na kama umemkosea mtu mwombe msamaha kabla hujatoweka duniani
  4. mubaraka

    Aibu na fedheha sijui ntajificha wapi

    pole sana mkuu ungemsubiri kwanza aje labda mpaka chooni ndio ungechukuwa uamuzi ulio chukua ww mtu wazungu bwana ni watu wa ajabu sana ww unaweza kuzani kuwa anakupenda kumbe yeye anakuona kama rafiki tu Ila mkuu tunaona kama hiki kistory ume kitunga ama umekiedit au umekiona kwenye muvi kwa...
  5. mubaraka

    Eti nipite na huko.......

    sasa ww hujawaona wale viongozi wa dini wanao fungisha ndoa za jinsia moja ww wawapi au mitandao umeanza kutumia juzi. sasa hiyo jinsia moja si inatumia mlango wa uwani huko
  6. mubaraka

    Nimeamua kugive up lakini naumia....

    kama ni kweli hayo uyasemayo basi jitahidi uwezavyo kumsahau kwani kusoma hujui picha pia? atakuumiza kichwa na atakupotezea muda kwa kifupi ni kuwa yuko na mtu anampenda sana kupita hata hivyo vijuice na chipsi unazo mpa na anavyoonekana anakutafutia sababu ya kijinga akubwage shukuru kwa...
  7. mubaraka

    Naombeni ushauri kuhusu huyu binti.

    jambaa ngoja nikushauri ki freemanson flani hivi huyo bhana kashakula sana vyako so inabidi arudishe japo kwa mbali sawa sasa ww cha kufanya nenda kwa lengo la kula kisela ila yeye asijue then ukimbie, kwani ukikimbia sasa hivi moyo utakuuma sana huko uendako kwa alivyo vila mfano tuna ona...
  8. mubaraka

    Eti nipite na huko.......

    Aiseeee hiyo ni khatari hatari hizo mambo ni noma tusijaribu kabisa kwa sababu zifuatazo ki biology; kuna bacterial ambao wanaishi mjini humo kazi zao ni kula mali zilizo kuwepo kurahisisha haja hivyo uki introduce hiyo dushelele yako huko unaweza kupata UTI na maradhi mengine. ki dini; nathani...
  9. mubaraka

    Nimshaurije mie

    mdada inabidi mtu atulie sana kuelewa huo mkasa kwani bora ungewapa majina bandia na kueza uhusiano wako na hao. Nahisi hapo ingeeleweka kidogo
  10. mubaraka

    Natembea na mtoto wa rafiki yangu pia nimezaa na mke wa mtu

    huyu jamaa anajisifia kwa alicho kifanya ndio maana tunadiriki kumkashifu kiasi hicho. kwajinsi alivyo andika sio kana kwamba anaomba ushauri ni kama anajisifia kwa upumbavu wake sasa ww ukimpa moyo utasababisha aendelee kwa anayoyafanya
  11. mubaraka

    Natembea na mtoto wa rafiki yangu pia nimezaa na mke wa mtu

    Ebwana ww unaonekana kuwa ni freemanson tena usione sifa kwa unayo yafanya. chakufanya kuanzia leo mpaka una ugua ugonjwa wa ajabu usisubutu tena kutembea na mtu asiye mke wako
  12. mubaraka

    Nisaidieni

    pole sana mdada mbaya zaidi si zani kama wakurya unawapata vizuri kwani ndio wanausalama walio wengi hapa TZ hii ina maanisha utakapo olewa jiandae na plasta box 8,bandegi box 6, spirit chupa 4 na dawa za kupunguza maumivu mchanganyiko za jumla. ila usikate tamaa kama una mpenda sanaa basi...
  13. mubaraka

    cheka kidogo basi ihhhhhi

    kuna baba mmoja alinunua ka simu kake ka kichina akawa amekaa seblen ana test test milio kwa bahaati mbaya akajamba PWII mtoto wake wa mwisho akasema Baba usiweke huo una harufu mbaya
  14. mubaraka

    Maumivu ya nafsi oooooh msaada plz

    sikia mbaba mkandamize na ww alafu mpige picha na video then mtumie kama anampenda ataacha hapohapo kisha mpe ujumbe ufuatao ukiona umependwa basi ujue kuna mjinga katemwa na ukiona umetemwa basi kuna mjanja kapendwa
  15. mubaraka

    Maumivu ya nafsi oooooh msaada plz

    aaa mbaba si umeambiwa picha zenyewe ni za kumkandamiza demu. inavyo onekana unapenda sana kuangalia vitengo unataka upate za kupigia noniiino nn?
  16. mubaraka

    Wanamke wenye matiti makubwa wana mvuto katika mapenzi?

    katika swala la mapenzi kila mtu ana mapendekezo yake mm binafsi napenda yawe round,makubwa kiasi,yasio laa na yenye mwonekano mzuri ukiona mtu ana mpenzi mwenye maTT makubwa basi anaweza akawa amependa hayo maTT au anapenda vitu vingine toka kwake
  17. mubaraka

    Wanaume naombeni jibu

    pole sana kama umepatwa na mkasa huo kwaupande wangu jibu ni kwamba swala la mapenzi liko pande zote hata wasichana hurudi tena nakuomba msamaha cha kufanya ni kabla hujawa na mahusiano na mtu yoyote muombe MUNGU akufumbulie kuhusu mtu huyo kwani naamini kabisa atakufumbulia hata mm mwenyewe...
  18. mubaraka

    Baba mtoto wake arudi kwa kishindo

    BABA Kimbia mbio utakufaaaaaa
  19. mubaraka

    Ni mke wa mtu, ni mzuri, ANANITAKA nifanyeje?

    MKUBWA Imagine ndio ww mkeo anamzimia jamaa namna hiyo ww ukienda kwa office. siunge pata kuchukia ajabu basi the same to you usile mali za watu mbona mali za umma kibao na zipo so cute than her sikuombei mabaya lalikini ukila mali ya mtu na ww sikumoja utarudi hapahapa kutuomba ushauri kuwa...
  20. mubaraka

    Mke wangu amenisaliti 'live', naombeni ushauri wenu tafadhali

    Unajua inauma sana asee. swali je ww ulishawahi kumsaliti hata mara mmoja labda hiv au bahati mbaya kama ndio basi msamehe. maranyingi ni kwamba izi mambo zinatokea kwa mfumo wa mla cha mwenzie nae chake huliwa kwani maranyingi MUNGU analipa hapahapa duniani. Ila kama ww hujawahi kumsaliti basi...
Back
Top Bottom