Search results

  1. kamonga

    Biashara chafu: Mwanafunzi Chuo Kikuu alazimishwa kurekodi picha za ngono

    Huyo kibosile anarecruit vijana aje bongo vyuoni atawapata kibao aje na lori, noah haitoshi. Vijana wa nchi wanavyo penda maisha mazuri bila logic wala kufanya kazi kwa bidii I am sure akiambiwa anapelekwa kenya atasahau hata kuwaagaa wazaziye kwa mchecheto. Vijana wasiku hizi hovyo sana sijui...
  2. kamonga

    What lawyers say about the recent burial crisis

    He is of the opinion that the police were the ones who caused the dispute to reach at the stage it had reached as should have handed the deceased body to his parents straight away. "This is a matter of common sense. The parents are ones who could have decided where and how their son should be...
  3. kamonga

    MwanaKijiji: Hili ndilo jibu la hoja ya uraia pacha!

    Thanks for this article nilikua ninatazamia sana mtu aje mbele na hoja kuhusu uraia pacha (to support au reject). Wengi naona wanaongelea hisia tu hamna hoja na wengi mno wanafocus kwa watu wanaoishi first world peke yake ambao wanauwezo wa kuwekeza TZ ata laki hawafiki!!!. kwanza hata sijui...
  4. kamonga

    Baba amuingilia bintiye kinyume cha maumbile

    Ama kweli JF credibility inapungua siku hadi siku kutokana na mamluki waliojiita nao eti great thinkers!!!Shame on us kwa kweli.Kitendo kilichofanywa kwa mtoto ni ukatili mkubwa tunaopaswa kukemewa iwe amefanya shehe, paroko,mchungaji, mganga wakienyeji au hata mzazi...This is wrong period.Ndo...
  5. kamonga

    Prof. Anna Tibaijuka anafaa kuwa Rais wa Tanzania

    I beg to differ, sijawahi kupenda anvyojibu hoja zake hata sikumoja. Nilishamsikia zaidi ya mara moja akihojiwa ktk radio ishu ya viwanja jimbo la Halima Mdee alimpelekea mawswali ya mantiki aliyajibu kwa ucahache na bila hata kufika katika mada akakrukaruka. mara akadai watu wanamchafua yaani...
  6. kamonga

    Je wajuwa siri ya hoja ya uraia wa nchi mbili?

    Naomba nitajiwe japo mifano hai ya hao wana diaspora walichokifanya hapa nyumbani? like investments kubwa au hata ndogo? au bado hawajaanza wanataka kwanza wapewe uraia(wengine waliukana wenyewe) ndo waanze kuinvest? naomba nieleimishiwe kabla sijatoa hoja yangu ya kukubali ama kukataa... je...
  7. kamonga

    Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    Ephraim Kibonde akipelekwa polisi - YouTube Mbona hili halijkaa kama ana shuti tangazo?' it seems real tena watu wanasema kabisa amaelewa. Aibu kwa mtafsiri sheria redioni kuvunja sheria. Maana nni mjuaji sana jamaa huyu.
  8. kamonga

    Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    sasa...... ninawaza wakimlaza huko selo si watamuharibia dozi yake????!!!!!! au kuna utaratibu wa huduma ya kwanza mahabusu??. So inhumane... kwi kwi kwi :peep:
  9. kamonga

    Mch. Rwakatare avunjiwa nyumba

    dah kwani ilikua impromptu? hata wangeokoa mabati jamani, hao mainjinia hata sio wachumi wangemwacha aokoe japo mali kidogo.
  10. kamonga

    Ridhwani: Kikwete hana ugomvi na Lowassa

    Ridhiwani ni BLUBBER MOUTH yaani yeye anaongea hata sidhani kama anakjua repercussion ya maneno yake. Mara katoa tamko la yanga mara urafiki wa baba yake na watu wengine mara chadema,..... huwezi kudhani huyu ni mwanasheria jamani..... people look bright until they open their mouths...Hakuna mtu...
  11. kamonga

    Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

    Du its very sad!!! Usalama wa Taifa, polisi amkeni jamani acheni kuliwazwa na nyimbo za Amani na hello hello Tanzania. :A S-eek::A S-eek: uhafadhi wa maiti katika mifuko namna hii inaonesha wazi its a plaaned execution::::
  12. kamonga

    Anayetuhumiwa kumchoma kwa Pasi Msichana wa kazi aachiwa kwa dhamana

    Yaani nimeshangaa sana na haya yafuatayo 1. Hivi watu wana roho gani kwenda kumdhamini Amina Maige? yule aliyemla nyama mfanyakazi/ ndugu yake mwenyewe. Inawezekana vipi ukamdhamini mtu mwehu kama Amina? 2. Eti utetezi wa mahakama ni walikataa kumtoa kwa kuhofia maisha yake kwa kuwa kesi hio...
  13. kamonga

    Florah Mbasha na mumewe "WAPATANA"

    Dear mbasha, finally amerudi!!! ushauri: SLEEP WITH ATLEAST ONE EYE OPEN!!! if there was a "this time" there will be a "next time" trust me!!!!
  14. kamonga

    Jina la Diamond laandikwa kwenye Hollywood Walk of Fame

    We kijana mbona muongo hivyo? au ni mshamba?? tukusamehe kwa kupotosha jamii.?? Mschewxx your ignorance is beyond comparison. cheap publicity from an even cheaper PA. Diamond atadidimia akiendelea kukumbatia watu wa design yako...:angry:
  15. kamonga

    Barabara ya Ifakara

    Awije!!! Mkuu umeandika kizungu sana mpaka nimepasahau kunaitwa siginali cjui kama inamaana ya "signal" ya malkia Eliza
  16. kamonga

    Mbasha: Gwajima niachie mke wangu (gazeti la uwazi)

    unganisha na hii mkuu FLORA MBASHA: MUME WANGU AMETISHIA KUNIUA - YouTube
  17. kamonga

    Must read: Ufisadi na Uchafu wa kapt. John Komba kwa wapiga kura wake

    Mdau nashukuru kwa ufafanuzi nilikua najiuliza zile hela zimefanyia nini? nashukuru sikuahidi katika harambee ya kijinga akamtumia Mh mstaafu akijua atawavuta watu wengi kuja. Ndo maan hatuendelei Nyasa kwetu!!!!! Mzee wa msituni.......Mzee wa selfie ...............PLEASE BRING BACK OUR GIRLS!!!!
  18. kamonga

    Kuambiana azikwa na maswali magumu 5

    Mdau get your facts straight. Janeth alioana na Marehemu enzi hizo na Stara aliolewaga na watoto juu. Wamekutana juzi kati na kuambiana na wakaishi pamoja na hata msiba alitaka uwe kwake mkewe akaweka ngumu na watu pia coz ni ndoa ya kikristu haina talaka so ni kweli pole ya Janeth maana wakina...
  19. kamonga

    Mbunge std. 7 anapowasilisha bajeti ya vyuo vikuu bungeni: ONLY IN TANZANIA

    utakua hujaelewa mada tajwa prof maji marefu, ni kuhusu wewe uliekimbia umande halafu ukaongelee matatizo ya vyuo vikuu... kama nao hao wenzio pia ni std 7 basi hata wao pia hawapaswi. Umeelewa prof???
  20. kamonga

    Mbunge std. 7 anapowasilisha bajeti ya vyuo vikuu bungeni: ONLY IN TANZANIA

    Tunajua kwamba Prof maji marefu anayo eilmu akhera ila hana elimu dunia hivyo hawezi kuwasemea matatizo ya elimu ya sekondari au vyouni ili hali yeye alikimbia umande. angeongelea matatizo ya elimu ya uganga angekua amepatia tena sana. just common sense...:israel::der:
Back
Top Bottom