Search results

  1. 7

    Kosa la Sheikh Faridi ni nini? Ponda ana kosa gani? BAKWATA imefanya nini Kuwatetea so far?

    Wakuu poleni na mapambano na kupambania maslahi ya wengi/taifa. Kuhusiana na uzi huu, nadhani swala la msingi lisiwe kujadili issues based on our religious and/or ethnic backgrounds. Ila iwe on basic human rights, sheria inasemaje juu ya makosa wanayohodhiwa nayo. Utaratibu wa dhamana unasemaje...
  2. 7

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Ndugu yangu Mtoi, nimesoma kwa makini sana mawazo yako. Nakubaliana nawe kwa karibu juu ya mambo mengi kati ya hayo. Inapendeza sana pale unapotoka nje ya box na kuuona ulimwengu katika rangi zake halisi baada ya kusimuliwa na walioona na kupotoshwa. Ukweli ni kwamba nchi hii itabaki kuwa yetu...
  3. 7

    Milioni 300 za mtandao zatumika kummaliza Makongoro Nyerere; kisa...

    Names will keep you free.Open up tuipate hii kwa undani
  4. 7

    Prof. Maghembe adhulumiwa mali ya bilioni !

    Mwosha huoshwa!!!!
  5. 7

    Masasi wasimamisha zoezi la sensa tangu jana

    Duh! Aisee, Mbesa za walipa kodi hapa zimeungua. Kila kona problems.
  6. 7

    A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

    Jamani mwanabodi mmjoa atueleze kwa undani halai ya ndugu yetu kwa undani na namana ya kusidia pale itakapolazimu kama ilivyopendekezwa. Nawakilisha
  7. 7

    Chadema wananchi wanawaandalia hukumu nzito

    This is a wake up call. Lots of sense hii!
  8. 7

    Jamani huyu mnyarwanda naye ni mteule wa Blandina Nyoni!

    Kuwa na damu ya Rwanda sio hoja....wenye damu ya Tanzania kama wale unawajua wewe wametuumiza sana na utanzania wao. :A S 13::A S 13:
  9. 7

    Tanzania loses battle over Serengeti road project

    :lock1: Hapa naanza kuelewa ile mamabo inaitwa uhuru wa mahakama. We surely should okoa our ecosystem`s integrity kwa gharama yeyote ile. Yours for a better, greener kesho.
  10. 7

    Pinda awasimamisha katibu mkuu wa wizara ya afya na mganga mkuu

    How i like yolur observations.....lol?
  11. 7

    Pinda awasimamisha katibu mkuu wa wizara ya afya na mganga mkuu

    I dought this. Yeye anawezaje kumsimamisha K/Mkuu?
  12. 7

    Mwakyembe anawashukuru nyote

    Mungu amponye na kumrejeshea afya yake iliyopokwa.
  13. 7

    NCCR Mageuzi yamfukuza uanachama Kafulila na wenzake!

    Pole kaka. Rudi nyumbani CHADEMA ule asali na neema za nchi. Jivue gamba, omba msamaha na uonyeshe umebadilika. karibu
  14. 7

    Dr. Azaveli Lwaitama: Hakuna Tanganyika!

    Kuwepo au kutokuwepo kutategemea pia unatafsiri vipi na reference yako ni nini. It is a question of own perception hapa. Kwa ujumla wake, Tanzanyika ya Nyerere iliisha.
  15. 7

    Dr. Azaveli Lwaitama: Hakuna Tanganyika!

    Kuwepo au kutokuwepo kutategemea pia unatafsiri vipi na reference yako ni nini. It is a question of own perception hapa. Kwa ujumla wake, Tanzanyika ya Nyerere iliisha.
  16. 7

    Maandamano nchi nzima yatangazwa baada ya bunge kukubali muswada wa sheria wa marekebisho ya katiba

    Nchi hii itabakia kuwa ya watanzania. Magamba wake chonjo
  17. 7

    Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

    What a shame? I thought busara zinaambatana na mnvi? i was fooled na zile hekaya za utotoni. I will have to protest this kwa bibi yangu. Poor Lowassa/nation. asante mkuu Invisible kwa taarifa. Wengine tuko mashambami tunapalilia machugwa yetu hapa.
  18. 7

    Lowassa kuongea na vyombo vya habari

    Asante mkuu. Naisaka hiyo thread ya Invisible. Yadumu Magamba ya Lowassa
Back
Top Bottom