Haya makanisa yetu ya lilokole hapa TZ, yana tofauti gani na kanisa la huyo Paul Mackenzie wa Kenya. Yule aliyesababisha watu kufariki Moshi kwa ajili ya kukanyaga mafuta alichukuliwa hatua gani?
Waafrika ni wanafiki sana na ndio maana wakoloni walitutawala kirahisi na kituuza utumwani.
Yanayotikea Belarus leo, viongozi wengi wa nchi jirani wanakemea na kutaka uchaguzi huru na haki ufanyike na maamuzi ya wananchi walio wengi yaheshimiwe.
Tuje hapa Afrika bara la wanafiki, kiongozi...
Nawaza tu!
1. Kama hali ya Corona ikiendelea hivi with social distancing, kutakua na shamra shamra za kampeini nchi nzima?
2. Hali ikiendelea hivi wanachi watajitokeza kupiga kura?
3. Gonjwa hili likiendelea mpaka uchanguzi KUTAKUA NA WAANGALIZI WA KIMATAIFA WATAKAO KUJA NCHINI?
Na kama...
Raisi wa Jamhuri ya Kenya kapunguza mshahara wake kwa 80%. Kapunguza kodi kupunguza makali ya kiuchumi yaliyosababishwa na Corona. US 2 trillions $ kusaidia uchumi na watu wake. Je, sisi waTz tunasaidiwa nini na serikali yetu tajiri.
1. Inakusanya kodi kuliko awamu zote.
2. Imefukuza kazi...
Nimenunua kifurushi cha mwezi mzima kuanzi tarehe 14 February, nilipata GB kama sijakosea 19GB, mpaka tarahe 29 asubuhi bado nilikuwa na salio la GB 16.3.
Kifurushi changu kinaishia tarehe 15 March.
Jana saa kumi na mbili jioni napata sms hii kutoka VODA “Your TSH35000 bundle balance has...
Kuna kauli zinatolewa na UVCCM za kuua watu, this is HATE SPEACH!!! kwa nini hamchukui hatua?. Mimi nadocument hizi clips zote na natarajia kuziwakilisha kwa Fatou Bensouda kabla ya uchaguzi mkuu October 2020.
UPDATE: Katibu Mkuu wa CCM amekemea kauli hizi > Dr Bashiru aonya...
Mbona sijawahi sikia mkuu wa wilaya ya Kisarawe kamweka ndani mtu masaa 48, kwa amri ya mkuu wa Wilaya.
Niseme ukweli siwapendi wakuu wa wilaya wengi na CCM kwa ujumla, lakini huyu mkuu wa wilaya ya Kisarawe anafanya kazi kwa ustadi sana na ana utu kwa watu wote.
Jamani kwa wale mnaotumia VODA, mara ghafla week hii gharama za kununulia vifurushi vya internet bundle zimepanda. Ile bundle ya week ya 5000 Tshs kwa 1gb kwa sasa ni 800mb. JE VODA WAMEAMUA KUTUKOMOA WATUMIAJI ILI KUFIDIA GHARAMA ZA MALIPO WALIYOLAZIMISWA KULIPA ili kumaliza kesi?
Ndugu wanajanvi wenzanu, napendekeza Bunge la JMT litunge sheria ya kumwamrisha CAG kukagua matumizi ya pesa za makanisa na taasisi za dini zote.
Sababu
- hizi ni public funds, kwa sababu ni sadaka na michango ya waumini, fungu la kumi ni kodi. (Hawa wenye makanisa watasema ni toleo kwa mungu...
WanaJF wenzangu naomba kwa wale ambao hamjawahi kuitazama filamu hii kwa jina la “THE ANIMAL FARM, toleo la mwaka 1999. Tumia mda wako kidogo weekend hii kuitazama then, kwa wale wachambuzi wa mambo tuijadili hapa.
Nawakilisha.
Jamani mwenzenu nina shauku kubwa ya kupata majibu ya maswali yangu haya; niliuliza mwaka jana (2017), na leo narudia tena kwa mara ya mwisho.
Raisi wetu mpendwa alivyokua anapiga kampeni ya kuwania uraisi mwaka 2015, alitangaza vita kukabiliana na haya yafuatayo:-
1. Ufisadi.
2. Matumizi...
Hivi haki yetu watembea kwa miguu haipo tena hapa Dar-es-Salaam, na Tanzania kwa ujumla?
Leo nilitembelea maaeneo ya Kariakoo hasa barabara ya msimbazi, pedestrian walk zote zimegeuka pahala pa kupanga bidhaa za wamachinga. Inabidi abiria wa pishane na magari kwenye barabara ya magari. Hali ni...
Wanachi kuiogopa serikali, ujue hapo kuna tyranny, na uongonzi wa kidictator.
Serikali kuwaogopa wanachi, hapa kuna democracy, mamlaka yanatoka kwa wananchi. Serikali inawaheshimu wananchi wote kwa sababu inajua wanaweza kuitoa madarakani kwa kutumia sanduku la kura.
Ya Muhimu kwa mkuu
1. Lugumi
2. Magari
3. Uniforms
4.Vyeo
5. Ajali barabarani
6.Wafungwa hawafanyi kazi
7.NGOs
8. Work Permits
....
By the way, lakini hayana umuhimu kwake.
Watu kupotea, Lisu kupigwa risasi, maiti kuokotwa coco beach n.k
Kwa wale wajuzi na wabobevu wa KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, naomba mtujuze, Je Rais anao uwezo kama ikimpendeza kumfukuza kazi makamu wake wa Rais na kumchangua mwingine kama afanyavyo kwa mawaziri?
The Greek word for “truth” is aletheia, which literally means to “un-hide” or “hiding nothing.” It conveys the thought that truth is always there, always open and available for all to see, with nothing being hidden or obscured. The Hebrew word for “truth” is emeth, which means “firmness,”...
Leo nimepata ujumbe wa SMS kwamba kadi yangu imefanya muamala kwenye ATM huko India, kucheki balance Laki tano zimeondoka.
Wamajamvi wenzangu, usalama wa fedha zetu ni mzuri kweli, kwenye mabank yetu?
Au tuanze kuweka fedha majumbani kwenye mchago kama zamani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.