Waganga wa siku hizi matapeli tu kuna kipindi niliibiwa nikashauriwa nilete mtaalamu alichimbia kuku weusi kila kona ya uwanja na katikati ya uwanja hadi leo majizi yanaishi nilikuja kuwakamata kwa mfumo mwingine kabisa.
Kuhusu namba ya king'amuzi simple sana wapigie kampuni ya hicho king'amuzi utawatajia namba ya simu uliyo sajilia king'amuzi watakupa namba ya king'amuzi chako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.