Search results

  1. M

    Bajeti Mbadala Ya Upinzani 2008/2009.

    Ni kweli Fidel80, unachokisema ni sahihi.Na inaonekana wapinzani kweli wanawazo mbadala katika kuikomboa nchi hii.Vipaumbele vyao ndio hasa VIMENIKOSHA ROHO.
  2. M

    Bajeti Mbadala Ya Upinzani 2008/2009.

    Ni kweli maisha hayajaboreka,watu tunakufa na njaa kwa sababu ya watu wachache kula na kusaza wakiwa katika makasri yao huku wakidai ni vijisenti tu kwa level zao.
  3. M

    Vyama vya siasa feki Tanzania

    wewe unafikiri uko sahihi?
  4. M

    Vyama vya siasa feki Tanzania

    Amefisadi nini wewe Mapambano?
  5. M

    Vyama vya siasa feki Tanzania

    ccm ni genge la wahuni tu.
  6. M

    Anakaribia kupasuka kwa pesa za ufisadi

    vyote vya dunia hii wataviacha,heri sisi tunyanyaswao labda Mungu atatuonea huruma
  7. M

    US Naval Bases In Africa (AFRICOM): Sababu, Pingamizi, Faida na Hasara

    Shaaaaaaaaaaaaaame!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.Vipi,kuhusu,mafisadi?.Mbona,hamkai,kuwajadili?.Acheni,ubaguzi,nyie,wanazuoni.Jadilini,kwanza,mafisadi,kwenye,madini,kama,CHENGE.
  8. M

    All about Edward Hosea, Mwanyika

    Hosea anamtatizo ya Ubongo nafikiri. Hauwezi ukaongea maneno kama hayo, I doubt on his capacity to serve the nation in that post.He has shown that he is unfit for the post. HE MUST GO AND LET US RUN THE AGENCY, TECHNOLOGICALLY.Thanks for your comment.
  9. M

    Baraza Jipya La Mawaziri hili hapa

    chenge mh????????????????
  10. M

    Baraza Dogo la Mawaziri na Muundo wa Wizara

    Mh Ukweliii, unajua hata huyu aliyekua waziri wa ajira,kazi na maendeleo ya vijana hatakiwi kurudi kwani alichowafanyia wafanyakazi Tz sio kizuri.
  11. M

    Baraza Dogo la Mawaziri na Muundo wa Wizara

    Aisee Mnyika,pongezi nyingi zikufikie kwakua umesema kitu ambacho hata mimi nilikifikiria.Utitiri wa mawaziri sio uwezo suala ni uwezo wa hao walioteuliwa kutatua matatizo ya watanzania. CHONDE JK,PUNGUZA HILO BARAZA LIJALO.
  12. M

    JK achimba mkwara MAWAZIRI wapya..

    Acha kudanganya watu JK bado anahangaika na uteuzi.
Back
Top Bottom