Search results

  1. LESIRIAMU

    Ziara ya Paul Makonda imeibua tuhuma mbalimbali dhidi ya Jeshi la Polisi

    Kwa tunaofuatilia mikutano ya mwenezi wa CCM ndugu Makonda, tutakubaliana kuna shida kubwa sana kwenye Jeshi la Polisi. Kumekuwa na malalamiko ya watu kuporwa pesa na polisi, kumekuwa na shutuma za watu kupotea wakiwa mikononi mwa polisi. Tumesikia rushwa ndani ya jeshi la polisi. Tume sikia...
  2. LESIRIAMU

    CCM hapa ndipo mnapoharibu kufunga barabara ili viongozi wenu wapite

    Nimeshangaa sana leo. Hapa Arusha kuna ujio wa Mwenezi wa CCM Taifa bwana Makonda. Cha kushangaza barabara zimefungwa. Watu wanalazimishwa kufunga biashara zao ati waka msikilize Makonda. Najiuliza, kama kila kiongozi akifika mahali biashara na barabara zina fungwa, je maendeleo yata patikana...
  3. LESIRIAMU

    Polisi jitafakarini

    Tunapo sema idara polisi ndio ina enddleza uhaini nchini huwa hatu elewani Huyu jamaa alie kamatwa ni askari wa usalama barabarani Arusha C MISAKO NA OPERESHENI /MAFANIKIO MBU/IR/78/2024 KOSA: KUSAFIRISHA MADAWA YA KULEVYA AINA YA MIRUNGI MNAMO TAREHE 22/01/2024 MAJIRA YA SAA 03:00HRS HUKO...
  4. LESIRIAMU

    Jiji la Arusha lime zidi uchafu

    Sote tuna jua hali halisi ya hizi mvua zinazo nyesha. Kata ya Osunyai iliyoko jiji la Arusha imekuwa chafu kiasi cha kusikitisha. Mkandarasi alie pewa kazi ya kusomba taka amekuwa ana acha taka zaidi ya wiki tatu bila kuzi chukua. Watoto wana chezea taka. Ikitokea kipindupindu tuta sikia...
  5. LESIRIAMU

    Mwigulu acha siasa za maji taka

    Habari. Nina news za Mwigulu ya kuandika jamii forum. Iko hivi: Kwa kawaida mbunge ni kiongozi ambaye anatakiwa kuwa mstari wa mbele kuvutia uwekezaji jimboni kwake. Lakini Katika hali ya kustaajabisha sana, mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi yeye anapinga wawekezaji wakati yeye hafanyi...
  6. LESIRIAMU

    Chama cha Mapinduzi (CCM) ni chama cha ajabu sana

    Thomas Ole Sabaya leo Jumatatu Desemba 4, 2023 ameibuka mshindi katika nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha baada ya kupata kura 463 na kuwazidi wapinzani wake watatu. Sabaya aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti ambae pia ni baba wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya...
  7. LESIRIAMU

    Dkt. John Pima aliyekuwa DED Arusha na wenzake wahukumiwa kifungo cha miaka 20 jela

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewahukumu aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima na wenzake wawili kifungo cha miaka 20 jela baada ya kukutwa na makosa ya uhujumu uchumi. Hukumu hiyo imetolewa leo Alhamisi Agost 31, 2023 na Hakimu Seraphin Nsana, katika kesi namba...
  8. LESIRIAMU

    Hatimae Mwigulu aambiwa kauli zake sio sahihi

    Juzi bwana Mwigulu, aka rais wa mawe, aliomba mwongozo kwa Naibu spika kwa kusema hajawahi kusema wabunge wajadili uganga wa kienyeji, na uchumi aachiwe yeye kwa maana ni profession yake. Leo Mh spika kasema kwenye kumbukumbu za bunge ni kweli rais wa mawe aliongea hayo maneno. Na kwamba...
  9. LESIRIAMU

    Hivi mmeshindwa kuondoa rushwa ya trafiki Arusha?

    Nimekuwa nikilaani sana rushwa kwa kikosi cha usalama barabarani mkoani Arusha. Najiuliza, hivi haiwezekani hili tatizo hapa Arusha kuwa historia? Leo jumapili kwa mfano, ukitokea Morombo kwenda mjini, utakutana askari watatu pale Ffu. Mbauda wako sita, ukiangalia kushoto hapo Mbauda wako...
  10. LESIRIAMU

    RTO Arusha awarudisha Trafiki barabarani

    Wadau, tutakumbuka, hivi karibuni Katibu Mkuu wa Chama Tawala CCM. Mh Kinana alitoa ushauri kwa jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani, kupunguza usumbufu barabara za mjini maana ilikuwa ina chelewesha shuhhuli nyingi za uzalishaji. Wazo lilipokewllewa vyema na polisi. Na kweli watu...
  11. LESIRIAMU

    RPC/RTO Arusha mfuatilieni huyu trafiki

    Kuna askari wa usalama barabarani Arusha ambae nadhani ana hudumu wilaya ya Kipolisi Murient. Kwa jina ni Raymond, huyu askari amefanya mradi kwenye magari ya watu. Mara nyingi huwa yuko peke yake barabarani. Ili aweze kukamua wenye magari. Huwa ana penda kuhama hama, utamkuta Morombo ffu...
  12. LESIRIAMU

    Shule ya Turkish Maarif School Arusha ni tatizo

    Shule zote nchini zimefunguliwa jana, hii shule iko Ngaramtoni Arusha, inamilikiwa na Waturuki. Viongozi wa shule wanawarudisha watoto kisa ni ada. Kuna watoto wametoka Manyara wamerudishiwa getini. Wizara ya Elimu angalieni hii shule. Angalieni dhima ya mnaowapa vibali vya kuendesha shughuli...
  13. LESIRIAMU

    RPC Singida fuatilia uonevu polisi Kiomboi

    UPDATE ............... Baada ya uzi huu kuwekwa hapa jamvini jana. Katibu wa mbunge alikwenda polisi kumuona OCD. Taarifa ni kwamba OCD ameahidi kuacha kutumia maaskari wake kuwanyanyasa raia. Taarifa ya asubuhi hii ni kwamba mmoja kati ya maaskari walio kuwa wana taka hongo ambae ndie...
  14. LESIRIAMU

    Kukosekana kwa huduma CRDB Arusha, kuna tatizo gani?

    Le 07/03/2022 tangu asubuhi banki ya CRDB mkoani Arusha hakuna huduma za kutoa pesa. Shughuli za watu zimesimama bila taarifa ya ni kitu gani kina endelea. Mwenye taarifa za huu uzembe wa huduma atupe taarifa plz.
  15. LESIRIAMU

    Rais Samia, unda tume kuchunguza Polisi

    Ni jambo lisilo na shaka kwamba kwa yanayo endelea mahakamani kuhusu kesi ya Mbowe na wenzake kuna jambo nyuma ya pazia. Niseme kwa mtiririko wa ushahidi wa upande wa utetezi, polisi hawakutumia intelijensia yao kwenye huu ukamataji hadi kuwafikisha mahakamani. Tumeona watuhumiwa walivyo teswa...
  16. LESIRIAMU

    Maneno sahihi ya kiongozi

    Ccm jifunzeni kutoka kwa rais mteule wa Zambia RAIS MTEULE WA ZAMBIA Nataka tuonyeshe tofauti kati Yetu na wao Nilikamatwa mara 15 na kuwekwa ndani. nilipigwa mabomu Habari za mikutano Yangu hazikutangazwa na TV YA TAIFA Ili kuonyesha kuwa sisi ni Tofauti na wao - Nawasamehe wote -Rais...
  17. LESIRIAMU

    Moshi: Waziri Simbachawene alionya Jeshi la Polisi kubambikiza watu kesi

    MOSHI: WAZIRI SIMBACHAWENE AMELIONYA JESHI LA POLISI KUBAMBIKIZA WATU KESI. #Moshi: Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amelionya Jeshi la Polisi kwa tabia za baadhi ya askari wake kubambika watu kesi, huku pia akitaka mafunzo ya awali ya askari yaongezwe kutoka miezi tisa hadi 12 ili...
  18. LESIRIAMU

    Waziri Mkuu atatuambia nini tena TANESCO?

    Siku chache zilizo pita tulipata shida ya LUKU kununua umeme mitandaoni. Mh. Waziri mkuu akaenda Tanesco na kuondoka na wataalam wa IT. Tulidhani suluhisho limepatikana. Leo tena kuna shida ya manunuzi ya umeme mtandaoni. Nimepiga simu huduma kwa wateja wana sema kuna tatizo. Mara hii Mh...
  19. LESIRIAMU

    Lazaro Nyalandu jibu hizi tuhuma

    PDF la Lazaro _ Part 1. Kwa kuwa Mh Lazaro umerudi CCM, na umerudi kwa kuomba Msamaha, kwa dhati kabisa ukapokelewa pale kwenye mkutano mkuu maalumu wa kumchagua Mwenyekiti wa CCM Taifa, na kwa maelezo yako ni kwamba umeomba radhi kwa uongozi wa CCM na ndo maana umepokelewa. Sawa, naomba hizi...
  20. LESIRIAMU

    Sabaya, ukivuliwa nguo chutama

    Huu ujinga unao tumia watu wakuoshe haita saidia. Mh. Rais anakujua kuliko unavyo dhani, na aliwah kukupa onyo ukadharau kwa kiburi cha jiwe. Mkuu wa mkoa alikuonya ukawa unapandshia mabega kufanya maamuzi bila kuomba ridhaa yake. Mambo yote yanayoandikwa juu yako ni marudio. Yaliandikwa tangu...
Back
Top Bottom