Search results

  1. LESIRIAMU

    Fatma Karume arudishiwa Uwakili

    Hatuja wahi kuwa na mwana sheria wa serikali wa ajabu kama Feleshi.
  2. LESIRIAMU

    Freeman Mbowe adhalilika, Wananchi wamkimbia uwanjani

    Hii hadithi yake ina fanana na alfu lela ulela. Haina kichwa wala miguu Umbea, uongo na uzandiki. Mimi nilikuwepo kwenye mikutano ya Mbowe. Mapokeo was wonderful. Msubirini 2025. Mafue amejaribu kuweka mikutano ameshindwa wewe una leta upuuzi hapa?
  3. LESIRIAMU

    Kamishna wa Uhamiaji Manyara amejibu hoja Kisomi; ni kweli katika macho ya sheria gari na bendera siyo mali ya CCM; CHADEMA kuweni makini na hii move

    Watuambie gari ni mali ya nani? Si iko registered? Au tuingie wenyewe mitandaoni? Maaskari wamekuwa chawa wa Ccm
  4. LESIRIAMU

    Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

    Kwa Ccm hakuna la kushangaa hapo. Ni mambo ya kawaida
  5. LESIRIAMU

    Alichobakiza Mbowe sasa hivi ni kupotosha na kugombanisha serikali na wananchi, hana lingine

    Asubiri tumuwekee pay slip ya mshahara wa mbunge. Mbowe habahatishi anapo ongea. Huwa ana uhakika na data zake. Yaani Ccm bila aibu wana sema hata 13m hazija fika, wakati Mbowe ana sema ndio mshahara waloo kuwa wana pata kipindi wako bungeni? Ccm imesha tjona Watanzania ni viazi buruga.
  6. LESIRIAMU

    Mrisho Gambo: Ninao ushahidi wa watu waliotapeliwa Magari na Godbless Lema

    Na yeye ana daiwa 40m za chama cha boda boda Arusha.
  7. LESIRIAMU

    Mrisho Gambo: Ninao ushahidi wa watu waliotapeliwa Magari na Godbless Lema

    Nili wahi kusema kazi inayo mfaa Gambo ni kuuza vijora Huyu jamaa ana penda sana umbea
  8. LESIRIAMU

    Mbunge wa Viti Maalumu aolewa na Maulid Kitenge

    Mke mwenza??? Ila rekebisha content yako. Chadema hawana wabunge wa viti maalum. Huyo ni mbunge wa tume ya uchaguzi na spika Tulia Ackson. Waki lindwa na mahakama.
  9. LESIRIAMU

    Wabunge waliojiongezea mshahara hawajamchangia Rais Samia fomu. Walimu wanao lipwa pesa ya pipi wanamchangia fomu

    Kama kawaida ya Ccm, Bunge lime kanusha hawaja jiongezea mishaha. Ila hawaja sema wana lipwa shilingi ngapi.
  10. LESIRIAMU

    Tetesi: Mwinyi kugombea Urais wa JMT mwaka 2025 makamu wake kuwa Dkt. Titus Mlengeya Kamani

    Hii Tanganyika mme ifanye ya kisultani. Kwamba ya kurithishana?
  11. LESIRIAMU

    Sakata la Jerry Silaa kuvunja majumba ya watu nchi nzima: Johnson Mahululu aidai serikali ya Tanzania bilioni 20

    Na kiwanja amesha kigawa. Uki fuatilia vizuri una weza kuta huyu dada ana uhusiano na Waziri. Huwezi vunja nyumba ya mtu bila notisi wala kumsikiliza.
  12. LESIRIAMU

    Sakata la Jerry Silaa kuvunja majumba ya watu nchi nzima: Johnson Mahululu aidai serikali ya Tanzania bilioni 20

    Ina semekana Johnson yuko selo ya polisi ostabey leo siku ya tano bila dhamana wala mawakili na ndugu zake kuruhusiwa kumuona. Pia kuna tetesi za kumfungulia kesi ya uhujumu uchumi.
  13. LESIRIAMU

    Mtwara: Msimamizi wa Uchaguzi mdogo kata ya Chipuputa akamatwa na kura feki, Polisi wamlinda

    Halafu watumishi waki iba pesa za umma mna kuwa wakali, wakati nyie ndio mna wafundisha wizi
  14. LESIRIAMU

    Baada ya Hayati Magufuli kuombewa Chato, Mwanza nao wanaandaa maombi, binafsi naona haya yanayofanyika baada ya Chato yako kimkakati

    Hata aombewe wapi!! Kama hamta sema nanibali mpiga Lissu risasi na kuwapoteza kina Ben, basi hatakaa aione pepo. Atakuwa kuni maisha yake yote huko ahera
  15. LESIRIAMU

    Wananchi wa Majimbo haya mmeshaandaa wagombea?

    Majimbo yafuatayo hakuna wabunge hadi ila tume ya uchaguzi haiwezi kufanya chochote hadi 2025 1. Mbeya Mjini 2. Moshi Mjini 3. Kibamba 4. Kawe 5. Nyamagana 6. Ilemela 7. Shinyanga town 8. Kaliua 9. Urambo 10. Sikonge 11. Tabora mjini 12. Majimbo yote ya Mtwara 14. Majimbo yote ya Singida 15...
  16. LESIRIAMU

    Mwigulu Nchemba-Out of touch. Anasema hakuna wizi serikalini, Rais ampa mfano wa mtandao wa wizi Mbeya

    Mwigulu ni master mind wa huo wizi. Pesa haiwezi toka hazina kwenda wilayani bila waziri kujua. Hivyo yatokeayo yote jamaa ndie huagiza Ila Mama nae ana zengua. Sasa ana tuambia sisi tufanyeje? Maana yeye ana wenye kumpa taarifa wengi kuliko sisi.
  17. LESIRIAMU

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Usi laumu Juzi kasem alitamani kiwa air hostess. Na ndilo zilipo ndoto zake. Na ukiangalia anavyo safiri ni kwamba N timiza ndoto zaks.
  18. LESIRIAMU

    Rais Samia afanya Mabadiliko madogo ya uongozi Serikalini, amteua Daniel Chongolo kuwa Mkuu wa mkoa wa Songwe

    Hawa ni wadogo sana kwenye mitandao system. Mbona hawagusi hawa mawaziri wanao lalamikiwa? Au hupasiana pande?
  19. LESIRIAMU

    Yuko wapi Daniel Chongolo aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM?

    Mwamba kaukwaa ukuu wa mkoa
Back
Top Bottom