Sema ndg yangu shukuru,nachukua fursa hii kukupa pole kwa mtihani uliokukumba kwa kweli ni jambo zito kwa maana ya kua,kupenda au kupendwa ni involuntary action ambayo huwez ielezea maana huwa inakuja tu from no where,any way ni daras refu kidogo,ngoja niingie ktk ushaur wangu,hizi hisia zipo'...
Mm binafs naamin kila mtu anatabia yake,ila kwa kias fulan kama familia ina tabia chafu lazima kuna mmoja huwa anarith, sasa nachelea mtu asije akaoa yule ambaye ndo karith utakoma!,ila tunapochagua mashamba yetu ya kuweka mbegu ni bora tukaisoma vizur cv ya wakwe,wahenga wanasema lisemwalo lipo...
c unajua kn watu wengine mashoga halaf wanajifanya rijal?
na huyo msela kamwambia mke wake, yy (mume) akiwa na hamu ndo ataenda nje ila mkewe jamaa atakuja hapo home na jamaa atakaa sebuleni, mm naoana kamuolea mtu,ila ila swal lingine nawaachia JF kwa msaada zaid.
hayo mawazo yako yanaonesha ni kwa kias gan una moyo ila ndg yangu mume wako na awe kama deme heshima itakuwepo kwel?
mawazo yangu mm wangetalikiana maana ni aibu kwa wote na ktindo cha laana
Dada mmoja alikua na mchumba wake ambaye walipendana sana walikaa ktk maisha ya uchumba kwa kipind kirefu bila ya kuvunja amri ya 6,lakin mtaani kulikua na fununu kua jamaa si rizik,ila yule dada alikataa na kusema ya kua hayo maneno c ya kwel bali wanamzulia,bahat nzur ndoa inafungwa ck...
Kuna mmbongo mmoja alienda ulaya na kwa bahat mbaya kingereza alikua hajui ila akapata rafik mzungu aliyeitwa Mlumbwende,ck moja walienda kuoga na huyo rafik yake kwa bahat mbaya rafik yake mzungu akamezwa na papa,akaja mzungu akamuuliza yule mmbongo kama ifuatavyo:
mzungu: where is mr...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.