Search results

  1. M

    Kubadili matokeo IV 2012: Prof. Mukandala aivimbia serikali!

    You are unbelievably Stupid!! Yaani ili watoto "wenu" wasome unaona bora kuwadanganya wamepata C kumbe actually ni F!!! Bora waende wenye F wakijijua ili wakaze msuli, Stupid!
  2. M

    Dr. A. Paurine: Majibu kwa Chris Lukosi na propaganda zake dhidi ya CHADEMA

    Halafu tatizo mgonjwa hajitambui kabisa!! Dr. Kasema hapo sijui ana disorder gani ya kumfanya aji mwambafai kuonyesha mjuzi, mjanja mwenye influence etc. Lenyewwe linakurupuka post ya kwanza kututangazia kaenda wapi sijui kibiashara! Kha! disorder kubwa sana kutuwekea mbwembwe zako za kimaaisha!
  3. M

    Tamko la Maaskofu kuhusu uchinjaji na hali ya mwelekeo wa kisiasa nchini

    Kati ya watu humu JF ambao siwaelewi wewe ni moja wao. 70% unamwaga ----- then ukiibuka unatoa neno zito la suluhu kabisaaaa! huwa unakusudia au?
  4. M

    Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    LIBOLO -ANGOLA mkundulu huko kondoa
  5. M

    Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

    Personally kinachonitisha ni jinsi gani WaTZ tunavyoweza kupoteza target. Hivi kweli CDM, chama kisichokuwa na dola kina weza kutengeza Plot kama ilivoainishwa kwenye You tube na kuitekeleza, tena kwa kipindi kirefu hivyo wakati kuna watu tumewapa dola, madaraka na kila aina ya resource...
  6. M

    Hemed awaangukia mashabiki lakini.......

    Mitanzania bwana itaendelea kujikomba kwa hao wanaodhani mabwana. Jaji gani anaeponda kiasi hicho!!? Hemed kafanya sahihi kabisa kumpa ian ALICHOTOA. Mingurumbembe mingine inamuoana ian mungu! Yule mkulima tu ndio maana hamshindi chochote kile mnababaikia na wa upande wa pili! Umaskini jeuri...
  7. M

    Raha na Faida za kuwa single kwa muda mrefu

    Afu unategemea jamii ikuamini kwa madaraka makubwa au heshima?? WE VIPI? KWANI RAIS WAKO WA SASA KATOKA WAPI?
  8. M

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    Kanisani na vigangoni ndipo alipo kampeniwa JK 2005 wakati maaskofu walipojidanganya ni chaguo la mungu; wamegundua ni upupu mtupu wanasema wananchi wamweke mtu mwenye nia ya kweli ya kuleta maendeleo, imekuwa nongwa!?? Unaongea kwa niaba ya chama gani mzee? kama ni cdm kwa gia yenu ya udini...
  9. M

    Je Zitto Amepoteza Uhalali wa kuwa Kiongozi?

    mkuu wale ilibidi kuwastua walikuwa wanauza ardhi yao kijinga kabisa! To be fair ni vyema kuwajulisha ardhi ni mali na wasiuze hovyo wasije kuishia kuwa manamba hukohuko kwao. Respect
  10. M

    Hopes and Dreams??? SOMA HII TAFITI NA CHUKUA HATUA!

    Huyu bwana anakitu chake very personal na anataka kupata support ya wanabodi kwa kutumia hoja ya nguvu na jazba. Utaona ni mtu aliepita SUA kimasomo au kikazi na akaathirika, mwenye chuki na dharau kubwa kwa watu wa kanda ya ziwa, anaedhani kwao mbeya ndio bora zaidi na labda mtu toka kwa wasomi...
  11. M

    JK mawaziri wawili wanatuchefua unaweza kuwafanyia namna????

    Chuma, Wahenga wanasema ukipenda chongo utaita kengeza! Ndio kinachoondelea hapa. Kwasababu moja au nyingine Huyu prof kapendwa sana hapa sasa hata amwage utumbo gani atatetewa tu. Kama waziri na kipato chake halipi bill kwa taasisi ya umma ambayo inaendeshwa kwa hizo bills, unadhani ana sifa ya...
  12. M

    Baraza Jipya La Mawaziri hili hapa

    Duh! atapumzika na wangapi sasa?
  13. M

    Mazuri ya Edward Lowassa

    Mkuu, ukweli ni kwamba binadamu tuna hulka ya kupenda kuona mtu mwingine akianguka, tena basi mkubwa akianguka anakuwa na kishindo kikubwa na watu wengi zaidi wanafurahi. Sasa hapa kuna extremes; ukiwa mwema sana(wachache sana hawa) wengi watasikitika. lakini kama unamapangufu tena basi ya...
Back
Top Bottom