Search results

  1. F

    Lowassa ataweza kampeni kweli?

    NA ana tatizo la kupoteza kumbukumbu
  2. F

    Lowassa ataweza kampeni kweli?

    Suala siyo muda. Angalieni jamani, ninachkisema najua mnakiona ila ubshi wa kisiasa umewatawala.
  3. F

    Lowassa ataweza kampeni kweli?

    Kichwa chake kipo poa???? umemsikia mtoto wake jana??? Hili watanzania tunatafuta bomu. litatulipikua siku yoyote.
  4. F

    Lowassa ataweza kampeni kweli?

    Mimi pia na mtu ninaeamini kuwa afya ya mtu mara nyingi ni mapenzi ya Mungu. Lakini kwa hili la Lowasa sasa linanitisha kwani dalili zipo wazi. Watabibu tufumbueni macho.
  5. F

    Lowassa ataweza kampeni kweli?

    Sijawahi kumuona lOWASA akila hadharani. Nimesikia analishwa siku hizi. Hapo kwenye dhifa ya kitaifa akialikwa huko majuu iatakuwaje.. unaweza ukadhani nakashifu lakini just think critically.
  6. F

    Lowassa ataweza kampeni kweli?

    Alipokuwa anatangaza nia kule Arusha Lowassa alihutubia kwa dk 20. Juzi Mbeya kahutubia kwa dakika 16, Arusha Dakika 7 na Zanzibar Dakika 11. Hivi huyu Lowassa ataweza kuhutubia mikutano ya Kampeni zaidi ya minne kwa siku? Ataweza kuzunguka nchi nzima kama alivyokuwa anafanya Dr Slaa? Mwisho...
  7. F

    Msaada kuhusu JKT

    Ukiona kimeagizwa ujue ni mihimu
  8. F

    Mbona alivyoshughulikiwa Sheikh Ponda hamkupiga kelele

    Sina upako? Nipo kısheria zaıdı UOTE=Horseshoe Arch;12306412]Nadhani hili umeandika kwa utashi wako binafsi...halina baraka za dini!
  9. F

    Lipumba Amtembelea Askofu Gwajima

    Hivi huyu si ndiyo alıkuwa na skandali ya kuvunja amri ya sita na mke wa Mbasha?
  10. F

    Gadner G Habashi usimpigie promo Membe hawezi kuwa rais wa TZ,unajiabisha

    Kweli QUOTE=MSIMISEKI SENIOR;12306317]Mkuu mbona kama unafukuzwa na nyuki? eleza amesema nini kuhusu Membe, wakati gani na wapi?
  11. F

    Mbona alivyoshughulikiwa Sheikh Ponda hamkupiga kelele

    Kıpindi kile serikali inamshughulikia sheikh Ponda mbona matusi kwa polisi hayakuwepo? Sheria ni msumeno jamani, tukae kimya sherıa ichukue mkondo wake.
  12. F

    John Mnyika - Mkurugenzi wa habari na uenezi wa CHADEMA asiye na maadili

    Watanzania hutujafikia huko. Imani zetu za dini na ustaarabu wetu haujawahi kutiliwa shaka. Siamini kama Mnyika anaweza kusema hivyo.
  13. F

    Siasa zinaiponza Mbeya City

    Unachobisha hukielewi. Kama ni mwana soka kweli usinetoa sababu hizo.
  14. F

    Siasa zinaiponza Mbeya City

    Usitoke na povu kaka. Kama kweli tunataka MCC iendelee kuwemo katika ligi kuu basi tutenganishe kati ya mpira na siasa.
  15. F

    Siasa zinaiponza Mbeya City

    Kwa majibu haya nina uhakika mwaka huu ni wa mwisho sisi watu wa Mbeya kuona ligi kuu kwa mgongo wa Mbeya City kwani itashuka tu daraja.
  16. F

    Siasa zinaiponza Mbeya City

    Mumwambie Sugu aache kuitumia timu kama mtaji wa kisiasa. Itatelemke. Mimi nipo hapa. Kule Iringa nako Lipuli ilikuwa inafanya vizuri lakini alipoingia Msigwa tu timu imeshindwa kupanda.
  17. F

    Siasa zinaiponza Mbeya City

    Hujui influencing factor kwenye soka.
  18. F

    Siasa zinaiponza Mbeya City

    Kushuka kwa kasi kwa kiwango cha uchezaji wa Mbeya City kumeshtua wengi. Lakini timu hii hii ilipokuwa chini ya Manispaa ya Mbeya mwaka jana ilifanya vizuri sana. Ikajichanganya na kuingia kwenye siasa za vyama matokeo yake ndiyo haya. Mhe Sugu livyoingia kwenye Timu hiyo ndo kaharibu...
  19. F

    Jeshi la Congo linapambana na waasi wa FDLR kutoka Rwanda mkoa wa Kivu Kusini

    Hizo ni siasa tu kaka. Wao hawana uwezo wa kupambana na FDLR bila msaada ONUSCO hata siku moja. Hawataweza.
  20. F

    Ni sahihi Rais Kikwete kupokelewa na Seneta Kenya? Kenyatta akija Tanzania apokelewe na mbunge?

    Mbona alikuja Rais wa Ujeruman hapa kwetu, alipokewa na nani. Hivi unajua nguvu ya Seneta Kenya kwa mujibu wa katiba yao mpya? Kuna tofauti kubwa kati ya State visit na Working Visit.
Back
Top Bottom