Search results

  1. D

    Dr. Slaa: Sijatoa tamko lolote, Sitokuwepo Jangwani Kwenye uzinduzi wa Kampeni za CCM

    Nionavyo mimi ukimya wa muda mrefu huweza kumfanya mtu kusahaulika na kupoteza mvuto kwa jamii. Dr asijipe likizo ndefu sana ni vizuri awajibike kwa jamii na kutoa msimamo wake na maelekezo sahihi ili uma wa watanzania ufaidike na busara zake zinazohitajika sana katika taifa letu kwa sasa. Hapo...
  2. D

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Huyu Sumaye ni mroho wa madaraka. Ana dual role ukawa. Amesema kuondoka kwake kunaiimarisha ccm. Role ya kwanza ni kuusambaratisha ukawa. Kumbuka kikulacho ki nguoni mwako. Ndio amekuja nguoni mwa ukawa. Role ya pili labda ni hiyo ya fisi kuufuatilua mkono wa binadamu udondoke aule. Very pathetic.
  3. D

    Majanga daah

    kwani mshahara wenyewe ni shilingi ngapi. labda ni kima cha chini. na sikukuu hizi za mwisho wa mwaka. huo ndio uhalisia wa maisha ya mtanzania. mengine ni maigizo (usanii).
  4. D

    Majanga daah

    mbona rahisi tu. bana matumizi. pikia kuni washa kibatari kula matembele mwezi utaisha tu. kazini nenda kwa mguu.
  5. D

    Nalipia dstv premier 135,000/= nalipia tanesco umeme 30,000/= imekaaje wakuu?

    lipia na hewa basi si ni muhimu zaidi. maana bila hewa wewe haupo. vitu muhimu ni rahisi au bure, vya anasa ni ghali. ni vizuri kuwaza kwa ajili ya watanzania wote na kwa wakati wote. sio kuwaza kwa ajili yako tu na kwa uwezo ulio nao sasa. kesho hujui hata mafuta ya taa kwa koroboi...
  6. D

    Tutarajie haya baada ya kikao cha cc ya CCM

    ninaafikiana na mawazo yako. huu muungano umekuwa mzigo. ni aidha serikali moja au tusiwe na muungano kabisa
  7. D

    Radio Imani, Kwa Neema FM zafungiwa... Clouds FM yatozwa faini!

    wewe ndio hujaelewa. lengo hapa ni kuifungia neema radio. kubalance ndio wameiingiza na redio imani.
  8. D

    Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

    mazoea ni yeyote mwenye kitoeo chake ana uhuru wa kuchinja tusipotoshe maana.
  9. D

    Spika Makinda aburuza Bunge; aahirisha Bunge hadi kesho...

    Iwekwe sheria bungeni kwamba ili hoja/muswada i/upite ni lazima kuungwa mkono na theluthi mbili ya wabunge wa upinzani. Kwa namna hii ukiritimba wa chama chenye wabunge wengi utaisha na kuheshimiana kutakuwepo
  10. D

    Zamu ya Zanzibar Urais 2015?

    kuwa ni zamu ya mzanzibari hilo sio tatizo ila huyo mzanzibari awe mkristo maana ni zamu ya wakristo pia
  11. D

    How to use JamiiForums effectively

    make it clear in case one wants to deregister what are the steps?
  12. D

    Dk. Kitila Mkumbo hajasoma vema Katiba ya CHADEMA...

    Mbona tunakuwa wazito wa kuelewa au tunajaribu kuukana ukweli kwa hofu. Zitto ni janga la taifa. Anatumiwa na hao wachoma makanisa. Huoni wanavyomfanyia reference kila wakileta dhana zao za 'kuonewa'? Mie naomba great thinkers tuipotezee hii issue ya zitto inalenga kuvuruga amani ya nchi kwa...
  13. D

    Kikwete: Pamoja na utoto wake, kijana alifanya kosa kubwa kukojolea msahafu!

    wakati wagombea wote watarajiwa kwa vyama vyote wanalengwa kuwa wai....... mpaka 2025 wameshajipanga. Ndivyo ninavyosoma mwelekeo. Kazi ya ziada inahitajika kufuta ubaguzi wa kidini unaosimikwa na wenzetu wasiopenda religious co-existence in harmony ila wao wanataka kumbadilisha kwa lazima na...
  14. D

    CHADEMA imeonyesha udhaifu kuongoza nchi, ijipange upya

    Nakubaliana na wewe. Upinzani hauwezi kuleta mabadiliko ndani ya serikali ya chama tawala. Serikali itahakikisha maendeleo hayapatikani kwenye majimbo yaliyoshikwa na upinzani. Angalia jimbo la ubungo wananchi wanalalamika hakuna maendeleo. Itabidi kazi kubwa ifanyike kuuelimisha umma juu ya...
  15. D

    Urais 2015: Mtei amshukia Zitto

    Kwa mtazamo wangu wa sasa (maana hapo mwanzoni Zito nilimwona tofauti (mtu makini)) namwona Zito ni dhaifu. Anafuata hisia zilezile za kupendwa kwa sura na kwa haraka haraka anaonyesha nia ya kuwa rais. Ajue kwamba watanzania wanateseka sasa hivi kwa dhambi yao ya kupenda ghafla na pasipo...
  16. D

    Kumbe kutekeleza ahadi kazi: Mjane wa Mwangosi alia na Slaa

    Siamini kuwa tatizo ni huyu mama. Tusimhukumu kwa haraka. Gazeti lililoandika habari hizi ni la kipropaganda za kisiasa. Kuna hatari ya huyu mama kukosa msaada kwa kuonekana hana shukurani kumbe sivyo. Kukumbushia ahadi sio kosa. Ukizingatia hakuwa na namba ya simu ya kuwasiliana moja kwa moja...
  17. D

    JK mgeni rasmi uzinduzi wa barabara

    wahenga walisema kawia ufike. mimi nampa big up. mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
  18. D

    Mwanahalisi: Dr.Olimboka asisitiza, waliotaka kumuua wanatoka Ikulu

    Hapa ndipo penye tatizo la kudidimiza demokrasia. Kila jambo ambalo serikali haitaki watu walijadili kwenye vyombo vyenye uwezo wa kubaini ukweki wake serikali inakimbia kulipeleka jambo hilo mahakamani kuwafunga watu midomo. Ninaomba mahakama zetu sisimamie haki na zisikubali kuwa maficho ya .....
Back
Top Bottom