Search results

  1. A

    UDSM Na ARIS2 ; Mwenye Suluhisho Tafadhali Anisaidie

    Ingia aris ktk payment kuna option ya new payment click apo then kuna new sheet itakuja then utaclick unataka kulipia nini mfano ada utaponyeza ada then ingiza kiac halafu kamilisha box zilobakia halafu click process if utakuwa umefanikiwa watakuletea msg ambayo ina controll number pmj na detail...
  2. A

    Incubator zinapatikana kwetu-ujasiriamali

    nataka kujua kama mnatengeneza setter na hetcher na zina uwezo wa mayai mangapi
  3. A

    nahitaji machine ya kutengenezea kamba za usumba

    habari zenu waungwana nahitaji machine ya kutengenezea kamba za usumba tafadhali kwa yoyote anayefahamu zinapopatikana anijulishe kwa email asilia_znz@yahoo.com pia anipe na bei zake na detail zake shukran
  4. A

    Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

    Ni sawa basi iyo ni nzuri coz utakuwa na wateja wa aina tofauti so when u want to start.
  5. A

    Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

    Biashara hiyo siyo mbaya inategemea na location na aina ya vipodozi unavyotaka kuuza coz kuna mapambo ya kike kuna mafuta na lotion na kuna pafryum na urembo mwengine so unataka kuweka kipi ama vyote.
  6. A

    we need business partner

    hapana maduka bado yapo lkn demand imekuwa kubwa na yanaitaji kubboreshwa zaid na kama unavyojua huu ndo muda wa kuanza season ya utalii so tunaitaji kuboresha zaid ndo maana tukahitaji mbia ili tuboreshe kile tulichonacho na kumeet demand
  7. A

    we need business partner

    we are company dealing with selling handmade product in zanzibar our main market were tourism and hotel and we had shop in nungwi kiwengwa jambiani and bwejuu in zanzibar and we had shop outlet and supplying our product in vorious hotel we need a bussness partner who will join with us in the...
  8. A

    Help

    sisi tuna kampuni ya uuzaji wa vitu vya handcraft na handmade product kwa watalii na tuna maduka ktk maeneo ya utalii huku zanzibar tunahitaji mbia wa kusaidia katika biashara yetu kwani tunataka kuitanua na kuwafikia wateja wengi zaid mbia aliye tayari kuinvest na sisi awasiliana na sisi...
Back
Top Bottom