Search results

  1. Kiberega

    Zitto Kabwe ampinga Rais Kikwete baada ya hotuba ya kufunga Bunge!!!

    Tatizo ni pale kunapokuwa na Muungano unaoua mmoja wa waungana na kumwacha mwingine. Zanzibar wanadai haki zao kwa vile WAPO (walibaki, na wamejiongezea uhuru). "Wabara" hawana pa kusimama kudai na kulinda maslahi yao kwa sababu Tanganyika HAIPO (ilifukiwa). Ili twende vizuri, Tanganyika IWEPO...
  2. Kiberega

    BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

    Ni matumizi au mazoea mabaya ya lugha za watu, au ana bwana anayejivunia??!
  3. Kiberega

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Hii ndiyo serikali yetu, inayoongozwa kwa siri kali na "chaguo la mungu".:A S embarassed:
  4. Kiberega

    ACP Hemed Msangi...

    :redface: Now I know why all the cry for the armed robberies on innocent tanzanian in Kigoma, go unaddressed!!! A day will come for the turn of events; Insallah.
  5. Kiberega

    Who is behind this stupid method of threatening our doctors

    We all know it, GoT operatives! They did this to Kubenea,Mwakyembe.....Kolimba, Gen Kombe... The list is long. When it happen to poor citizens, theculprits are never found. When it is to do with GoT official and fellow Foreign louters, the GoT arms work perfectly. albinos cry, invain...
  6. Kiberega

    Pinda na Mawaziri wanaonewa

    Tujiulize, hivi kiranja mkuu anafanya nini na zile orodha kede alizonazo (Wahujumu uchumi, wafanya biashara ya madawa ya kulevya, watuhumiwa wa RADA, ........) kwa zaidi ya miaka 5???!!!! Hizi si dalili za wazi kwamba yanamkwama kwa sababu anahusika??? Kweli nawaambieni, hata kurudi pale...
  7. Kiberega

    Mulika Mwizi: Moses Omuteku wa Credit Reference Bureau (T) Ltd!!!

    Sitegemei "seriousness" yoyote ktk kushughulikia wezi/wabadhilifu ndani ya serikali ya "sisiem". WM alisema wakishughulikiwa hao, nchi itayumba. Hivi sasa waona haiyumbi kwa sababu wao wamesimama, wananchi wanyonge ndio tunaoyumba! Lazima tutafute namna ya kuwawajibisha hawa, si wenzetu hata...
  8. Kiberega

    Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    Mimi la kufelishwa makusudi nalikataa. Nilisoma Mtwara Technical na Dadi Yusuf Namtumba, aliongoza mchepuo wa "Mechanical" tangu siku ya kwanza hadi tunamaliza. Alipewa haki yake ya kuendelea na masomo Arusha Technical College. Katika familia yangu, babu mkubwa (kaka wa babu yangu) alifanya kazi...
  9. Kiberega

    Mgomo wa wafanyakazi wasitishwa kwa muda

    Rais wa nchi yetu angekuwa na uchungu na Taifa hili angetumia ukali na makeke kama yale kukemea ufisadi na kurudisha fedha za EPA, kupunguza safari zake za nje akatumia teleconfrerncing, kuhakiki kodi wanazolipa wazekezaji (au wachukuaji) badala ya kukemea wafanyakazi na kuwatishia maisha...
  10. Kiberega

    Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

    Narudia tena kusema Mh. Rais ana kigugumizi kuwawajibisha kina Hosea na wengineo kwa vile anajua wataumbuana kama alivyosema Hosea "....kama ni kuumbuana hata mimi naweza sana". Sasa waacheni waumbuane, wafitiniane, wafichiane maovu; mwishowe tuwatoe kama wote wanaogopana. Watanzania, muda...
  11. Kiberega

    TAKUKURU: Pinda jiuzulu na Hosea akufuatie!

    Mheshimiwa Rais amechelewa kumwajibisha Hosea li achunguzwe; that is the cause of all this mess we are experiencing. Kuna kitu hapoooo
  12. Kiberega

    Waziri atoboa: Matajiri wanaweka viongozi madarakani

    Hiyo siyo siri mbona! Yeye atuambie kama anatumia raslimali zake pekee wakati akigombea uchaguzi bila fadhila za matajiri hao anaowasema. Hizi ndizo athari za utandawizi na soko huria. Wenye nazo wanaweza kununua chochote, utu, haki n.k
  13. Kiberega

    Kashfa nzito toka UK

    Who knows? even the government salary scale in Tanzania are a secret (not public). Recently, we heard the government secretly decided to increase the salarie for Judges, the speaker and the deputy, ministers, RCs, DCs, parliamentarians but not other civil servants b'coz there were not enough funds!
  14. Kiberega

    Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

    Mzee warudishie kadi yao. Uliomba ulinzi ukanyimwa, wana mpango mbaya na wewe, kaa mbali nao. Wanalindana wenyewe, wewe si mwenzao tena, pole wee. Mlivyokula vinatosha, shukuru Mungu hawakukujua mapema. Chunga uhai, usikubali kuhojiwa tena. Pigana ukiwa nje, ndani watakubananisha, wao wako wengi.
  15. Kiberega

    Minimum wage for Domestic workers

    Dear JF member; I have read and tried to follow the Tanzania Government Notice No. 223of 2007, Labour Institution Act section 39(1) and come to ask myself several questions with reagard to domestic workers. Did the law makers take into consideration the diversity of employers to DWs? Many...
  16. Kiberega

    Dowans: Another Richmond in making?

    Waheshimiwa; Kuachia mafisadi na mbinu zao ziendelee kushamiri katika jamii kwa madai ya kujikita katika kutatua tatizo la ukosefu wa umeme kwanza, ni dalili za woga na uzandiki. Tukubaliane kwamba kununua mitambo ya DOWANS ni kuwastawisha na kuwapa ushindi MAFISADI. Next time, they will find...
  17. Kiberega

    Nini Kinaendelea Dodoma?

    Ndugu yangu FDR, kuchanganua ya Kaisari na ya Mola yataka hekima, sisi tulioUKOKA ktamgeukia .... tumeshukiwa na UROHO MTAKAVITU! Hayo ni maandiko MATIFUTIFU. JF kaza mwendo, na think smart; tutafika. Kiberega, Ngenzebuhoro
Back
Top Bottom