Search results

  1. M

    Natafuta dawa ya muwasho/vipele katikati ya mapaja

    Nilikuwa kijijini mwezi uliopita, nahisi maji ya kule yamenidhuru, nimepata kitu kinaitwa jock itch/fungus (angalia picha) (google). Ni kama vipele vidogo vidogo vinavyowashwa wakati wa joto. Naomba msaada wa kujua tiba yake.
Back
Top Bottom