Salam comrades,
Asanten kwa mijadala critical na yenye tija kwa Nchi yetu.
Naomba kutoa ufafanuzi moja hata kama ni kwenye kichwa cha Thread.
SIJAPENDEKEZA SHERIA MPYA YA SERIKALI KUNUNUA VITU VILIVYOTUMIKA. Hii ilikwepo kwenye Sheria ya Zaman ambayo tumeiandika upya someni kifungu cha 65B...
Salam comrades,
Asanten kwa mijadala critical na yenye tija kwa Nchi yetu.
Naomba kutoa ufafanuzi moja hata kama ni kwenye kichwa cha Thread.
SIJAPENDEKEZA SHERIA MPYA YA SERIKALI KUNUNUA VITU VILIVYOTUMIKA. Hii ilikwepo kwenye Sheria ya Zaman ambayo tumeiandika upya someni kifungu cha 65B...
1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile.
2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa...
Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe.
Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme...
Labda kura ipigiwe jf na WhatsApp, Ila kwa Iramba, akipata hata nusu ya kura zangu nawambia Chama changu wamtangaze kuwa ndio mshindi. "NI HESABU MBAYA SANA KUPAMBANA NA MAMBA KWENYE KINA KIREFU CHA MAJI"
HATUKO CCM KWA AJILI YA UTEUZI. UTEUZI NI KWA AJILI YA KAZI. KAMA HATA KUNA MTANZANIA YUKO UPINZANI HATA HAJAHAMIA CCM ILA ANAFAA KWA UTEUZI ATEULIWE TU. ATAWASAIDIA CCM NA UPINZANI
Ndio maana nawambia tafuteni TAARIFA kabla ya kuandika. Mtafute Nondo umuulize nimemfanyia kitu kibaya au kitu chema. Abdul Nondo SI NI MEMBER HAPA, NA AJE ASEME NIMEMFANYIA KITU CHEMA AU KIBAYA
INIHUSU KWA KUWA UMESEMA AU KWA KUWA UNATAKA INIHUSU? YAAN RAFIKI YANGU UNAISHI GIZANI KWELIKWELI. ULILISHWA MATANGO PORI YA KISIASA, WALIKULISHA WALISHAHAMIA CCM WEWW BADO UNASHIKILIA. MAISHANI MWANGU SIJAWAHI KUHUSIKA NA HATA JASHO TU LINALOTOKANA NA MATESO KWA MTU. ACHILIA MBALI DAMU
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.