Search results

  1. M

    Ugonjwa wa mafua ya ndege watangazwa janga la kitaifa Tanzania

    Kabla kuuliza maswali KWANZA TOA MAJIBU YA POST YANGU #18 ULIZO PEWA MBONA MMEKWEPA KUJIBU? JIBU LA SWALI YAKO YA POST HII UTAPATA BILA WASIWASI BAADA WEWE KUJIBU POST YANGU #18.SAWA KIMKAZO NAULIZA KWA MTAZAMO WAKO KAMA MWENYE KUFA KWA UGONJWA YA MAFUA YA NGURUWE INATOKANA NA KULA NGURUWE...
  2. M

    Ugonjwa wa mafua ya ndege watangazwa janga la kitaifa Tanzania

    Kwanza kabisa nasema ahsante sana kwa kuamini MIMI MWENYE BICHWA GUMU. PILI NAPENDA KUULIZA Hivi mkuu umesoma vizuri post yangu #29.AU UMEPITIA JUU JUU TU? UTASEMAJE PINDI WAKRISTO WAIMBAJI WA KWAYA AU INJIL WENYE KWENDA KUHIJI YERUSALEMU.KISHA ITATOKA HABARI KWAMBA WAIMBAJI WA KWAYA AU...
  3. M

    Ugonjwa wa mafua ya ndege watangazwa janga la kitaifa Tanzania

    [/size] [/color][/size] [/color][/size] [/color][/size][/color][/size] [/color] [/color] sasa naomba nieleze ni nani mwenye bichwa ngumu wenye kuamini ta'arifa yenye kutatanisha au wenye kupinga ta'arifa yenye msuguano?
  4. M

    Ugonjwa wa mafua ya ndege watangazwa janga la kitaifa Tanzania

    Hata kama imsemwa na Rais au Imam Mkuu wa Saudia Arabia, SWALI IKO PALE PALE KAMA GAZETI YETU YA MAJIRA HAO BBC WAMEPATA STATEMENTS HIZI ZA HEALTH MINISTRY KUPITIA VYOMBO GANI VYA HABARI VYA SAUDI ARABIA?
  5. M

    Ugonjwa wa mafua ya ndege watangazwa janga la kitaifa Tanzania

    Mbona una problem ya kuwa msaulifu mkubwa MARA HII UMESAHAU ULIYOSEMA HAPO JUU. SASA NIAMBIE NI NANI ALIY BADILIKA PUNDE? SWALI LIKO PALE PALE TAFADHALI TUPE AYA KUTOKA QURANI INAYO RUHUSU MWISLAMU KULA NGURUWE ILI NAMI NIWEZE KUANZISHA SOKO NA KIOSK YA NGURUWE? TAFADHALI USISITE KUONYESHA...
  6. M

    Ugonjwa wa mafua ya ndege watangazwa janga la kitaifa Tanzania

    Kusoma bila shaka nimesoma hii source YA BBC NEWS mkuu wako alliyoweka. LAKINI SWALI INAYO HITAJI KUJIBIWA NI HAO WATU WA BBC NEWS WAMEPATA HABARI HIZI KUPTIA SOURCE GANI YA SAUDIA? MBONA HALIKUWEKWA WAZI
  7. M

    Ugonjwa wa mafua ya ndege watangazwa janga la kitaifa Tanzania

    Ninyi hapa Tanzania mmepata HABARI ZA WAISLAMU KUFA KWA MAFUA YA NGURUWE KUPTIA MAJIRA GAZETI MAARUFU TANZANIA NZIMA. SAS KULE WATU WA SAUDIA WAMEPETA HABARI KAMA HIZI KUPTIA GAZETI GANI MAARUFU NCHINI KWAO? TUPE JINA LA GAZETI HILO SIO MANENO YA Arab News MAKKAH. HII NDIO SOURCE YA GANI...
  8. M

    Ugonjwa wa mafua ya ndege watangazwa janga la kitaifa Tanzania

    Nawe mwenye maneno matamu kama siki hebu TUPE USHAHIDI WA ANDIKO YENYE KUTILIA NGUVU ZA NDOVU MADAI YAKO KWAMBA HAO WAISLAMU WALIOKUFA KWA MAFUA YA NGURUWE WAME UAWA NA ALLAH SIO YEHOVA MUNGU KATILI WA WAISRAELI AU YESU MUNGU MTU WA WAKRISTO ANAYE DAIWA NA WAKRITO NI PRINCE OF PEACE AND LOVE...
  9. M

    Ugonjwa wa mafua ya ndege watangazwa janga la kitaifa Tanzania

    Kama wewe unayo jipya TOA AYA KUTOKA QURANI INAYOMRUHUSU MWISLAMU KULA NGURUWE?. MIMI NITAKUWA TAYARI KUANZISHA SOKO LA NGURUWE RIGHT NOW. ZAIDI YA HAPO NAPENDA KUKUHOJI WEWE UNAYO USHAHIDI GANI KUTILIA NGUVU MADAI YAKO KWAMBA KILA MWISLAMU ANAYE KUFA KWA MAFUA YA NGURUWE NI WALA NGURUWE...
  10. M

    Ugonjwa wa mafua ya ndege watangazwa janga la kitaifa Tanzania

    Tupe Aya kutoka Qurani inayo ruhusu KULA KITI MOTO? HATUTAKI MANENO MATUPU TOA ANDIKO KUTILIA NGUVU MADAI YAKO.
  11. M

    Ugonjwa wa mafua ya ndege watangazwa janga la kitaifa Tanzania

    Inawezekana HAO WALIOKUFA KWA UGONJWA HUO NI WAKRISTO NDUGU ZENU WALIJOFANYIA WAISLAMU NA KWENDA MAKKA BILA KUCHANJA NCHINI KWAO?
  12. M

    Ugonjwa wa mafua ya ndege watangazwa janga la kitaifa Tanzania

    Amma kweli kupeleka KESI YA NYANI KWA GEDERE ITAKUWA KUPOTEZA WAKATI NA NI KUMSAIDIA NYANI KUSHINDA KESI. LAKINI NGOJA NIKU ULIZENI SWALI HEBU TUAMBIE BILA KIFICHO KAMA UGONJWA WA UKIMWI HIYO UGONJWA WA MAFUA YA NGURUWE NANI WAMELETA DUNIANI WAISLAMU AU NINYI WAKRISTO? NCHI ZA NANI MAKOMBORA...
  13. M

    Ugonjwa wa mafua ya ndege watangazwa janga la kitaifa Tanzania

    [/COLOR][/SIZE] [/COLOR][/SIZE] Kama habri hizi ni za kweli basi kwanza HEBU TUWEKEE KUTOKA SOURCE GANI YA SAUDI ARABIA HAO WENYE GAZETI YA MAJIRA WAMEPATA HIZI HABARI ZA KUFA MAHUJAJI? MBONA HAKUNA USHAHIDI WA SOURCE YA SAUDI ARABIA? TUPE SOURCE FROM SAUDI ARABIA KWANZA MAANA MAGAZETI...
  14. M

    Tumeweka mbele sana udini - hatari

    Ahsante sana sana kwa maneno yako machungu na samahani sana sana kwa kuchelewesha kutoa maoni yangu kuhusu machungu yako hii. KUHUSU MANENO HAYO YAKO NAPENDA KUWEKA WAZI NA KUKUFAHAMISHENI KWAMBA: HAO NDUGU ZAKO WAKINIPA AU WASINIPE KWA MANENO MENGINE WAKINIMWAGIA AU WASINI- MWAGIE SIFA...
  15. M

    Tumeweka mbele sana udini - hatari

    Shukran wa Jazak Allahu Khayran my respected and humble brother for your kind words.Indeed Islam is religion of Peace,Brotherhood and Love that what I m trying to prove to the World by all means and efforts.I m happy to hear you got Luck of going to Madrasa for several years.Pia nashukuru sana...
  16. M

    Tumeweka mbele sana udini - hatari

    Ndugu mheshimiwa Bubu Ataka Kusema shukran wa Jazak Allaahu khayran katheeran kwa nasaha zako na kunipa moyo. Nitaweka akilini daima na kuheshimu nasaha zako kwa matendo hadi mwisho wa pumzi yangu. Nami huwa na shauku kuonana na watu wenye heshima kama wewe na wale wote kama wewe. Insha...
  17. M

    Tumeweka mbele sana udini - hatari

    Ndugu MTM shukran sana kwa kutuelezea yenye kukera. Napenda kusema Ni kweli kabisa umesema ndugu MTM naunga mkono nawe. Bila shaka hii ni kero kubwa yenye kuleta maangamizi kubwa badala ya ujenzi. Yafuatayo ni mchango wangu kwa ufupi kuhusu Kero yako. Kwa kweli Udini haswa ndio ni...
  18. M

    Chenji na karaha za konda

    Ndugu MziziMkavu shukran sana kwa kutupasha habari kuhusu Kero za makonda asubuhi asubuhi. Yafuatao ni mchango kwa ufupi kuhusu suala hilo. Mimi kama mpenda usawa awali ya yote napenda kusema kuwalaumu makonda pekee yao itakuwa kuto watendea Haki na ni kuwa vunjia Heshima. Haki itatendeka...
  19. M

    Sauti hizi hospitali ya taifa muhimbili haziwezi tafutiwa ufumbuzi?

    Ndugu Mnyamahodzo shukran kwa kutuletea habari yenye kuwakera wagonjwa wa Hospitali ya Muhimbili. Mimi kama Mwislamu nachangia maoni kama ifuatayo. Kama Kweli sauti ya adhana inawakera wagonjwa wa pande yeyote ya Muhimbili basi lazima Viongozi wa hiyo Msikiti wa arifiwe kwa njia ya ustaarabu...
Back
Top Bottom