Search results

  1. I

    Usia wangu kwa Zitto na washirika wake

    mi nashangaa sana, Mfano J shonza amelalamika sana kwamba anahujumiwa oh mara apewi kazi, SASA KWA NINI USIJIUZURU? nyie vijana wa kulalamika lalamika HAMNA SIFA ZA UONGOZI.
  2. I

    Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    ujinga ni kutojua lini, wapi, vipi, namna gani ufanye lipi. Hawa vijana wote ni wa..jinga.
  3. I

    Kwanini Kikwete haungi harakati za Wapalestina kama Nyerere?

    Sio tu tu kwamba mtoa mada haijui vizuri Israeli bali hajuhi hata mgogoro wenyewe kama nyerere alivyokua hajui
  4. I

    Dar: Mihadhara ya kidini yapigwa marufuku!

    Nakpupa LIKE, kwa kuniibia mawazo yangu na kuyaandika hapa. wewe si mimi bali unafikiri kama ninavyofikiri,BIG UP. Hivi karibuni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Saidi Meck Sadiki alikaririwa akisema kuwa serikali imepiga marufuku mihadhara ya kidini inayokashfu dini nyingine hadi hali...
  5. I

    Ya Mbagala Na Bedui Aliyekojoa Msikitini...

    Mimi kama ningekua rais leo, shekh Pona, shehk Farid and the likes wangekua either uhamishoni au behind bars for the rest of their life uwezi kuruhusu akili ndogo itawale akili kubwa
  6. I

    CHADEMA haitakufa kwa uroho wa kugombea uongozi...

    wewe mawazo yako hayana uhusiano na maendeleo, bali yana uhusiano na umasikini kwani kusomea shule fulani kuna uhusiano gani na kuwa na hekima ambayo ndio ufunguo wa mafanikio? mbona JK kasomea shule za kawaida lakini anarudisha maendeleo nyuma kwa kasi?
  7. I

    Mchungaji abaka

    ah ah ah a h!
  8. I

    Maalim Seif: Tunataka Zanzibar yetu!

    Tatizo hapa ni ubinafsi! wazanzibari wanafikiri wanaibiwa, hivi tujiulize kuna nini cha kuiba zanzibar? na huu ubinafsi utawamaliza hata mkipata dola kamili, wataibuka wapemba na waunguja! fikirini, kama hamjui kufikiri jifunzeni kufikiri.
  9. I

    Maswali kwa Mbunge wangu: MH WENJE

    Mimi pia ni mkazi wa mwanza na nipo mwanza, sijaridhika kabisa na utendaji wa halmashauri inayosimamiwa na Chadema kama ilivyokuwa kwa CCM mambo ni yaleyale, kumbe hapa tatizo sio chama ni watu.
  10. I

    Mhe. Ngugai ndiye kituko!! Someni hapa!

    magamba ndo zao!
  11. I

    Taarifa kwa umma

    Waliowanyan'ganya usajili wa muda sio MAT bali ni MCT ( medical council of Tanganyika) ambalo ni baraza la madactari liko chini ya wizara ya afya, MAT ni chama chao cha kitaaluma ambacho hakiko chini ya serikali.
  12. I

    'MESEJI' ya HUJUMA...

    We unaota! vivid dreams
  13. I

    MGOMO: Madaktari 319 wafutiwa leseni

    Ni kweli interns huwa hawana leseni bali wana vyeti vya usajili wa muda tu (Provision reg certificate) hata mi niliemaliza intern mwaka jana cijapata leseni mpaka after one year. Serikali inadanganya
Back
Top Bottom