Search results

  1. Mtu wa Pwani

    Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

    Naam japo hawapendi
  2. Mtu wa Pwani

    Serikali isikubali mtafaruku wa Bandari kuchukua mkondo wa kidini, ni ngumu kuidhibiti

    Sisi wazanzibari tunachotaka huu muungano ufe, maana wenzetu wadini na wabaguzi Mangapi mmeyaamua kupitia muungano na yakaathiri Zanzibar na hatukutishia kuangusha serikali
  3. Mtu wa Pwani

    CCM Zanzibar yamfuta uanachama Balozi Ali Karume

    Wazanzibari tulio wengi tunaimani kua chadema Ni adui wa Zanzibar. Tunaamini bora ccm kuliko chadema Tunaamini hta hili povu kuhusu bandari ni chuki ya Chadema kwa Zanzibar
  4. Mtu wa Pwani

    Hii nguvu si mchezo: Kitenge, Zembwela na Hando wapewa escort ya ving'ora Dubai

    Kama Mama awaachie nchi yenu, kwa maana yeye hausiki kwa nn na yet msimuachie nchi yake ?
  5. Mtu wa Pwani

    Kwa haya yanayoendelea, ni dhahiri Rais anapaswa kujiuzulu

    hongera, nikutakie siku njema
  6. Mtu wa Pwani

    Kwa haya yanayoendelea, ni dhahiri Rais anapaswa kujiuzulu

    rais kaanzishaje hebu tueleze hapa
  7. Mtu wa Pwani

    Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

    mbowe ndio kabisa hana uchungu na Tanzania. mbowe mbaguzi, ana siasa za kikanda mwenye chiki za wazi kwa wazanzibari
  8. Mtu wa Pwani

    Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

    chadema, mnatakiwa muachane na siasa za kikanda kama mnataka kuenda mbele.
  9. Mtu wa Pwani

    Kwa haya yanayoendelea, ni dhahiri Rais anapaswa kujiuzulu

    kwa hio tatizo lako kukabidhiwa waarabu ? wewe hapo unapotosha au unaelimisha ? jee huoni kua unapanda mbegu za ubaguzi ? TICTS walipokabidhiwa wewe ulisemaje? jee uliwahi kuona makubaliano yao ?
  10. Mtu wa Pwani

    Kumbe hata TANROADS alianzisha Mkapa, sasa wengine walifanya nini miaka 10 Ikulu ?

    duh pole sana kila awamu ina mengi iliyofanya. tulia ujifunze, naamini umeleta hii mada kichokozi. ila tulia uelimishwe
  11. Mtu wa Pwani

    Lema, kama hautaki Chenge awe Spika CHADEMA wenzako wanamtaka, acha kuwaburuza

    Chadema chama kwani Cha siasa Cha kukiamini? Nilimsikiliza lissu juzi huko space, nilichefukwa. Mtu mwenye hadhi Kama ile hajui kutumia lugha nzuri. Kama wapo vile wasahau kutawala Tanzania
  12. Mtu wa Pwani

    #COVID19 Zitto: Nimepima, nimekutwa na maambukizi ya UVIKO. Naendelea vema

    nimetafakari kwa mda, kikao kinaendelea kuzungumzia issues za kisiasa nchini. bwana zitto alimuombea msamaha mtuhumiwa Mbowe mwenyekiti wa chama cha chadema, jambo ambalo lilizua taharuki hasa kwa viongozi wa chadema akiwemo bwana lema na bwana lissu. jee kweli zitto mgonjwa au kakwepa...
  13. Mtu wa Pwani

    Baadhi ya Vitabu nilivyosoma mwaka 2021 – Zitto Kabwe

    Iissuu na yy Ana mda was kutosha Kama anatusikia tunaomba list ya vitabu alivyosoma
  14. Mtu wa Pwani

    Siasa za kutishana hazitoimarisha Amani- Rais Samia

    kwani si zitto ndio aloanza kuizungumzia na kumuomba mwenzao aachiwe, yy kamjibu kua sheria ifatwe
  15. Mtu wa Pwani

    Siasa za kutishana hazitoimarisha Amani- Rais Samia

    sheria ndio itaamua, kwa mujibu wa kuivunja sheria. mama kasisitiza yy hatovunja sheria
  16. Mtu wa Pwani

    Siasa za kutishana hazitoimarisha Amani- Rais Samia

    Mheshimiwa Rais awaasa kina chadema kuhusu kutumia vitisho ubabe, kejeli na dharau kwa kushinikiza wayatakayo. Mbowe amevunja sheria anapaswa wajibike kwa mujibu wa sheria mama anashusha nondo
  17. Mtu wa Pwani

    Kama nia ni kupambana na ugaidi, kwanini watuhumiwa wa Uamsho wako nje kisha anashikiliwa Mbowe?

    Kwani mbowe Ana mda gani tangu atuhumiwe na kuwekwa ndani ? Wale walikaa miaka karibu Nane. Bila ya ushahidi was kuthibitisha ugaidi wao Mbowe mashahidi wanaenda na kutoa ushahidi kua anahusika na ugaidi. Kama kweli tunataka katiba mpya tuanze kuifata na kuiheshimu iliopo. Mbowe aendelee...
Back
Top Bottom