Search results

  1. T

    Jeshi la magereza

    Jamani naomba msaada wenu juu ya jeshi la magereza ni sehemu gani wameainishwa katika katiba mpya.
  2. T

    what do you think

    what are the problem that faced most of the African countries since attaining their independence
  3. T

    Selection ya form 5-2013 nini pass kwa combination za arts?

    huo ndo mpango wa wanasiasa wa Tanzania as long as kuna goverment schools nyingi hope utachaguliwa ila majanga yanakuja kwenye mtihani wa form six sijui na wenyewe mtabebwa so u have to work hard
  4. T

    watanzania tuwaangalie wenzetu wa kenya katika swala la uchaguzi

    swala la mabadiliko ya katiba lipelekwe haraka ili kwamba uchaguzi ujao wa mwaka 2015 tuwe na katiba mpya itayotuletea tume huru ya uchaguzi na mabadiliko ya daftari la kudumu la kupiga kura, Tuchukue mfano kwa wenzetu wa kenya na jinsi mfumo wao wa usajili ulivyo ili kuepuka uchaguzi wa...
  5. T

    mgomo wa wallimu je kwa serikari hii na chama chao tutafika?

    kuhusu mgomo wa walimu kiukweli ccm wanatupeleka vibaya na wanatumia siasa katika mambo yasioitaji siasa, Maana walimu wetu ndio wanaowatengeneza wao wawe katika nafasi zao. kama Raisi wa nchi ndio anatoa tamko kama lile unategemea nini? watarudi shule lakini watakayoyafundisha ni kinyume na...
Back
Top Bottom