Search results

  1. M

    Nahitaji huduma ya kuchibiwa Bwawa la samaki

    Habari za leo! Natafuta huduma ya kuchibiwa bwawa la samaki Shambani kwangu. Niko Bagamoyo maeneo ya Kidomole. Kwa mtu yeyote anayetoa huduma hii au kama unamfahamu mtoa huduma hii /kampuni inayohusuka na kazi hizi naomba sana contact hapa au ni PM. Nitashukuru sana.
  2. M

    Natafuta shule yenye Elimu kiwango pre-primary/ Primary english medium -BUNJU mpaka BAGAMOYO.

    Naomba kama unaifahamu shule nzuri yenye kiwango kizuri cha ufundishaji na utulivu wa mazingira maeneo ya kuanzia BUNJU mpaka BAGAMOYO naomba nifahamishe. Nina watoto wa miaka ya kwenda shule hizi na ningependa kuwapatia haki ya elimu bora. Naomba jina la shule na namba za simu kama unazo pia...
  3. M

    Natafuta nyumba ya kupanga (rent) -Tegeta, Boko, Bunju,Mapinga, Kerege Mpaka Bagamoyo mjini

    Nina mahitaji ya haraka ya nyumba ya kupanga. Iwe na sifa zifuatazo minimum: 1.) Self contained preferably bedrooms 2 to 3(tatu) , 2.) Iwe na AC, 3.) Iwe Fenced/gated with car parking ndani, 4.) Easy access sio zaidi ya Km 1. kutoka Bagamoyo road, 5.) Furnished itakuwa vizuri zaidi, 6.) Maji na...
  4. M

    Siku hiyo inakuja: The same yatatokea kwa IRRESPONSIBLES, wanaonyooshewa vidole TZ

    AUSTIN, Texas — Former U.S. House Majority Leader Tom DeLay, once considered among the nation's most powerful and feared lawmakers, was sentenced to three years in prison Monday for a scheme to influence elections that already cost him his job, leadership post and millions of dollars in...
  5. M

    Cool dog-Mambo Kishoka

  6. M

    when you forgett about standards

  7. M

    Elections 2010 Ule utabiti wa mzee umetimia?...rip

    Mm wana JF..ebu fikirieni hili imekaaje?...nadhani ni coincidence ila hii kitu kidogo imenichenguwa. Tumempoteza SYLLESAID MZIRAY ( Super Coach) siku ya uchaguzi na kuna Mgombea wa Urais mwenye same last name- PETER MZIRAY (APPT). Isije kuwa hii ndiyo ile issue ya Mzee Yahaya. Huwenda ilimjia...
  8. M

    Elections 2010 Live Streaming HERE! for 2010 TZ General Election

    Kwa wale mlio mbali na nyumbani unaweza kupata free live General Election Streaming TV at this link: www.livestream.com/vizatv enjoy.
  9. M

    Elections 2010 Haya matokeo mimi kizunguzungu

    Jamani mimi haya matokeo ya Kikwete mbona yananifanya nijisikie hivi? Hivi ni kweli anashinda kwa wingi wa kura kiasi hiki kama vile hatukupiga kura watu wa upinzani? aitaki kusema zaidi but am getting irritated by this.
  10. M

    Elections 2010 Na yule Mnajimu.......

    Can't help but laugh nikikumbuka yule mnajimu aliyeliweka taifa kwenye hali tete kuhusiana na uchaguzi huu...nadhani hapa kuna Kesi nzuri tu kwa watu wenye profession yao:rockon:....
  11. M

    Elections 2010 Mbona ile link ya general election result ya jk imelala? No updates

    Nilikuwa naitegemea hii link Matokeo kwa minutes to minutes updates za matokeo TZ lakini sasa iko idle. Vipi nini kinaendelea au kuna sehemu nyingine mbadala? Nilipitiwa na usingizi ndio nimeamka sasa napenda kujua kinachoendelea. Please msaada.
  12. M

    Elections 2010 Wito wa mwisho: Tukapige kura!

    Kwa mara ya kwanza nimejikuta naingiwa na uzalendo wa hali ya juu wa kufanya Campaign ya masafa marefu (kwa simu) kuhamasisha ndugu, rafiki, na jamaa zangu huko Tanzania kwenda kupiga Kura. Nimeweza kuwafikia takribani watu 70 ndani ya dakk 5. Please kwa wale tulio nje ya Nchi hii ndio njia...
Back
Top Bottom