Search results

  1. M

    Nahitaji huduma ya kuchibiwa Bwawa la samaki

    Habari za leo! Natafuta huduma ya kuchibiwa bwawa la samaki Shambani kwangu. Niko Bagamoyo maeneo ya Kidomole. Kwa mtu yeyote anayetoa huduma hii au kama unamfahamu mtoa huduma hii /kampuni inayohusuka na kazi hizi naomba sana contact hapa au ni PM. Nitashukuru sana.
  2. M

    Exclusive: Jinsi ya kutajirika kupitia mchezo wa Keno Lottery (part 1)

    Nina maswali matatu kwako je waweza kunipatia namba yako ya simu?
  3. M

    Natafuta shule yenye Elimu kiwango pre-primary/ Primary english medium -BUNJU mpaka BAGAMOYO.

    Naomba kama unaifahamu shule nzuri yenye kiwango kizuri cha ufundishaji na utulivu wa mazingira maeneo ya kuanzia BUNJU mpaka BAGAMOYO naomba nifahamishe. Nina watoto wa miaka ya kwenda shule hizi na ningependa kuwapatia haki ya elimu bora. Naomba jina la shule na namba za simu kama unazo pia...
  4. M

    Natafuta nyumba ya kupanga (rent) -Tegeta, Boko, Bunju,Mapinga, Kerege Mpaka Bagamoyo mjini

    Nina mahitaji ya haraka ya nyumba ya kupanga. Iwe na sifa zifuatazo minimum: 1.) Self contained preferably bedrooms 2 to 3(tatu) , 2.) Iwe na AC, 3.) Iwe Fenced/gated with car parking ndani, 4.) Easy access sio zaidi ya Km 1. kutoka Bagamoyo road, 5.) Furnished itakuwa vizuri zaidi, 6.) Maji na...
  5. M

    Nataka kuagiza gari na AUTOREC

    Niliwahi fanya nao biashara hii ila ni mud kidogo (2009). Kwa kweli huduma yao ilikuwa ni nzuri sana na Gari langu lilifika katika hali nzuri na kwa muda muafaka.
  6. M

    Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Patamu humo mjengoni....watu wanakata ....wangine wanaunganisha...wanakata....wengine wanaunga. Hapo sasa. Hii ngoma bado sana mwenye kulala akalale tu.
  7. M

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Hii ni kweli kabisa, na mara nyingi hali inakuwa hivyo kwani mie binafsi mashamba yangu yote nimeyapata kwa kupitia taarifa za kupewa na jamaa zangu. Mara nyingi wanapewa taarifa ila pesa ya kununua inakuwa pungufu hivyo wananiunganishia mie. Pia nikishindwa na mie mara kadhaa nimewaunganishia...
  8. M

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Kama baadhi ya waliotangulia hapa napenda kusema asante Malila na Mbu kwa thread hii. Binafsi niko kwenye fani hii hii ya mashamba na mpaka sasa ninaendeleza juhudi zaidi ili kufikia malengo.
  9. M

    Rekodi ya Ajali za JWTZ tangu mwaka 2007

    Binafsi imenisikitisha sana
  10. M

    Huyu mama nimemkubali, napenda kumuona 2014 anagombea uraisi

    Hapa Mkulu alikuwa amesimama kwenye kisturi nini? Manake siku hizi mama kwa urefu anamnyanyasa.
  11. M

    Ujumbe katika muziki

    [img]
  12. M

    Demo kamanda!!

    Your comment PakaJimmy made me Laugh My As** Out!
  13. M

    Siku hiyo inakuja: The same yatatokea kwa IRRESPONSIBLES, wanaonyooshewa vidole TZ

    AUSTIN, Texas — Former U.S. House Majority Leader Tom DeLay, once considered among the nation's most powerful and feared lawmakers, was sentenced to three years in prison Monday for a scheme to influence elections that already cost him his job, leadership post and millions of dollars in...
  14. M

    Offside nyingine???

    Mbona mie sielewi?....:sleep:
  15. M

    Hotuba Ya JK: Tafsiri Yangu

    Uchambuzi ni mzuri ndugu Maggid licha ya sentensi baadhi zilizopotoka kidogo.
  16. M

    Hujafa haujaumbika - God's Great

    YouTube - Conjoined Twins, Abby & Brittany Hensel turn 16 Mungu ni mkubwa. Hapa pia ni wengine ambao wamekuwa na mafanikio makubwa katika kuweza kukabiliana na challenges za kila siku kwa namna moja...hivyo natumaini pia kwa namna moja au nyingine Maria Mwakikuti (kushoto) na Consolata...
  17. M

    CALL FOR SUPPORT: To Build or not To Build - The Serengeti Highway saga

    Kama nilivyokutana nayo kwenye mnbc. Mysterious road threatens 'Great Migration' - Bing Videos
  18. M

    Fisadi wa Rada, Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU

    Nahisi MUNKALI kunipanda baada ya kusoma post 64 zilizotangulia. Hili ni swala dogo kwa kimo lakini ni kubwa kimaudhui kutokana na mazingira yanahusiswa na huyo mtu na hizo preferential treatments. Kama hii taarifa ni ya kweli basi sina la kusema.
Back
Top Bottom