Search results

  1. M

    nimeitwa kazini afisa tarafa.

    Iko hivi ndugu.... Wakati wa usaili wa mahojiano marks hutolewa kwa kila mtu. Wale wote waliopata zaidi ya 50 huchukuliwa mfano, tangazo linataka watu 10 na mliopata zaidi ya 50 ni 20, 10 huchukuliwa then 10 wengine hubaki reserve. Ikitokea nafasi mpya kama hiyo, hao walioko reserve hupangwa...
  2. M

    Utumishi, utumishi, utumishi mnatuumiza wanyonge na watoto wanyonge

    kitu ambacho mdau anataka kujua, kwa nini nafasi zilikuwa 45 lakini wameajiri 15??????
  3. M

    Je, utumishi wametoa shortlist ya nemc?

    wameishaita tembelea tovuti yao
  4. M

    Salary scale

    Hivi wadau TGS E ni kiasi gani kwa wanaofahamu?
  5. M

    kweli haki ipo interview za tanroad?

    tuambie nini kimetokea, sio wote tuliohudhuria hiyo interview.....................
  6. M

    kazi kwa form 4 leaver inapatikana??

    f 4 unatafuta kazi........... anyway kila mtu ana nyota na bahati yake
  7. M

    Ninamaliza form six mwezi wa pili,je ninaweza kupata tempo work??

    we dogo huo ndo mda wa kupumzisha akili baada ya miaka kadhaa ya purukushani na waalimu...... so take that time to relax ukianza kuwaza masuala ya kazi utakata tamaa ya hata chuo cause kaka zako na degree zao wana mpaka 3 years mtaani wanatembea na bahasha za kaki......... na ukisema una elimu...
  8. M

    Kiwango cha mshahara

    umeitwa kwenye interview?... kujua kiwango cha mshahara hakitasaidia....... wakati wa interview wakikuuliza kama una chochote waulize hilo swali
  9. M

    Ushauri wa kazi ya kufanya

    wewe usitufanye sisi wendawazimu..... mtu unapata mkopo ihali huna hata propasal!!!!!! elimu zetu za std 7 zilitufanya tuwe na uelewa.. kama huna cha kupost soma tu post za watu cause humu kuna member zaidi ya 100,000 ila sio kila mtu anapost
  10. M

    Ushauri wa kazi ya kufanya

    wewe usitufanye sisi wendawazimu..... mtu unapata mkopo ihali huna hata propasal!!!!!! elimu zetu za std 7 zilitufanya tuwe na uelewa.. kama huna cha kupost soma tu post za watu cause humu kuna member zaidi ya 100,000 ila sio kila mtu anapost
  11. M

    Mwigulu nchemba: Nemeuza vx v8 yangu kununua motor za maji (jamaa kweli tatizo)

    hawa jamaa kumbe wanajua wanachokifanya huwa ni upuuzi?
Back
Top Bottom