Search results

  1. N

    Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Jk-dowans siijui wala mmiliki wake. -wanafunzi wanaopata mimba wana viherehere. -walimu hata wasiponipigia kura sizitaki kura zao. Twende kazi.
  2. N

    Rais anaposhukuru 'wasomi' Kugombea CCM

    Kwa kawaida msomi anatakiwa awe huru kabisa kimaoni na kifikra.Sasa hawa wasomi kama kina michael kadeghe (dr.)huko kwenye ukuu wa wilaya walikochimbiwa sijui watakua huru.
  3. N

    Mkuu wa wilaya Mbeya awatusi waalimu

    Jina lake hilo(sigara)limempa saratani ya fikra.Anaona ukuu wa wilaya ndi kafikaaa.
  4. N

    Tumeshindwa Kupambana na UJINGA, UMASIKINI NA MARADHI, na sasa wameongezeka Maadui watatu

    Ni kweli maadui hawa watatu wameongezeka,ila watajimaliza wenyewe.USHAHIDI: 1.ADUI CCM ANAJIMALIZA MWENYEWE-Angalia kisa cha bashe na kigwangala na minyukano mingine ndani yao. 2.POLISI WANAJIMALIZA-Angalia silaha ilivyowageuka walipokuwa wakimuua DAUD MWANGOSI 3.MAFISADI WANAJIMALIZA.Angalia...
  5. N

    Cwt waipa serikali siku saba

    Walimu tusikate tamaa,wataeleweka tu.NO PROGRESS WITHOUT STRUGGLE!ALUTA CONTINUA!VIVA TEACHERS!VIVA CWT!WE HAVE TO SHOW THEM WE ARE THE JACK OF ALL TRADES.AMAAAAANDLAAAAAAAA
  6. N

    Imethibitishwa na Serikali... Babu wa Loliondo ni Tapeli

    Ni kweli ndugu.Viongozi wangapi wa serikali walienda kunywa dawa hiyo na wakaipigia debe,leo babu ndio mwenye makosa.SERIKALI HII YAANI NI DHAIFU SANA.Hawataki kuboresha huduma za afya ili kuhalalisha watu wakaliwe na waganga wa kienyeji.
  7. N

    Chadema, Igunga Itufunze kuwa na heshima

    Maneno mengi hayajengi,ila tukumbuke lila na fila havitangamani.PENYE UKWELI UONGO HUJITENGA.MADUDU YA CCM YAMEANZA KUFICHUKA.
  8. N

    Suzan lyimo aichana wizara ya elimu

    Liwalo na liwe. Pia katika sekta ya elimu kuwa div.0 80% f4 na f1 kutojua kkk ni 'bora liende',hiyo ndo sirikali ya dhaifu.kaaaaaaaaaaazi kweli kweli
  9. N

    James Lembeli apasua jipu migomo ya walimu na madaktari

    Hata kina ghadafi wamekaa madarakani miaka dahari wakajikweza mwishowe wameshushwa,wasioona tabu tunazopata walimu na watumishi wengine wa serikali ya dhaifu nao ipo siku watashushwa.Acha walewe madaraka.VOX POPULI,VOX DEI.
  10. N

    Wanashangilia mazingaombwe na wanasifia viini macho! ... Silly People!

    Huwa nakufeel sana Mwanakijiji. Ingawa kuna mambo Nyerere alifeli, lakini alikuwa na msimamo, alichukia rushwa na hakupenda utajiri na sifa. Eti MHESHIMIWA! PTUUUUU! Hebu rejea hotuba yake anayosema serikali yake ilivyowabana mtoa na mpokea rushwa. Wote walikuwa 'MAGANYENGE'. Wote walipata...
  11. N

    HOTUBA ya Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani - Wizara ya Nishati na Madini 2012

    Nguvu ya umma haijawa coordinated vizuri.Wananchi wengi bado wanaogopeshwa na matukio ya kukolimbiwa,kukombewa,kubalaliwa na kuulimbokiwa.Kina mnyika sijui kama wanaweza kutuandalia taharir square.Nyerere aliliweza jeshi la tanzania kuwa ni la WANANCHI sio jeshi la jeshi,halifurukuti kwa...
  12. N

    Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

    Wadanganyika tushadanganywa hapo,na tulivyowapole basi kwisha.Hizi mahakama ambazo zimekuwa kikwazo ni kutumia BOKO HARAMU,au AL SHABABU kuzilipua ndio watajua tumechoshwa na upuuzi wao.
  13. N

    Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

    Labda ndio keshaoteshwa hao maadui 11 wala sio URAHISI wa nchi hii.URAHISI wa nchi hii huoteshi,jua kuwakashfu wagombea wenzio kama alivyofanya DHAIFU,basi ushashinda kwa 81%.
  14. N

    Hodiiiiiiiii

    Wakulu mkaya nimepokeeni....!
Back
Top Bottom