Habari wana JF
Nauza nyumba yangu kwa 22mil kwenye eneo lenye ukubwa wa sq 500 imepauliwa na bati la msauzi mgongo mpana ila sijaendelea na chochote baada ya hapo... Ila ni nyumba ya vyumba 3 vya kulala kimoja masta, sebule, dining, public toilet,bafu na jiko.
Umeme na maji vyote vipo jirani...
Unaweza kuuza bidhaa kama izi kwa malipo kadiri unavyouza, kwa bajeti yangu ni malipo ya 150,000 kwa mwezi, ingawaje ukitaka kulipwa kwa wiki pia inawezekana kulingana target tulizowekeana...
Bidhaa yenyewe ni dagaa fresh za kukaanga kutoka Mwanza kuja Dar...Kama zinavyoonekana hapa...

Habari kaka, mimi nina bidhaa zangu za dagaa za kukaanga zimepakiwa tayari kwa kuuzwa popote kwa malipo ya commission unaweza kufanya kazi iyo.??...0657940974
Habari wanajf,
Kuna rafiki yangu ana kampuni yake anamtafuta mama ambaye ni muhasibu lakini ni mstaafu kutoka TRA afanye nae kazi kama General manager wake...
Anayemfahamu aniinbox tafadhali...Eneo ni Dar
Habari wana jf,
Mimi ni dada, elimu yangu ni Bachelor ya Business Administration in Accounting, kwa sasa ni mwajiriwa kwenye kampuni moja kubwa tu hapa Dar kama Payroll Accountant. Mbali na kuajiriwa natafuta tenda ya kuwa nafanya malipo mbalimbali kama mishahara, Suppliers n.k either ni Online...

Ningependa kuwashukuru wale wote walioonyesha nia ya kunisaidia na kunishauri ila kwa bahati mbaya mama hatupo nae duniani..Amepumzika kwenye nyumba yake ya milele...
Ningependa kuwashukuru wale wote walioonyesha nia ya kunisaidia na kunishauri ila kwa bahati mbaya mama hatupo nae tena duniani..Amepumzika kwenye nyumba yake ya milele wiki mbili zimepita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.