Search results

  1. M

    Busara za Mlosi K. Mtulutumbi zilizo sahaulika

    Huyu jamaa alitabiri mambo mengi ynayoendelea! Jisomee Salamu zangu zikufikie......Mjomba daktari! Mjomba wangu daktari, salamu sana, Ama baada ya salamu, Kwanza nitoe shukrani kubwa kwa kunirudishia majibu ya kina nilipokuuliza swali kwa nini mama na mpenzi wake baba waliamua kuniita...
  2. M

    Watetea wa haki za binadamu waomba ushirikiano wa wenzao ulimwenguni kuhusu madaktari

    Taarifa nilizata hivi punde ni kwamba watetezi wa hakinza binadamu wamewasilisha maombi kwa asasi za kimataifa zinazojihusisha na masuala ya haki za binadamu kuingilia kati mgogoro unaoendelea nchini kati ya madaktari na serikali. Chanzo cha kuaminika kinaendelea kutafuta nakala ya barua ya...
  3. M

    Said Mwaipopo anaudanganya umma!

    Nilipata matumaini makubwa sana ya kupata usuluhishi wa mgogoro kati ya madaktari na Serikali hasa baada ya Waliojiita Viongozi wa dini walipojiingiza katika Suala hili. Binafsi namheshimu sana mtu anayetaja jina la Mungu lakini pia namdharau sana mtu ambaye anatumia jina la Mungu ili kujipatia...
Back
Top Bottom