Search results

  1. G

    Nauza line ya M-Pesa

    Kuweni serious basi...
  2. G

    Kazi kwenye media

    Habari, Mimi ni msichana wa miaka 22,nipo chuo nachukua "degree ya Computer Science".Kwa muda wa likizo ningependa kufanya kazi katika chombo chochote cha habari kwa kujitolea.Nia yangu ni kupata uzoefu kwani ni fani ambayo ninaipenda japo kwa sababu moja ama nyingine sikufanikiwa kuisoma moja...
  3. G

    Maji ya bendera

    Habari zenu wanaJF,mara kadhaa nimekutana na huu msemo "kunywa maji ya bendera" ningependa kujua maana yake hasa ni ipi?Ahsanteni.
  4. G

    Tupia hapa

    Pata picha siku zingeitwa kwa rangi mfano Whiteday,blueday,blackday,..... list yako ungependa iwe vp?
  5. G

    Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

    Looking forward to hear from you...
  6. G

    Sheria zinazolinda watoto

    Habari zenu wana JF, Naomba kuuliza sheria inasemaje kuhusu watoto wanaonyanyaswa na mama zao wa kambo? Yaani asubuhi nimeamshwa na kelele za mtoto aliyekimbilia kwa jirani kujificha asipigwe na mama yake wa kambo ambapo pia hakupata msaada kipigo kiliendelea humo ndani kwa watu.Mimi nadhani ni...
  7. G

    Lipi kati ya haya hujawahi kufanya Utotoni?

    Mh mama'ngu alikuwa mkali huyo no.1,4,6 labda kama najua ameenda mbali sana ingawa pia watoto majirani walikuwa wananisemea akirudi' no.3,5,7,8 sina kumbukumbu hiyo maana ilikuwa ukijaribu tu.... no.2 mmh hii sana tu. Hivi ni kweli ukiruka stage unairudia ukubwani?
  8. G

    Downloading

    Habari zenu, Kuna masomo nachukua online ila yamekuwa presented kwenye powerpoint.Naomba msaada wa namna ya kudownload. Ni hayo tu.
  9. G

    Business online

    mh ahsante kwa ufahamu huu,i wanna try it then i'll inform you.Thanx
  10. G

    The great the distance the great the love!

    Kwani unadhani ni mtoto basi?ni mtu mzima bana actually he is my fiancee.
  11. G

    The great the distance the great the love!

    Natamani bf wangu angeelewa na kukubaliana na hili....:A S 39:
  12. G

    Mpango mpya

    Habari zenu wakuu, Jamani wengine sensa ndo kama hivi imetutema kama kuna mwenye kamchongo kengine ka kusogezea siku vyuo vifunguliwe ajimwage basi maana :lalala:.......
  13. G

    Kwanini mmeweka form yangu ya maombi ya SENSA kwenye RECYCLE BIN?

    Dah! basi tu asiyekubali kushindwa si mshindani,naamin zitakuja nyingine..
  14. G

    Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    Habari zenu wana JF, mimi bado ni mwanafunzi ila natamani kujijengea msingi wa kuwekeza katika sehemu mbalimbali kwa kuanza na kidogo nilichonacho.Kuna maeneo ya kwetu hayana huduma ya M-Pesa na nadhani inaweza ikawa sehemu ya kuanzia endapo nitapata msaada wa kujua ni vitu gani natakiwa...
  15. G

    Business online

    Habari zenu wana JF, Katika zungukazunguka yangu kwenye mtandao nimekutana na hii kitu wanaita Home Income Package ambapo waweza kufanya kazi online na ukalipwa kwa application fee ya $24.97,naomba kuuliza hiki kitu ni cha kweli? link yao hii kwa atakayetaka kujionea News Weekly | Work at...
  16. G

    You tube downloading

    Regards, May I have someone to help me on the difference between download and quick download on youtube DownLoadHelper. Thanks in advance.
  17. G

    QT Centre

    Hello JF members, am looking for a seriously teaching QT Centre anywhere in Dar es Salaam.May I have your help please....
  18. G

    Mikopo ya nyumba Azania bank

    Habari zenu wana JF... Naomba kupata maelezo kuhusu mikopo ya nyumba inayotolewa na benki ya azania,chochote unachofahamu sababu huwa naona tu matangazo kwenye mabango. Ahsante.
  19. G

    Configure internet on your phone with tigo jamaa

    thanx Bille i realy wanted that since am too busy to stop by the centres offering that service but now i think with tigo jamaa my task is made simple.Thanx to tigo for tour services.
Back
Top Bottom