Search results

  1. waza_makubwa

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    hilo nakuunga mkono, wapo wengi wanapiga kimya kimya
  2. waza_makubwa

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    FX kuna materials ninayo yako deep, unahitaji PM me ila sio bure
  3. waza_makubwa

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Unaposema awe Mwanza utakwama jamaa yangu. Maendeleo hayana ukanda.
  4. waza_makubwa

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    mkuu huyu jamaa hafai, achana nae aisee, dah mimi nilishangaa sana kuna siku candles zinachorwa utafikiri ni za stocks :p:p:p
  5. waza_makubwa

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Nilikuwa ktk demo, system yake ilitoweka hewani sioni kinachoendelea sokoni takribani dk 15, hiyo imetokea zaidi ya mara 2, unaweka order ya instant excution inachukua mda sana, una-close order na profit inabaki connecting mwisho una-close na loss. Hizo 10% nimempa kwa kuwa ni demo, ingekuwa...
  6. waza_makubwa

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Broker mbovu huyo, nyie angalieni urahisi wa deposit tu ila huyu jamaa hafai hata 10% kwa upande wangu
  7. waza_makubwa

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Knowing what to do is important as knowing what not to do
  8. waza_makubwa

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    fx ni tamu ukishaijua, inakupasa kweli upige mazoezi ya kutosha, use low timeframe kujua what next if you know PA. Fahamu namna ya kuchora support and resistance na ujue when it's broken. Ni kweli vitabu % kubwa ni hadithi sio real action. Mambo ya kupanga sijui pips ngapi kwa siku ni hakuna...
  9. waza_makubwa

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Hata mienipo ktk demo, piga zoezi mkuu. Nicheki PM, maana sina watu wa kupiga nao soga juu ya hili swala
  10. waza_makubwa

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    La msingi pia ni kujaribu kufanya majaribio ya makusudi juu hayo niliyoyasema ili uone kama ni kweli ama la, bila kujifunza kupitia makosa utajiamini sana.
  11. waza_makubwa

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Tumia hii website, fanya utafiti mwenyewe ujue ni mda upi biashara inachangamka ili ukifungua ku-analyze ukaona soko limelala unafanya mambo mengine huku ukiwasubiria big boys waje kazini nawe uwaunge mikono Live Trading Hours monitor (Trading Sessions) Ukisema mtu akwambie mda upi u-trade...
  12. waza_makubwa

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    mimi niliipuuza nikawa na mambo mengine, kwa sasa nimeanza kusoma, nafanya mazoezi
Back
Top Bottom