Search results

  1. M

    Lowassa AKIJIELEZEA UCHUNGU Kwenye youtube

    Mimi hata siamini, maana alipewa maksi kibao na wazalendo. Kama kweli ameiibia nchi, inambidi atubu mbele ya watanzania ndipo atasamehemewa na mungu pia. Naona dhambi yake ni kubwa na akiendelea kuifunika haitaacha kunuka katika historia ya Tanzania. Na hii ni kwa sababu aliaminiwa na kila...
Back
Top Bottom