Search results

  1. malisoka

    Vita ya corona: Aljazeera wanatumiwa kutuchafua tena

    Ukiwa muwazi/ kila mtu atakufuata . ukiwa mkali na muongo kila mtu atatafuta habari zake mwenyewe. Tusimlaumu mtu jamani.
  2. malisoka

    TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

    G Sam, Mmmmmmmmmm! Vifaa vya kujifukiza? Daaaaaaah! Kuna mtu damu ya watanzania wanaojifukiza na kufa ipo juu ya kicha chake na mikono yake.
  3. malisoka

    TANZIA TANZIA: Getrude Rwakatare, Mbunge na Mchungaji wa Kanisa la TAG (Mlima wa Moto - Mikocheni B) nchini Tanzania, afariki dunia

    Nimemsikia Mbunge Lema huko tweeter akisema yupo kwenye isolation. Sijui alikuwa na maana gani? Ila nimepuuza tu.
  4. malisoka

    TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

    Nasema tu lakini inaweza kuwa sio kweli. Kama yule mzee waliyemzika zanzibar alikuwa kwa corona. Basi huko zanzibar kutakuwa na shida sana. Huku kwetu tumezoea shida.
  5. malisoka

    TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

    Walokole wajinga sana! Leo nimekuwa na walokole flani, nikawaelezea wawe waangalifu. Yakanijibu " ambao hawana Yesu ndio watakao kufa na korona" Pumbavu kabisa! ndiyo maana walokole wanasemekana wamechanganyikiwa kidogo.
  6. malisoka

    TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

    Nashukuru kwa kuwa limetokea barazani kwenye kioo cha jamiii. Na kama hawatachukua hatua watakwisha na tutakwisha! Mtanzania chukua hatua, nawa mikono kwa sabuni, epuka misongamano. kama huna safari ya lazima usije Dar es salaam! Please!
  7. malisoka

    CHATO: Rais Magufuli asema Serikali haitafunga mipaka wala kuwazuia watu kutoka ndani ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona

    Mmmmmmmmmmmmmmm! Ila tutataka awe mfano wa kuigwa aje DSM na aendelee kwenye mikusanyiko huku akipiga kazi. Ila tukumbuke maneno ya Rais mstaafu "Changanya na zako"
  8. malisoka

    Safari ya Mwisho ya Mwanahabari Nguli wa Siasa, Marin Hassan Marine, Alianzisha Jambo TZ na Ameacha Alama ya TBC Aridhio

    Tukisema wewe ni kigeugeu unasema tunakuandama na kukusemea uongo. Jana ulisema Jamii forums Basi! Sasa bado upo humu unafanya nini Pascal si uende huko?
  9. malisoka

    TANZIA: Mwandishi nguli wa Habari Marin Hassan Marin afariki dunia

    Ni kweli jamani? Maana siku ya leo ni ya mashaka sana maana wapumbavu na wajinga wengi wapo mitaani.
  10. malisoka

    Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

    Haaaaaaaaaaaa! hivi haukuwa mwanachama wa CCM kweli? Kwa mimi nilijua na haiba yako ni mwanachama wa CCM. I think you Just create News. Kimsingi ni kama unacheza na mfuko wako huo huo unatoa pesa huku na kuweka kule. hongera. Umeji cheap price.
  11. malisoka

    Sisi Tunaokula Mboga, Tusiwalaumu wale wanakula nyama" Vitabu Vitakatifu vimeandika"

    Kumekuwa na kashfa za hapa na pale kati ya nchi hii na nchi zile kwamba wengine wanachukua juhudi na wengine wana wemejachia kama hakua corona. Nimesoma leo asubuhi Watanzania tumeanza kushutumu nchi zingine kama kejeli kwamba wapambane , mara wajibebe nk. Sisi tuliochagua kula Mboga...
  12. malisoka

    Hii ni aibu kubwa: Ndege tumenunua kwa keshi, vifaa vya kupambana na Corona tumesubiri msaada wa Jack Ma

    Umeandika vizuri sana. your greater thinker. Ila umeharibu kidogo umeandika kisiasa sana. Ijapokuwa huu ni wakati wa kupima akili kubwa na ndogo, maamuzi magumu au ya kigugumizi. Pia ni wakati wa kuweka imani kwa serikali yetu au ku demotion serikali hii kwa hatua na uharaka wa kushughulika na...
  13. malisoka

    RC Paul Makonda: Mbowe ameahirisha mikutano ya CHADEMA baada ya mwanaye kuambukizwa Corona

    Hivi CCM naona sasa ebu tuwazungumzie kwa ukali kidogo. Hivi Makonda na genge lako ni lini mtatofautisha siasa na kazi, Ni lini Utatofautisha mzaha na hekima. Ni lini tuwasubiri mkue ili tuwaamini? Huu si wakati wa mzaha kwenye gonjwa hili. RC Makonda nilikuwaga ninawaza waza pia kwamba...
  14. malisoka

    RC Makonda, Dar ni jiji la wote, vyama vyote. Mbowe sio mwanasiasa uchwara aliyefilisika, Zitto sio mshirikina. Tunakupenda, heshimu wote uheshimiwe

    Paskalili leo umeng'ata bwana!. tusubiri kesho upulize pale ulipong'ata. usisahau kupuliza ngosha! Isije kukuletea shida RC kumuita dogo!
  15. malisoka

    Kimara, Dar: Polisi wawakamata kwa uzururaji Daktari chriscyrilo na Daktari Shindo Kilawa

    Nionavyo Mimi hawa vijana wetu wanafanya fujo sana, hawafuati sheria wala utaratibu. Mimi ninafikiria mamlaka hasa IGP awatangazie wananchi kwamba hawa watu wanapokuja kumkamata mtu wafuate sheria na utaratibu. Ndiyo wakati mwingine mtu anakamatwa mjini sio nyumbani basi waoneshi...
Back
Top Bottom