Search results

  1. B

    Wanahabari wazalendo wako wapi.... Mbona mmenyamaza japo mwanahalisi amefungiwa?

    Hii sheria ya magazeti ya 1976 ni kati ya sheria 25 zilizo orodheshwa na Nyalali, aliyekuwa jaji mkuu, zinazotakiwa kufutwa. Sheria hii hutumika kufuta magazeti yanayo kosoa serikali na kuvitisha vyombo vingine vya habari. Kwa sheria hii ya Magazeti ya 1976 serikali ndiyo mlalamikaji, mwendesha...
  2. B

    Msaada wa kisheria kuishitaki mifuko ya hifadhi ya jamii mfano nssf,ppf,..nk

    Nakubaliana na uamuzi wa kulifikisha hili suala mahakama kuu kuipinga sheria hii ni mbovu inayo pora haki zetu mchana kweupe. Inafanya maisha bora kwa kila mtanzania kuwa ndoto. Tuna mkumbuka Nyerere:A S cry::A S cry:
  3. B

    Serikali imetoa agizo leo la kusimamisha withdraw kwa wanachama wote wa hifadhi za jamii

    Ni kweli serikali imepitisha sheria kuzuia watu wanao acha au kufukuzwa kazi kudai mafao yao kabla ya kutimiza miaka 55. Huu ni upuuzi wa hali ya juu, sijui nchi inakwenda wapi. Hivi inaingia akilini mtu anae dai milioni 10 kusubiri afikishe umri wa kustaafu ndiyo apewe hiyo milioni kumi...
  4. B

    Madaktari wanalilia kuondokana na hiki....

    Kwakweli nimekuwa nikifuatilia sakata la madaktari na serikali kwa huzuni sana. Tangu mgogoro huu uanze maisha ya watu wasio na hatia yamepotea. Swali ni nani alaumiwe, madaktari au serikali? Kwa wananchi wengi, ukisikiliza redio, lawama nyingi zimekuwa zikielekezwa kwa madaktari. Inawezekana...
Back
Top Bottom