Search results

  1. H

    Milioni 700 zatengwa kwa uhamisho wa wafanyakazi nhif

    Wizara ya afya tunaomba ifanye mabadiliko kwa viongozi wa mfuko huu hasa mkurugenzi mkuu wao maana jamaa ni mbabe kama nini anaongoza kwa ukatili na manyanyaso kwa wafanyakazi.Kaweka viongozi wachini yake kama vivuli tu kila jambo anaamua mwenyewe.
  2. H

    Milioni 700 zatengwa kwa uhamisho wa wafanyakazi nhif

    Tunakatwa mishahara yetu kwa manufaa ya wachache, walimpue tu tunahitaji nguvu mpya 2015
  3. H

    Kuhusu usaili nhif

    Mdau pale hata usihangaike mkurugenzi wao anaajiri watoto wa vigogo tu.
Back
Top Bottom