Search results

  1. M

    Tibaijuka: Nimepokea Bilioni ya Mbia wa IPTL! Malipo yalisimamiwa na BoT

    Kwanza huyu mama hana heshima kwa watanzania kutuambia amepewa dollar milion moja kama zawadi alitakiwa akamatwe na huyo aliompa hizo hela.Waziri mzima unajitetea kitoto.Eti sikujua?shame on u.sheria inasemaje kwa kutokujua?
  2. M

    Pinda hakujikwaa ulimi wala hakuteleza

    haki itendeke na hionekane ikitendeka ndo amani iatkuwepo
  3. M

    Hi ndiyo ilikuwa tofauti kubwa aliyoigundua Nyerere kati ya Mkapa na Kikwete mwaka 1995

    Mkapa hakufanya uraisi na chama cha familia kikwete amefanya hivo
  4. M

    Dr. Slaa Apata Pigo!

    kwa motokeo haya ya fastjet ni slaa 3.2 ili amfikie fast jet kwa ufaulu huu wanaoita wizara ya elimu
  5. M

    Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

    ukichanganya na wliopata Four ambao pia wamefeli ingawaje CCM inaona wamefaulu kati ya asilimia 75 mpka 80 wamefeli mwaka huu.Tanzania inaangamia
  6. M

    Tamko la Madiwani wa Manispaa ya Temeke kuhusu mradi wa Kigamboni

    Nina wasiwasi mkubwa na hii kigamboni inayoonekana hot cake saa hizi baada ya miaka hamsini baada ya uhuru.Isije ikawa kuna ugunduzi wa sri umefanika na kukaonekana kuna mafuta/gesi na mataifa makubwa ndo wananyemelea nasi tunadanganywa tunajengewa mji kisasa.Mikataba yote imekuwa siri na hata...
  7. M

    Waziri Tizeba aamua kuondoka hotelini baada ya bili ya 100milioni

    Ni jambo la kushangaza mwanamme mzima kuhama kutoka nyumbani na kwenda kukaa hotelini kisa umekuwa waziri.Ni kukosa uzalendo,kuwa mlafi na wala huwezi kuwa mfano kwenye taifa.100m si mchezo jamani!!!si halali hata mara moja kwa mimi kuendelea kulipa kodi.Lakini turudi nyuma mzee fastjet ndo...
  8. M

    Lema asitisha wanafunzi kuendelea kusoma Korona Sec

    kwa hali ya kawaida mtoto kama anatembea kilomita 6 kwenda na kurudi 6 haina maana ya kuitwa mwanafunzi afadhali wamuite mwanajeshi.Afadhali Lema amefanya maamuzi magumu na kuifunga hiyo shule wacha mkuu wa wilaya atape tape then naye ataifunga lakini kwa kupigwa stata na Lema. kwa serikali...
  9. M

    Dr Slaa ajibu tuhuma dhidi yake

    Milioni ishirini hata mkiniambia mimi nalipa cash bila chenga mwache mzee wetu atulie afanye kazi za chama
  10. M

    Ujumbe uliofuatana na Kikwete watia aibu mkutano na rais wa Ufaransa

    Jamaa kavaa nguo ningi sana ndo maana analala,Si mambo ya mabaridi
  11. M

    Ujumbe uliofuatana na Kikwete watia aibu mkutano na rais wa Ufaransa

    Sasa kama maluga wanayoongea sijui nitafanyaje napata mausingizi yangu na wengine mnatafuta malipstick au rangi za kucha si wananipotezea muda.
  12. M

    Werema: Balozi wa Uswisi nchini amekosa adabu!

    Huyu balozi wa uswisi hakutaka kujilinganisha na Warema kwa njia yeyote alitoa maoni yake kuhusu mahela ya walala hoi wa Tz na amesema Serekali haijafanya chochote kutaka hayo mahela na ni ukweli huo usiri anaosema na kuulinganisha na mvua samaki ni yaleyale maeneno ya Hosea ambayo hayatusaidii...
  13. M

    Natafuta mchumba aliye tayari kunioa

    wewe kweli ni mwehu unajiunga leo na kuanza kutafuta mchumba.Fikiria zaidi na utulie.Post yako tu ya kwanza natafuta mchumba!!!!!!!!
  14. M

    Zile ahadi 1001 za JK wakati wa kampeni za 2010 ilikuwa usanii au hadaa?

    kama si mwehu uwezi toa ahadi kama hizi.Dhaifu apitie hizi ahadi abadili katiba ili amalize ahadi zake
  15. M

    Napinga sehemu ya malipo ya Lema...

    VIKWAZO kaka unalilia viela vidogo wakati kuna mahela yapo uswis hata amdai. Mi naona lema alipwe na wale majaji vihiyo waliotoa hukumu feki ya kumkandamiza lema kwa kulazimishwa na ccm. Pia alipwe per diem zake mbona wengine wanaenda bungeni kulala kama Wasira na wanalipwa
  16. M

    Tunaomba mtuwekee hukumu ya Lema

    Tundu liau atatuwekea kuonyesha majaji vihiyo waliotufanya tusiwe na mbunge mpaka leo Arusha
  17. M

    Nape, mfukuzeni Dr. Slaa uanachama CCM

    Nape kwa comment kama hii na masters ya mzumbe unatudhalilisha sana alumnai wa mzumbe
  18. M

    Hivi ndivyo viwango vya elimu vya 'majembe' ya CHADEMA!

    Naomba ikiwezekana tuwekee na ya profes Maji marefu tafadhali
  19. M

    Migiro kuwa Katibu Uhusiano wa Kimataifa CCM: Ni Demotion ama?

    Kuliko Minziro kuingia CCM ni afadhali angechukua hayo mapesa afungue hat NGO ya kusaidia vijana kupata kazi huko majuu au kutoa knowledge tu ya mambo fulani.
  20. M

    Barua ya wazi kwa Mheshimiwa Rais

    Pamoja na hayo umesahau safari za kila siku za raisi(omba omba)bila kuwa na tija unachopata huko hakifikii unachotumia kwenda kuomba
Back
Top Bottom