Search results

  1. Ndachuwa

    Uchaguzi 2020 Pendekezo la kuwepo kwa serikali ya umoja wa kitaifa 2020 to 2025

    Kufuatia hali ya kutokuaminiana katika uendeshaji wa shuhuli za kisiasa ikiwemo chaguzi mbalimbali hapa nchini Tanzania, napendekeza badala ya kuitisha uchaguzi mkuu 2020 iundwe serikali ya umoja wa kitaifa itakayoshirikisha vyama vyote vyenye wabunge ili kufanya yafuatayo:- (i) Pesa yote ya...
  2. Ndachuwa

    Arusha leo imeshuhudia mvua iliyoambatana na barafu

    Kwa mara ya kwanza tangu miaka mingi jiji la Arusha leo limeshuhudia mvua iliyoambatana na barafu. Nimekuwepo Arusha toka mwaka 2000, leo ni mara ya kwanza kushuhudia mvua iliyoambatana na barafu
  3. Ndachuwa

    Angalia watoto wetu wanavyoteseka kwa Serikali kufuta utaratibu wa mihula mitatu

    Shule za binafsi zilikuwa na utaratibu wa kuendeshwa kwa mihula mitatu yaani January - March; April /Masika wanakuwa likikizo; May -July; August / Vuli wanakuwa likizo, September - November; December / msimu wa sikuuu za mwisho wa mwaka wanakuwa nyumbani. Kwa serikali kupiga marufuku utaratibu...
  4. Ndachuwa

    Tahadhari: Matapeli wana hack simu yako na kuwatumia msg marafiki zako kuwa uwatumie hela

    Jana simu yangu ya AIRTEL ilikuwa "HACKED" na baadhi ya namba za watu walioko kwenye simu yangu kutumiwa ujumbe wa kutakiwa kutuma pesa. Moja wa ujumbe ni huu hapa chini: Nawaasa mtu yoyote akitakiwa kutuma pesa kwa ujumbe toka mtu wako wa karibu na huyo mtu ukimpigia simu hapatikani, usitume...
  5. Ndachuwa

    Tetemeko la ardhi laikumba Arusha

    Majira ya saa 6.58 pamekuwepo na tetemeko la ardhi hapa Arusha. Mtetemesho haukuwa wa kutisha sana ingawaje tuliokuwa ghorofani tumepata hofu kidogo
  6. Ndachuwa

    What Tanzania can learn from Hong Kong

    For three days I spent at Hong Kong, I did not see any expensive vehicle like Toyota Landcruiser GX or VX - our government should do away with luxuriously cars instead use economy cars like NOAH. Most of people use public transport and very rare private cars are seen causing to traffic jams -...
  7. Ndachuwa

    I need projector's lens

    My office projector Mondevue AMV-X2500 is not working (projecting) and I am told that it needs new "jicho" projection lens. Anybody who can assist, I am based in Arusha
  8. Ndachuwa

    Basi la Mtei lachomwa moto

    Wananchi wenye hasira wameteketeza kwa kuchoma moto basi la Mtei Express linalosafiri kati ya Singida - Arusha - Singida baada ya kugonga pikipiki na kuua watoto watatu hivi punde Source: mpiga debe wa Mtei aliyeko stand kuu Arusha ---------------
  9. Ndachuwa

    Happy New 2014 good bye 2013 with all misfortunes

    I wish JF members happy new year 2014 and goodbye to 2013 misfortunes
  10. Ndachuwa

    Tanzania finance act 2013

    Ndugu wana JF, wakati wa kuhitimisha mjadala wa bajeti ya Tanzania sikuweza kufuatilia hivyo sifahamu kama mapendekezo yote yaliyokuwa kwenye hotuba ya bajeti yalipitishwa kuwa sheria. Naomba sana mwenye nakala ya Finance Act 2013 (final version) anipatie nakala
  11. Ndachuwa

    Debt Ceiling: Who set ceiling for Tanzania's Government?

    The amount of debt that can be carried at any given time or the maximumborrowingpower of a government. This measure was created under the SecondLiberty Bond Act of 1917 in order to limit spending by the US government and hold the President more accountable for financialdecisions, but since then...
  12. Ndachuwa

    Internal auditor, accountants and HR required

    These posts appeared on Daily of 17 January 2013; deadline for application is 31 January 2013
  13. Ndachuwa

    Waheshimiwa Dr. Pombe Magufuli na Dr. Cyril Chami

    Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza kwa kazi nzuri manayofanya ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Taifa hili la Tanzania. Pongezi binafsi ziende kwa Mh. Dr Magufuli kwa kusimamia vema ubora wa miradi ya barabara (Value for Money). Msukumo wangu wa kuwaandikia ni kuhusiana na...
  14. Ndachuwa

    Kodi toka Watanzania wanaofanya kazi nje ya Tanzania

    Katika mapendekezo ya bajeti ya Serikali na ile ya Upinzani rasmi bungeni sijasikia kodi toka kwa wafanyakazi wanaofanya kazi nje ya nchi kama moja ya vyanzo vya mapato. Mojawapo ya nchi inayonufaika na mchango toka hii sekta (export labour) ni Sri Lanka. Tanzania kwa sasa tunazalisha nguvu...
  15. Ndachuwa

    Assistant tax consultant cum assistant auditor

    Operating from Arusha, Tanzania a fast growing audit and accounting firm has one vacant for assistant tax consultant. His/her roles will be handling tax affairs of various clients and doing audits of not-for-profit clients. Experienced accounting technician currently enrolled with NBAA at...
  16. Ndachuwa

    Depreciation of tanzania shilling, are policy makers still asleep?

    What are policy makers (Government and BoT) doing to make our shilling stable? 1. "If a factor increases the demand for domestic goods relatively to foreign goods, the domestic currency will appreciate; if a factor decreases the relative demand for domestic goods, the domestic currency will...
  17. Ndachuwa

    Kwaheri 2011 na machungu yake karibu 2012 na baraka zake

    Eeh Mungu mwenyezi mwingi wa rehema na baraka, nashukuru kwa baraka ya uhai hata kufika siku ya leo ninapoelekea kuaga mwaka 2011 na kuupokea mwaka 2012 kwa moyo mkunjufu. Nashukuru Eeh Mungu Baba kwa mapito yote niliyokumbana nayo mwaka huu na wakati wote nilijipa moyo nikiamini hutanitupa...
  18. Ndachuwa

    Hongera Raisi Obama-wanaopata mapato makubwa walipe kodi kubwa

    Nampongeza kwa dhati Raisi Obama wa Marekani kwa kusudio lake la kuongeza kodi kwa wale wenye mapato makubwa kuchangia zaidi serikali yao. Naamini kwa kuwa Raisi wetu Jakaya Kikwete yuko huko Marekani, hotuba ya Obama itamfanya aelewe kile CHADEMA walichokuwa wanatetea katika Bunge la Bajeti...
  19. Ndachuwa

    Moshi

    Mungu Onyesha Sehemu Hela Ilipo ni maneno ya mmoja wa wasema chocote hapa Arusha
  20. Ndachuwa

    Bidhaa iliyoharamishwa kama dawa za kulevya kuwa na bei ya soko inakuwaje?

    Source: BBC Idhaa ya Kiswahili matangazo ya saa 12.30 jioni Polisi inawashikilia watu wanne (4) - watu wawili raia wa Pakistani na wengine wawili raia wa Tanzania kwa kukamatwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya Dola za kimarekani 2,000,000. Kama madawa ya kulevya yameharamishwa bei ya...
Back
Top Bottom