Search results

  1. Paladin

    Lowassa aendelea kuwaburuza UKAWA. Amkataa Juma Duni Haji (Mgombea Mwenza), amtaka Ismail Jussa

    Kwanza nijue Ukawa ni chama?? Na katiba inasemaje kuhusu mgombea na mgombea mwenza?? Huwezi kuwa na mgombea urais atoke chadema alafu mwenza atoke kafu!
  2. Paladin

    Wanasiasa vijana ni wanafiki, wajivuni na wapenda sifa

    Ben nikupe kitu cha ushindi!! Fanya hivi na utakua mshindi!! Usijibu tuhuma kwa maneno! Kaakimya jiandae kuwajibu kwa vitendo! Ukimya ni ushindi mkubwa! Umejibu hii post ya mwehu ki wehu! Usijibizane na wehu! Maana utaanguka.
  3. Paladin

    Edward Lowassa: Mwanasiasa, mchapakazi, mfanyabiashara anayetabasamu!

    Wakupiga kura ni sisi na tunajua chaguo letu!! Lowassa hata ukimuweka katika dimbwi la tope atatoka msafi!
  4. Paladin

    Taarifa ya BAVICHA kwa vyombo vya habari kuhusu kuwavua uanachama wanachama wake

    Sasa huyo muanzilishi wa Masalia mbona kapewa onyo tu?
  5. Paladin

    January Makamba: Waliozaliwa kabla ya 1961 waachane na wazo la Urais 2015!

    Mganga wao kawashauri vibaya hawa vijana matamaa! Kiongozi mzuri tunamuona sisi na siyo waanze kujisifu eti wao vijana wanafaa!
  6. Paladin

    Slaa katika 'kumepambazuka' ya ITV

    Sidhani! Embu kwanza wazime hizo mambo za kukihujumu chama na kutupiana maneno yasiyo na msingi wa kimapinduzi zaidi ya chuki
  7. Paladin

    Pinda na umiliki wa Sumry Express

    Sidhani kama imekaa kijamii forums hii ipo ki udaku udaku tu!
  8. Paladin

    Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    CHADEMA Kwa style hii mnapoteza mwelekeo! Mmnatuhubiria kwamba mnataka kutukomboa sasa kwa mwendo huu wa majungu sijui!
  9. Paladin

    Deus Mallya: Maswali na majibu ya Kifo cha Wangwe, Siasa n.k

    Watu wengine wanafikiri kwa kutumia yale Aliyosema Masabiri, wewe nani kakuambia elimu haisaidii? Unataka chama kiwe na wabunge na viongozi wenye akili na upeo finy kama zako? Jitambue kenge wewe! Au anakuhonga bia? Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  10. Paladin

    Deus Mallya: Maswali na majibu ya Kifo cha Wangwe, Siasa n.k

    Naona maelezo hayajaeleweka! Mr Mallya nataka majibu Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  11. Paladin

    Deus Mallya: Maswali na majibu ya Kifo cha Wangwe, Siasa n.k

    Wewe Deus Mallya! Naomba usilete CV yako ila sema kimoja tu, umemaliza Form four shule gani? Na usiwadanganye wana JF! Maana ukae ukijua kama elimu yako itakua haina maana kama utadanganya wale wanao kujua. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  12. Paladin

    Ramadhan imeleta mshikamano bungeni - Makinda

    Wewe unayesema mafisadi ni wakristo anamtindio wa ubongo! Tena yaelekea anafikiri kwakutumia yale aliyosema masaburi! Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  13. Paladin

    Iddi Simba kuhamia CHADEMA

    Hapo kwa Aden Rage ndugu yangu mbona kama ushabiki wa mpira sasa! Embu tuambie tatizo la Rage maana mi sijui! Kala hela za kumuuza Samatha? Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  14. Paladin

    Dk.Slaa lipa deni hili la CHADEMA

    Mmmmmh! Ndugu mbona unaleta habari ambazo kama nzito sana na ni ngumu kuzielewa hivi hivi! Ukweli ni upi na uzushi ni upi? Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  15. Paladin

    Natangaza kugombea ubunge 2015 - ROMBO kwa tiketi ya CHADEMA

    Ha ha ha ha! Usinichekeshe wewe! Nakuapia kama ukichukua form na ukapita kura ya maoni, mimi nitavua Gwanda nitapanda na chama chochote na ninakuhakikishia nitakumwaga! Mi nakujua sana wewe tena sana! Sasa njoo vijana tukufundishe siasa mpya! Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  16. Paladin

    Tujadili hoja na sio jaziba na chuki, Mh. MSIGWA

    Jamani! Tuheshimu dini ya kila mmoja! Tusijibizane kwa jazba na kashfa! Sote ni binadamu na tunaimani za aina tofauti! Tujiheshimu na tuheshimu imani zetu! Kila mmoja awe na anachokiamini! Acheni dhihaka hasa katika swala la imani! Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  17. Paladin

    Serikali ya Dr. Kikwete yaanza kuleta matumaini kwa watanzania

    Matumaini ya kupanda kwa garama za maisha kila kukicha, matumaini ya migomo ya madaktari na waalimu! Matumaini unayosemea ni yapi wewe mtoa mada? Kwanza sidhani kama unaipenda nchi yako wewe! Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  18. Paladin

    Wafuatao wasirudi bungeni 2016...hawa ni hatari na janga kwa Taifa

    Mnalalama sana ndugu zangu! Hapo bungeni wabunge mbona nikiwahesabu hata hawafiki 10! Changanya CHADEMA na CCM wote utapata ambao hata 10 hawafiki! Mbunge hapo kula , Mnyika, Deo, Tundu, Zitto mwenyewe siyo yule ninayemjua, sasa mwingine ni yupi? Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  19. Paladin

    Mbunge wa Chadema Kaishia Darasa la Saba-CV Hii hapa

    Sawa, kwani umeambiwa ni fisadi? Peleka ***** wako huko! Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  20. Paladin

    CHADEMA HATARI Inakuja TAZAMENI

    Uzinzi na uongozi wapi na wapi bwana! Msitutishe, mbona Clinton alikua na Kashfa ya uzinifu lakini alikua kiongozi mzuri! Wewe ulidhani Dr Slaa siyo rijali ama! Anafaa hata kama ana hayo mapungufu! Sent from my BlackBerry
Back
Top Bottom