Search results

  1. M

    Hongera Tundu Lissu: Hoja ya kurudisha Tanganyika!

    Ingawaje mie si mwana cdm, nilikumbushwa mengi kwa staili ya kisheria. Pia nilijifunza mengi kutoka hotuba yake hasa kuhusu sheria ya muungano na katiba ya muungani ambavyo kwa tafsiri yake ni vitu viwili tofauti. Nilipata historia nzuri jinsi ARTICLE 11 zilivyoongezwa na kufikia 22. Sasa...
  2. M

    Uchawi uchawi uchawi

    Ashukuru aliachiwa uhai. Hali hii inaashiria kutojitambua baada ya ulevi mwingi wa pombe na madawa ya kulevya. Pia pengine kakutwa na wahuni wakamfanyia vibaya. Naanini alipelekwa hosiiptali kwa uchunguzi. Ikiwa ni mwanafunzi wa chuo hatua za kinidhani zichukiwe dhidi yake kwa kudhalilisha chuo...
  3. M

    Wanasayansi wagundua uwepo wa bahari katika Sayari ya Mars

    Hii ni habari njema inayoonyesha uwezo wa binadamu kuendelea kutathmini mazingira yanayoizunguka dunia. Lakini haaanishi kwamba viumbe waliopo huko (kama wapo) watafanana kimaumbile na walio dunia hii. Wanweza kuwa wajanja au wajinga zaidi yetu. Kumbuka UFOs ambao ni hadithi ya kufikirika na...
Back
Top Bottom