Search results

  1. M

    CV ya Freeman Mbowe hii hapa

    Nadhani taarifa hizi za CV ya Mhe. sio sahihi kwani hata alieibua maada hakutaja ni shule gani ya msingi na ya sekondari aliyosoma Mbowe.This chapter should be closed,kuna vitu vingi vya maana vya kujadili..
  2. M

    Naomba mniombee mchumba wangu tumefikia kutoa mahari na kuvalishan pete kanikataa

    Acha ujinga changamka tafuta mwingine,mabinti wa JF wako kibao hawana wachumba,anza humu humu... ala!! Kalagha baho..
  3. M

    Mke wangu hajawahi kuniambia ananipenda

    Mkuu!! Nakupa miezi si zaidi ya miwili kama usipobadilika...atabanduliwa tu! acha mambo ya kihindi. I love U..I love U...Kama muda huu ukipita na akatamka kwa hiyari yake, Ujue tayari wamekubandulia..
  4. M

    Hiki kitendo ni cha halali wakuu?

    Balaa gani..huwezi kuvuna mahindi wakati ulipanda kunde....Vumilia tu..
  5. M

    HATAKI nimguse, eti anaangalia Tamthilia.

    Natoka kula Jack Daniel iliyomtoa roho Kanumba..halaf kama atarudia michezo yake ya tamthilia
  6. M

    HATAKI nimguse, eti anaangalia Tamthilia.

    Chomoa cable ya TV apate giza au chenga, nini bwana HAKUIJIA HICHO....!!
  7. M

    Madaktari watangaza kuendelea na mgomo, wasema propaganda haziwezi kufua dafu mbele ya ukweli

    Nafikiri sasa wabunge wakimaliza Bunge la Bajeti,waingie Muhimbili na KCMC wakatibu wagonjwa kuzuia vifo vitakavyofuata sambamba na mgomo huu..
Back
Top Bottom