Search results

  1. F

    CHADEMA, hawa wageni(wazungu) mmekubali wavuruge nChi yetu?

    Umejuaje??!! Tofauti moja kubwa ni kuwa mie silipwi wewe unalipwa na kulazimishwa kufanya hata usichoamini
  2. F

    CHADEMA, hawa wageni(wazungu) mmekubali wavuruge nChi yetu?

    Mchumba bado unasinzia nini? Soon naweka mpaka picha zao hapa, halafu mchonge tena!
  3. F

    CHADEMA, hawa wageni(wazungu) mmekubali wavuruge nChi yetu?

    Kuna ushahidi usio shaka kwamba mambo mengi ya kigaidi na uchonganishi yanayofanywa na Chadema kila kukicha nyuma yake yanamkono wa wazungu sita kutoka nje ( majina kwasasa tayari ninayo) wanaoshauri namna ya kuifanya nchi isitawalike eti!!! Sasa kama ndhani ni dhahiri Watanzania wenzetu...
  4. F

    Nilidhani Nape ni mjinga, lakini kwa hili la Uwanja wa Taifa mhhhhh!!

    Kweli kabisa ni Mzee kuliko Dr.Slaa
  5. F

    Nilidhani Nape ni mjinga, lakini kwa hili la Uwanja wa Taifa mhhhhh!!

    Tena uliothibitihswa na madaktari, tena katika jopo na Ulimboka yumo.
  6. F

    Mzee Sabodo KUSAIDIA UPINZANI SIO TATIZO: Nape

    Ungekuwa na akili sana ungetoa mapya kabisa, hilo si umefundishwa na mamaako jana, tafuta lako ndo utaonekana mjanja
  7. F

    Mzee Sabodo KUSAIDIA UPINZANI SIO TATIZO: Nape

    KWASABABU kila jema la dogo huyu hapa hutukanwa tu
  8. F

    Nilidhani Nape ni mjinga, lakini kwa hili la Uwanja wa Taifa mhhhhh!!

    kwakuwa akili yako imeishia hapo sitakujibu sana lakini mchezo ule umethibitisha kuwa.......SIASA SI UGOMVI
  9. F

    Mzee Sabodo KUSAIDIA UPINZANI SIO TATIZO: Nape

    Watukanaji wamesepa?????????!!!!!
  10. F

    Nilidhani Nape ni mjinga, lakini kwa hili la Uwanja wa Taifa mhhhhh!!

    angalia hii!!!!! ndo utajua ninchosema juu ya hichi kichwa kimoja kilichobaki CCM, iko haja ya kukichukua!!
  11. F

    Nilidhani Nape ni mjinga, lakini kwa hili la Uwanja wa Taifa mhhhhh!!

    Kama aliuweza kuona jambo zuri, akiliboresha baada ya kuliiga, unasemaje huyu ni mjinga?
  12. F

    Mzee Sabodo KUSAIDIA UPINZANI SIO TATIZO: Nape

    Nakaribisha, NARUDIA NAKARIBISHA WATUKANAJI
  13. F

    Nilidhani Nape ni mjinga, lakini kwa hili la Uwanja wa Taifa mhhhhh!!

    Hata kama mjinga kiwango chake cha ujinga si kama kinavyoonyeshwa na baadhi ya great thinkers hapa! Ngoja uone watakavyomporomoshea matusi hapa. Lakini kufanikiwa kuwaleta hawa watu pamoja, msg iliyofikishwa kwa watanzania kupitia tamasha hili na michezo mbalimbali, hakika siamini kama ni mjinga...
  14. F

    Nilidhani Nape ni mjinga, lakini kwa hili la Uwanja wa Taifa mhhhhh!!

    Kuna taarifa zisizo rasmi lakini zenye ushahidi kuwa onyesho la jana Uwanja wa Taifa ambalo kwa hakika lilifana sana hasa kwa mechi ya wabunge mashabiki wa Yanga na wabunge mashabiki wa Simba bila ya kujali itikadi zao! Mfano Zitto na Ngelejah walikuwa timu moja, wingi wa watu walihudhuria nk...
  15. F

    Mzee Sabodo KUSAIDIA UPINZANI SIO TATIZO: Nape

    Kwenye FB yake kuna kijana kaandika...KAWASAIDIA SANA MAGAMBA KWENYE HILI!
  16. F

    Mzee Sabodo KUSAIDIA UPINZANI SIO TATIZO: Nape

    MZEE SABODO KUCHANGIA UPINZANI SI TATIZO. Kuna watu wengi wanauliza nini maoni yangu juu ya uamuzi wa Mzee Sabodo kusaidia vyama vya upinzani na hasa Chadema. Kimsingi sioni tatizo kwa Mzee Sabodo kuamua kusaidia vyama vya upinzani na wakati huohuo akabaki kuwa kada mwaminifu wa CCM...
Back
Top Bottom