Search results

  1. G

    Vioja Katika Daladala!

    Dah! Hizi kali.Misemo haitakaa iishe!!!
  2. G

    bili kiboko

    Chezea DAWASCO wewe!!!...
  3. G

    Mie ndo mwanaume

    Jamaa atafuta shoka kumbe li begani mwake....Dah hii kali.
  4. G

    Ni Ujinga..

    Ni ujinga kutaka kuwasha 'bulb' kwa kiberiti..
  5. G

    ndege ya rais

    Dah! Kukariri noma,jamaa walikariri...
  6. G

    Tetesi; star times king'amuzi kushika channel zaidi ya zile zilizoorodheshwa

    Sawa wakuu hizo channel ni kwa Dar es salaam tu au kote,maana mi niko Mbozi Mbeya na inagoma tatizo laweza kuwa nini?
  7. G

    mental problem

    M.P Mkubwa Poa
  8. G

    A=z a reality [ndoa ndoano]

    So funy......
  9. G

    hii kaz ya uandish ndo maana cipendi...

    Dah! Nimeipenda hii vilevile...
  10. G

    Ramadhan KarEEm!!

    Dah! Hi kali mkuu....
  11. G

    Harakati za kutafuta kazi

    Dah! so interesting!..Yale yale yakuiga hadi jina!....
  12. G

    Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu

    Oh!! How wonderfull.......
  13. G

    babu kutoka sitimbi

    Dah!! Heri kenda shika kuliko kumi nenda uje!!!
  14. G

    Ni Ujinga..

    Ni ujinga kukutana na mzungu ukamsalimia kiingereza(Wengine ni wareno)
  15. G

    Wanashangilia mazingaombwe na wanasifia viini macho! ... Silly People!

    Sasa ninaamini kile alichokisema Confucius (551-478)BC Mwanafalsafa wa uchina kuwa "Kwa nchi inayoongozwa vizuri umaskini ni kitu cha aibu na kwa nchi inayoongozwa vibaya utajiri ni kitu cha aibu pia".Rasilimali na fursa pekee hazitoshi bali ni uongozi bora na wenye fikra hai!
  16. G

    Wanashangilia mazingaombwe na wanasifia viini macho! ... Silly People!

    Sasa naamini kile alichokisema Confucius (551-478)BC Mwanafalsafa wa uchina kuwa "Kwa nchi inayotawaliwa vizuri umaskini ni kitu cha aibu na kwa nchi inayotawaliwa vibaya utajiri ni kitu cha aibu pia".Rasilimali na fursa pekee havitoshi bali ni uongozi bora na wenye fikra hai!!
  17. G

    Tetesi madaktari kuzimua mgomo wao

    Madaktari ni watu wenye akili timamu,tukumbuke wanagoma kwanza kwa maslahi ya watanzania (Wanaokufa huku madaktari wakiwaangalia kwa huruma kwa ukosefu wa vitendea kazi) pia kwa ajili yao (Mazingira magumu ya kazi na gharama kubwa ya maisha).Serikali zingatieni madai yao (Hata kama nyinyi...
  18. G

    JamiiForums game of the year

    Kiholela holela Tz.Wenzetu Venezuela wanajenga safi na wanaingiza fedha
  19. G

    Kwa tuhuma hizi za rushwa tatizo ni CCM au watanzania wenyewe?

    Mtazamo wa wengi wanapoingia madarakani ni kuleta maendeleo ya kweli na ya haki lakini wanapokuta mfumo unanuka kwa kupendeleana na umeoza kwa rushwa nao hujikuta wameingia.Tatizo hapa ni watu na mfumo
  20. G

    Tanzania, Picha za Mgomo wa Waalimu

    Wakati serikali ikipuuza madai ya madaktari,walimu na watumishi wengine wenzetu Rwanda wanafanya kweli.Yaani hata bajeti yetu inaendana na nchi ndogo kama Rwanda jamani hii ni sawa?.Serikali timiza madai ya watu wako!!
Back
Top Bottom