Search results

  1. PDP

    Tapeli awaingiza mjini Chief Mareale na Mrisho Mpoto

    Nikweli... Stories huwa zinaripotiwa kwanamna ambayo ukweli unakuwa Mdogo, kutokana na mihemko ya aliyeandika na interest zake@meningitis
  2. PDP

    Tapeli awaingiza mjini Chief Mareale na Mrisho Mpoto

    minamfahamu. alichokifanya na anachofanya ni sahihi. sivyo kama ulivyoandika ndugu.
  3. PDP

    Tapeli awaingiza mjini Chief Mareale na Mrisho Mpoto

    HIZI HABARI ZA KUKURUPUKA NI MBAYA SAANAA... VP MTOA UZI...USHAPATA DETAILS ZA ILIKUWAJE??? AU UMETUPIA TUU KISHA UKALA KONA?? INGEPENDEZA KAMA UNGERUDI HUMU KUKAMILISHA HABARI. Regards!
  4. PDP

    Kwa anayefahamu zaidi kuhusu vifurushi vya internet Tanzania

    binamutz hayo ni yakweli. kama ndio... sasa hawa jamaa wanaokurupuka na majibu ya kwamba smart ndo mpango mzima... wanakaa wapi? na je walisoma rejea niliyowaambia kuwa naishi kigamboni?? mh.. yaani ilikuwanikainunue ila kama kuna anayesema kwa dar ilikuwa kwa wallet....mmmmh.... wacha...
  5. PDP

    Yabainika Bill Gates Mfadhili wa Boko Haram

    nomesoma mwanzo.... katikati na mwisho... then nikapitia comments.... hongereni kwa mliosoma yote...... mzalendo magazine kumbe bado zinapiga kazi eeh??
  6. PDP

    Wadau wa iphone smartphones mpoooo!

    eneo pls
  7. PDP

    Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

    SHUKRAN CHIEF... mi ninaamini yafuatayo.. 1... baadhi yetu hatuna muda wa kudadisi na kutafiti kuhusu tunayoyahitaji haswa simu.. nakujikuta tunanunua aidha kwasababu ndio toleo linalo hit au kwa kuwa recommended na marafiki 2... sina mashaka na simu latest iliyopo hewani HUAWEI G700 au HUAWEI...
  8. PDP

    Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

    kalendi.... nina majibu yakutosha na maelezo yakina kuhusiana na ulichouliza.. ila najaribu kuangalia heading/post inahusiana na smartphone za bei rahisi... sasa kuanzisha elimu darasa hapa la solar sidhani kama tutakwenda sawa.. my advice... anzisha mada kuhusiana na hilo... nitashiriki...
  9. PDP

    Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

    kujua specs ni suala jingine na kujua terminologies... effects... details and approvals ni kitu kingine... thats why unakuta kwenye ujenzi wa barabara kuna engineers(consultants) na contractors.... specs tuu hazitoshi... ndipo pale anapohitajika experienced and skilled person kukuelekeza zaidi...
  10. PDP

    Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

    HAPA NDIPO HITAJI LANGU LILIPO KWA SASA... NIPATIE ELIMU KIDOGO MAANA NADHANI THIS IS WHERE MY HEART IS... pia kama hutojali niambie hapo mwanzo kuhusu simcad nimeona kuna kitu wanaita NANO SIM.... ndo niaje hiyooo jouumbaaa Available as: Huawei Ascend P7 Dual SIM with dual sim card slots...
  11. PDP

    Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

    ZTE RedBull V5 4G LTE specifications ZTE Redbull V5 GENERAL ManufacturerZTE ModelRedbull V5 Release DateOut now DISPLAY Size5-inch Resolution1280 x 720 ProtectionTBA OtherTFT FEATURES OSAndorid Nubia UI 2.0 ChipsetQualcomm CPUQuad-core Snapdragon 400 GPU RAM1GB 2GB Battery2400mAh...
  12. PDP

    Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

    mkwawa... didnt u say kwamba OS ya android sio mpango? i am trying to remember kama kwenye trend ulishawahi lisemea hilo... if so... mbona hiyo ZTE REDBULL V5 inatumia android OS? kama sivyo na kama siko sawa basi ipotezee maana sio kesi. pia je kuna shaka yoyote if i will go for HUAWEI ASCEND...
  13. PDP

    Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

    shiiiikaaamooooo chief-mkwawa
  14. PDP

    Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

    ndio yenyewe ila HUAWEI P7 nayo ni ssshhhiiiiiddaaaaaaa
  15. PDP

    Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

    RAFIKI AKO NA TECHNO PHANTON A+ inamsumbua kwenye kasi ya internet nadhani nikwavile ina uplink na downlinks ndogo.. less than 6Mpbs... kwa maelezo zaidi pitia hapo chini... General Information 2G NetworkGSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G NetworkHSDPA 2100 4G NetworkNo SIMDual mini SIM...
  16. PDP

    Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

    umesomeka babu... nataraji kuipata toka kwa wachina wenyewe the coming week kwa 1977YEN
  17. PDP

    Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

    mm nimeshawiahika saanaa na HUAWEI ASCEND G700..... sidhani kama nitakuwa na nyingine ya kunibadili mawazo. niliangali comparison ya G700 na IPHONE 5S... nikaridhika saanaa. nakingine ni kuwa kwangu mm iphone na blackberry sizipi kipaumbele hata kidogo. my personal interests... ahsante...
  18. PDP

    Hivi hii hali mtu huzaliwa nayo au anaikuta?

    Hivi uwezo wa mtu kufanya "argument" na kutoa "facts" anazaliwa nao au anaupata katika mazingira yanayomzunguka? HAKUNA MAHUSIANO KUHUSU KUZALIWA NALO AU LAH... ILI U ARGUE NA KUTOA FACTS... NI LAZIMA UWE NA UELEWA WA KUTOSHA KUHUSU CHA KUKITOLEA FACTS... NAJUA WAJUA KUNA TOFAUTI YA WANAO...
  19. PDP

    Kwa anayefahamu zaidi kuhusu vifurushi vya internet Tanzania

    duh... ok mkuu. hapo ndo nimeelewa.... wacha nitafiti kuhusu coverages zake... kwa maana ya kigamboni then nita pop inn
Back
Top Bottom