Search results

  1. P

    Asili ya jina Tanzania na mwasisi wake: Mohammed Iqbal Dar

    Waliobuni jina la Tanzania ni watu 16 - na si mtu mmoja kata inavyoelezwa hapa. Kila mmoja wao walipata cheki ya Sh 12.50 kama sehemu yao ya zawadi ya Sh 200. Hakuna mtu aliyepata cheti cha kushinda. Wote walipata barua kutoka Katibu Mkuu pamoja na hundi. Hiyo cheti ambayo huyu bwana anaonyesha...
  2. P

    Asili ya jina Tanzania na mwasisi wake: Mohammed Iqbal Dar

    Jumla tulikuwa watu 16 waliobuni jina Tanzania. This is the story: The government announced a contest for a new name for the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on 31st July 1964. It said the new name should give the sense of unity and easy to pronounce and the deadline was 31st August...
  3. P

    50 years of Union - the contest for giving the name to the new country

    The government announced a contest for a new name for the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on 31st July 1964. It said the new name should give the sense of unity and be easy to pronounce. The deadline was 31st August. The prize for the winner was 10 pounds equivalent to Shs 200. There...
  4. P

    General's son speaking

    This is the General’s son speaking. Listen all the way thro’ & do read the comments below.... Must watch video -** Miko Peled Debunking Jewish Myths***** :** Information Clearing House: ICH
  5. P

    Mansa Musa of Mali

    Mansa Musa Of Mali Named World's Richest Man Of All Time; Gates And Buffet Also Make List
  6. P

    Who, What, Why: Why are US athletes taxed on Olympic medal wins?

    BBC BBC News - Who, What, Why: Why are US athletes taxed on Olympic medal wins? US medal-winning athletes at the Olympics have to pay tax on their prize money - something which is proving controversial in the US. But why are athletes from the US taxed when others are not? The US is right up...
  7. P

    Garama za kusoma usa dallas kwa kujilipia mwenyewe.

    kwa international student gharama ya kusoma usa in kubwa kuliko canada, australia au uk. Hakikisha kiasi cha scholarship kama in 100% au asilimia fulani. Mara nyingi vyuo hudanganya katika mambo ya scholarship - kwa mfano, husema scholarship ya mwaka itakuwa $10,000 kumbe ada katika chuo hicho...
  8. P

    Wahindi na utumwa mambo leo

    kulaumu kundi chochote - iwe wahindi, wachagga, wahaya nk ni ishara ya fikra ya kibaguzi. Kuna wahindi, wachagga na wahaya ambao wapo katika hali mbaya. Tulaumu wale walio katika uongozi ya nchi wala rushwa. Rushwa ni adui wa haki. Yote ambayo yanatokea ni kwa sababu ya rushwa. Tuache fikra ya...
  9. P

    Unyanyasaji wa polisi (FFU) wanaolinda Ikulu dhidi ya raia - 20/09/2011

    This is not new. It happened to me more than 15 years ago when I was driving and showing my kids the animals in the state house compound from the side of magogoni road. Askari alipanda katika gari langu and ikanibidi nitoe hela. Sikumbuki ngapi lakini alikuwa na bunduki na mimi nilikuwa na...
  10. P

    The street vendor who sparked a revolution that changed the world

    On Dec 19th 2010. Mohamed Bouazizi A poor Street Vendor had his fruits and vegetables - which he used to sell to feed his wife and children - destroyed by the Tunisian dictator in the payroll of the Awful Americans. He commited suicide by burning himself - and forever unshackled the Arabs...
  11. P

    Nauliza "Cheapest Call to Tanzania"

    jaribu voipcheap.com au localphones.com
  12. P

    Rostam na Manji watoe maelezo vinginevyo watiwe pingu!

    Fisadi haina rangi na Mengi amewahi kutumia rangi mara nyingi katika mambo yake ya kibiashara. Alipokabiliwa na DTV wakati alipofungua ITV, akaanza kumkosoa mmiliki wa DTV Dewji. Pia ni mjanja kutumia Wahindi katika mambo yake binafsi - e.g. ofisii yake mjini dar ni haideri plaza, ambaye ni ya...
  13. P

    Andrew Nyerere on Mwalimu humble children!

    Samahani kama nimekosa jina, lakini nazungumza mtoto wa Mwalimu. Sikuwa darasa moja, lakini tulikuwa shule moja na nilimjua kwa sababu alikuwa mtoto wa Rais. Nahakikisha yeye hanijui mimi binafsi. Samahani for this oversight.
  14. P

    Scandal in NECTA

    What is this scandal going on in necta? Does anybody have details?
  15. P

    Andrew Nyerere on Mwalimu humble children!

    Wakati sisi na wanafunzi wengine wa Mkwawa tuliongeza hela ili tupande basi kutoka Iringa kwenda Dar moja kwa moja (mwaka 1970) wakati wa likizo ya shule, Andrew Nyerere aliendelea kutumia safari warrant ya shule ambaye ililazimisha wanafunzi kwenda na basi mpaka Dodoma na kuendelea na safari ya...
  16. P

    Kiingereza cha kiTanzania

    Niliwahi kuomba passport ya Tanzania. Katika sehemu ya Emergency contact niliandika jina la baba mdogo na sehemu ya uhusiano na mwombaji niliandika " baba mdogo" . Wakati nilipopata passport ilitafsiriwa kama: young father ...story ya mwaka 1992 approx.
  17. P

    Tanzania Tycoons List...

    You mention the first name Fidahussein but forgot his last name Rashid (to avoid confusion) He is owner of Africarriers and Haidery Plaza but is NOT the owner of Zahra towers or Raha towers - pls correct the mistake
  18. P

    Role of Indians in the Tanzanian Economy

    Bw Major, kwa nini unataka kuwafuta wahindi? Biashara ni biashara na muhindi au muafrika,kama anaweza biashara afanye. Sema tuendeleze biashara ili watanzania wengi zaidi wafaidike. Kwa wahindi ni asilimia ndogo ya population, basi ni wazi wengi wataofaidika na policy hiyo ni waafrika. Lakini...
  19. P

    Role of Indians in the Tanzanian Economy

    Uhindi siyo sababu ya kuwa-label wahalifu. Jinsi walivyokuwa wengi duniani, hata marekani ni wahindi na wachina ambao wanaonekana wakifanya kazi ngumu zaidi, mabingwa katiku vyuo na hata kuendesha hospitali zao na hata wezi. Rais Nyerere, mwaka mmoja baada ya kutaifisha mabenki, aliwasifu...
Back
Top Bottom