Search results

  1. M

    Mbunge Vuma kuchana kitabu cha bajeti ni kosa kisheria?

    watu wenye wazazi wa namna hii naonaga wamekula hasara sana basi tu ila ndo ivo mzazi mzazi tu,ila kwa kweli kuna watu wanadhalilika kwa kuwa na wazazi vilaza ambao ni wawakilishi wa wananchi.
  2. M

    Machangudoa wa kitanzania na mishe zao za kuchuuza ngono nchini Kenya

    pambaneni mbadilishe iyo pesa yenu kwanza ndo mrudi hapa. Saivi wabongo wanajichukulia tu watoto wa kikenya tutawaoa hadi mashoga wenu huko.PUMBAVU
  3. M

    Mwanaume kama huna hela huwezi dumu na mwanamke

    wanawake wa bongo wavivuu tu. ndo mana hata wanaume wa bongo wenye maendeleo wanakimbilia wanawake wa nje ya nchi jirani. mf Ay,diamon,benpaul nk kwa mujibu wa hela kwako hawa wanaweza kukutunza ila wameona nyie ni wavivu vichwa maji hamuwazi maendeleo mnawaza kuvua chupi tuu ndo mle basi...
  4. M

    Gavana BoT: Wafanyakazi wa benki zote Kuthibitishwa na Benki Buu ili kulinda maadili ya kiutendaji

    kwaiyo bot wakihakiki mateller huo wizi hautokuwepo? na je izo hela za kigeni aliziibia bank gani? alafu azipeleke wapi? kama si alikuwa na backup ya wakuu
  5. M

    Gavana BoT: Wafanyakazi wa benki zote Kuthibitishwa na Benki Buu ili kulinda maadili ya kiutendaji

    sera mbovu vitisho kibao hata mwenye kasenti kakununua dhamana anaogopa mtamhoji katoa wapi hela ndo unategemea bank zitarejesha mikopo
  6. M

    Gavana BoT: Wafanyakazi wa benki zote Kuthibitishwa na Benki Buu ili kulinda maadili ya kiutendaji

    mabank kwa sasa 80% yana oparate kwa loss na wako chini ya mtaji sjui unaelewa mzee
  7. M

    Gavana BoT: Wafanyakazi wa benki zote Kuthibitishwa na Benki Buu ili kulinda maadili ya kiutendaji

    dhaman hairejeshi mkopo bali uimara wa biashara na sera bora za uchumi ndo zitafanya mfanya biashara arejeshe mkopo. haya tufanye dhamana ni jengo la nssf posta alafu mwenye biashara kutokana na sera mbovu hafanyi biashara je litarejesha vipi mkopo hali yakuwa wafanya biashara wote kilio chao...
  8. M

    Gavana BoT: Wafanyakazi wa benki zote Kuthibitishwa na Benki Buu ili kulinda maadili ya kiutendaji

    kumbe mikopo hailipiki sababu ya maafisa? hahahaa kweli tz kuna vilaza aiseee. Wimbi la kutolipika mikopo ni la sasa mbona hawa maafisa walikuwepo miaka ya nyuma na mabank yalikwenda vizuri leo hii useme kuna namna? kwa kifupi bank zinakwenda vibaya kwa sababu ya sera mbovu zilizopo hivi sasa...
  9. M

    Paul Makonda: IST ni gari wanayohongwa wanawake mitaani, siwezi kuitumia na siwezi kumpa askari wangu

    akumbuke ipo siku huenda akarudi kama cargo pale airport kuchukuliwa na yale yakupakulia mizigo...! atambue kuwa wote huenda tukatumia gari moja tuu jeneza ...ajipange sana.akumbuke ameuzuria misiba ya mabilionea kama wangapi? hiki kibri kwa mwanadamu kina mwisho na huwa haupo mbali.
  10. M

    Mwenye IST yenye '4WD'... atupe uzoefu

    Mimi ninayo cc1490 4wd toyota ist kwa siku natembea kama km 66 ivi kutoka home hadi town job kwa kwenda na kurudi ili niwe free kabisa natumia 4.6lts-5lts kwa kwenda na kurudi na kwa kweli gari huwa inatembea speed sana mpaka naogopa wenye ist wenzangu huku nje ya mji wanapata tabu sana pale...
  11. M

    Kwanini Wanaume siku hizi wanapenda wanawake wenye WOWOWO?

    Tetema Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Tahadhari: Magari ya Usalama wa Taifa kutanua wrong side kibabe Tutarajie ajali mbaya zinazozuilika

    Ningekuwa na kiburi sana kwa ajili ya hii kazi ningekuwa mjivuni sana kwa hii kazi nashukuru mungu sikuipata
  13. M

    Bunge laukana Muswada wa Mafao wa 25% kwa 75%. Ladai waulizwe Serikali ndio walioleta kanuni

    Hizi ndo juhudi zinazomtoa mtu upinzani na kwenda tawala kuunga mkono kweli? Mmh
Back
Top Bottom