Search results

  1. M

    Nhif interview tukumbushane wahusika na kufahamishana zaidi

    hv wa tareh 14, ni wanini?je na watere 15 ni wanini,jamani naombeni mnikumbushe maaka mie nimesahau nilichokiomba.
  2. M

    Jamani wadau nhif wametoa shortlist ya interview nunua mwananchi la leo 08.08.2012

    jamani mwenye ilo gazeti naomba anipost humu jamii forum maake wengine tulikuwa tumeshakata tamaa na siku ndo zinayoyoma hivyo,thaxs kwa news japo hawa watu waswahili sana. wanataka watujue wangapi tuna shida ya ajira.
  3. M

    ajira fasta

    duuuuuuuuh
  4. M

    Customer care representatives

    sasa mkuu unachagua kazi?jamani vip bado cv zinapokelewa?
  5. M

    brac kazi

    duh kumbe na ofsi za design hiyo zipo?
  6. M

    Mwenye taarifa ya majina ya sensa kata ya kawe, Makongo na Ubungo.

    kama una jibu mpe,maana hata kwenda huko hana nauli na ndo kwanza anasotea hicho kibarua.
  7. M

    My first Interview next week! nipeni maujanja

    duh na mie mmenipa maujuzuji.ila ujuzi wa kutovaa crazy colour ndo umenichekesha zaid
  8. M

    Customer care representatives

    jamani na mie napenda hata hiyo kazi,afadhalli leo nimegugundua kama kunakubebana.plz naombeni na mie mnibebe.
  9. M

    Sensa

    si ndio elimu sasa hiyo ya kwenda jela.afu si unajua baadhi ya watu wana vichwa vigumu.
  10. M

    Kazi hizoooooooooo...

    hivi mnamaanisha wenye degree tukasome tena?
  11. M

    Kazi za upolisi

    Jamani eti form za kujiunga na upolisi zinapatikana wapi? na mwisho wake ni lini?
  12. M

    Wapi pazuri kwa graduate

    jkt mzeya,we nenda kapige tu depo.
Back
Top Bottom