Search results

  1. C

    Tigo na SMS

    Wadau samahani kuiweka hapa, Mods please iondoe after 1 day ili tupate na kama ipo same mada, please iunganisheni.. ..Tumekuwa tunawasiliana na ndugu na jamaa zetu waliopo nje ya TZ kwa sms, lkn tunakosa reply ya haraka, kumbe sms tunazotuma kutoka TZ, zinakwenda na minamba...
  2. C

    Mishahara WhiteHouse ya Obama... Vp Tanzania

    Wadau kuna link hapo chini ambapo Obama ameweka wazi mishahara ya waajiriwa wa Ikulu yake. Nimeshaangaa kuona ni kitu public..wakati hapa kwetu ni siri kiasi na hatuna hakika kuna wafanyakazi wangapi... Who makes bank at the White House - Yahoo! News In the spirit of transparency, the...
  3. C

    Mlinzi wa Museveni auwa 7 na Kujiua

    Kuna taarifa ya BBC asubuhi hii wameripoti kuwa Mlinzi wa Museven ameua watu 7 bar na baadae kujiua..kamimina bullet za nguvu kadhaa na watu wengi wamejeruhiwa. inasemekana aliibiwa simu na other items...na Changudoa. Ndipo alipokwenda Kambini kuchukua silaha na kuvaa nguo za jeshi na kuja...
  4. C

    Mtandao wa TanzaniaDaima na Virus

    Wadau naona kila nikifungua page(s) ya tanzania Daima napata alert za virus. name "trojan malframe!html" kuna wengine wanapata the same case(s)??? ni vema waarifiwe kama taathira ni kubwa kwa watumiaji. nakumbuka mitandao yetu bongo mingi haikawii kuwa hacked au kuwa na viruses.
  5. C

    Kisa cha Rais Ali Hassan Mwinyi kipigwa kibao akihutubia

    Wadau, Nimepata data muda si mrefu. Inasikitisha ila habari ndiyo hiyo Rais mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi leo jumanne pale katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam amelambwa kofi na Muumini kwa kile kinachoelezwa kama kutetea matumizi ya KONDOMU kwa waumini. Alikuwa akizungumza...
  6. C

    Katuni inayomsumbua zuma

    Wadau kuna huyu "Kipanya" wa South Africa....Zapiro... mnaweza angalia katun zake...very funny... Zapiro's Official Website Katuni imepelekea Zuma amfungulie mashtaka Bwa. Zapiro...angalia na katuni zingine uvunjike mbavu...
  7. C

    Asia- europe fiber cut

    Wadau mnaweza ku-experience tatizo la kusurf internet na mawasiliano Mabaya ktk International calls. Kuna tatizo la Fiber cables zinazounganisha ASIA na Europe... Mods ihamishwe once tatizo la internet litakapokuwa solved...
  8. C

    Dk. Dau: NSSF inastawisha maendeleo

    Wadau nimepita raiamwema nikakuta hio artcle...na yenye Kuendelea...plz fuatilia... Swali: NSSF ya sasa, hata kwa jina, ni tofauti sana na ilivyokuwa miaka ile wakati ulipoingia. Leo mna miradi mikubwa mnayoendesha, kama ya ujenzi wa majumba, ni ipi ya aina hiyo inayoendelea? Mna mingapi...
  9. C

    Wafanyakazi Guardian waandamana kupinga kutimuliwa

    Wakuu Kuna hii imepachikwa leo Mwananchi... Mwananchi Read News Kweli hii habari au watu wana nia Mbaya na Mzee Mengi?...Kufukuza wafanyakazi wengi kiasi Hiki imekuwaje?.... Kwanini waende mwananchi...?wasiende Gazeti Jiingine?...
  10. C

    Bank za kiislam zawa imara ktk uchumi tete wa ulimwengu

    Wadau wakati Dunia ikiwa inaendeshwa kwa Uchumi-RIBA ambao umeonesha big failures ktk kipindi cha hivi karibuni. Bank za Kiislam na Islamic Products zimeendelea kuwa imara kwani uchumi wake umebased ktk UCHUMI USIO NA RIBA... Angalia Habari ya CNBC ktk youtube Pembeni mwa youtube...
  11. C

    Mtoto Kula Mchanga!!!

    wadau au Ma-Dr..wengi kati yetu tuliwahi kula mchanga wakati wa udogo/utoto wetu...na tukapata Minyoo si mchezo...sasa tumekuwa wakubwa tunaanza kuwaona watoto wetu au wa wenzetu wakila mchanga...wakati mwingine ndani kwako Tiles tupu...lkn the way watoto walivyo unashindwa jua...wanavyofanya...
  12. C

    Know where you're going in life

    boat docked in a tiny Goan village. A tourist from Mumbai complimented the Goan fisherman on the quality of his fish and asked how long it took him to catch them. 'Not very long,' answered the fisherman. 'But then, why didn't you stay out longer and catch more?' asked the Mumbaite. The...
  13. C

    AirArabia Sasa kutua Nairobi...Tanzania vipi?

    Wadau kuna taarifa ya kuwa Shirika la Ndege la AirArabia ya Serikali ya Sharjah ya UAE, itaanza safari zake Dubai/Sharjah-Nairobi soon.. tetes zilizopo ni kuwa Nauli itakuwa chini ya dola 300 (dh1000) Hili shirika ndio shiriko lenye viwango nafuu vya usafiri kwa sehem kubwa za Middle East...
  14. C

    Egypt Tycoon Charged Over Lebanese Singer Killing

    Egyptian tycoon Hisham Talaat Mustafa was charged Tuesday with paying $2 million for the brutal killing of Lebanese pop singer Suzanne Tamim, reportedly his ex-lover. Mustafa was arrested and charged with ordering the murder of Tamim at her upmarket flat in Dubai in July, Egyptian prosecutor...
  15. C

    Mzanzibari aliyekamatwa na FBI kwa ugaidi arejeshwa

    Na Salma Said, Zanzibar MTANZANIA aliyekamatwa na makachero wa Marekani kwa kuhusishwa na ugaidi, Suleiman Abdallah Salim (Morris), amerudishwa Zanzibar juzi na Shirika la Msalaba Mwekundu kutoka Afghanistan baada ya kubainika kwamba si gaidi. Akizungumza na Mwananchi nyumbani kwao...
  16. C

    Kanisa laanzisha hifadhi ya wanyamapori

    KANISA la Kilutheri Tanzania (KKKT) Mkoa wa Mbeya, limeanzisha mradi wa hifadhi ya wanyamapori kwa ajili ya kuendeleza sekta ya utalii nchini. Mchungaji wa kanisa hilo, Markus Lehner ambaye pia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Chuo cha Ufundi Mbalizi alisema mradi huo upo katika hatua za...
  17. C

    kanisa katoliki Linakwenda Wapi?

    Wadau nikipitia habari za dunia na nikakutana na hili.. ://www.chicagotribune.com/news/nationworld/sns-ap-odd-nuns-beauty-contest,0,5202028.story ROME (AP) _ An Italian priest and theologian said Sunday he is organizing an online beauty pageant for nuns to give them more visibility within...
  18. C

    Ufisadi Juu Ya Magari Ya Abiria!!!

    Wakuu wa JF, kuna taarifa ya kuwa Serikali imetoa waraka kuwa Gari za Abiria zitakazoingia Tanzania ziwe mwisho 2005(by next Month), yaani gari itakayoingizwa iwe 5yrs back kutoka mwaka unaonunua hio gari. Hii ni tofauti na ile walotangulia inayosema gari iwe ya miaka 10, zaid ya hapo itabidi...
  19. C

    Maisha Mazuri Kwa Kila Mtanzania na Kupanda Kwa Nauli...

    Wadau naona Hali ya maisha inazidi kuwa ngumu sana.... Nauli zimepanda vibaya mno by the so called kupanda kwa mafuta, Hapo hawajasema vipuri....na takataka zake zingine. Kikubwa ni kuwa Kupanda kwa Nauli kutasababisha kila nukta ya mahitaji nayo yapande.bei za vyakula nazo zitapanda...Cost za...
  20. C

    Leseni Ya Kuongopa Ndani Ya Ndoa Na Mwanamke Mwenye Jinsi Habakwi!!

    wana Jambo nilikuwa ktk pitapita huko BBCworld nimekutana nukta 2 ambazo zimetokea huko ITALIA....tunaweza yajadili haya ktk hali ya hapa nyumbani..inawekana haipo..lkn may be ikaja hapo baadae.. 1.licence to lie for ITALIAN women... http://news.bbc.co.uk/2/hi/europe/7284134.stm 2.Women...
Back
Top Bottom