Ukisikia UDINI ndio Huu.
Ina Maana kuna wageni wangapi wa nchi za Ulaya wameingia Nchini ndani ya siku za tukio...lkn hawakukamatwa kujiridhisha!!!
Tuendelee kulijenga Taifa kwa haya yanayotengenezwa na magazeti na Watawala na wale wanaona Kila mwarabu ni Adui...na Kila Mzungu ni Rafiki..."
Mcheshu mwenyewe kapata hio Kazi Kimizenge.....!!! Msitegemee Maajabu!!!
Zilikuja Post kibao hapa za Kusupport nomination yake km vile ilivyosasa baadhi tunavyotetea Uozo!!!
Watu wanatoa Mifano MFU ili tu kutetea Tumbo au Ushikaji....!!! Eti Uwajibikaji Ulizikwa na Nyerere?
Wakati Juzi Juzi...
Kaka Mangikule...Bakwata si imeanzishwa na "Julius", labda utuwekee hizo data halisi za namna Budget yao inavyokuwa na si Vibaya tukujua chini ya Wizara "gani"
Mahakama ya Kadhi najua haijaanzishwa.....si Bakwata wala akina Ponda....Labda utujuze hio budget ya Mahakama ya Kadhi ikoje au...
Jmushi nyinyi Hamtaki Ushirikiano...!!!Sisi kweli tunahitaji kujenga Nchi....!!!Na twajua nchi Inaharibika lkn mambo mengi mnayafanya kwa sense ya "Udini" Sisi na wengine hatuna haja ya Kumsafisha JK, ila mnapoleta sense ya Udini hapo ndipo mnapokosea.
Nyinyi ambao Historia ya Tanganyika...
Jmushi1...unafahamika kwa Udini wako.
Wewe ulitaka JK atoe amri ya Kukamatwa Ponda...kwakuwa hakutoa hio Kauli umesema "Mdini"
Wala hukutaka Kumwambia JK au Serikali ichukue hatua kwa wale waliotoa Takwimu "Feki" Hizi Takwimu Feki even Wizara ya Pinda imetoa Kalenda ikiweka Hizo "Takwimu Feki"...
Hizi Chuki zisizo na Mbele wala Kichwa hazitufikishi popote pale....
Wangekuwa wasomali Ombaomba barabarani sijui tungesemaje...? Watu wanachakarika sisi Tunaumiya mioyo...Hii ni Mioyo ya Hasadi kuona wewe huna, basi na mwezio nae awe hana.
Hivi hizi pesa zinaitwa za Utekaji meli...zinafika...
Hii Hoja muiangalie kwa umakini...uwepo wa Viti Maalum pamoja na udhaifu wake, ndio umeipa Chadema Haki ya Kuitwa Chama wenye wabunge wa Upinzani wengi kule Bungeni...Wakiondolewa hawa...Chadema watakosa Haki hio.
May be kwa katiba Mpya na Uchaguzi wa 2015.....
Article haina chochote cha Ukweli zaid ya kupalilia Hoja za Udini ...Let us assume tunavunja Muungano...Zanzibar wabaki kwao. Setup ya Serikali ya Tanganyika au Chama cha Siasa Tanganyika itakuwaje?......Ina maana waislam wa Tanganyika hawana nafasi?au hawatakiwi?
Labda mwandishi kasahau moja...
ELCT wana hospitali nyingi tu kwanini wakubali Babu afanye Tiba "walioibariki" sehemu ambayo kuna mapungufu mengi tu ya Kiafya? ..!!!
Hapa mnaibisha bisheni lkn kuna "ushirikina" ndani yake...!!!! Huyu Babu hana tofauti na Washirikina wengine.
Ila hawa Jamaa wanaoshangilia baadae wakianza...
Tumesoma Chuo tukipata 2500, Tuliishi nje ya Chuo. main Campus ngumu. Wengine walikuwa wanatoa Rushwa kupata main campus hosteli. .... Kwa sisi watoto wa Kimaskini ukishazoea Hosteli ukimaliza Tu shule utaanza pata tabu. ni vema ukaanza kuzoea kuishi na wananchi mapema. kwa pesa hio hio tuliweza...
Njia Nyepesi ya kukusanya Takwimu ni kuwa na Njia nyepesi na rahis za Utumai wa pesa home Tanzania. Tumekuwa tunawasiliana na ndugu walionje na inaonekana njia zilizosajiliwa TZ ni ghali sana Kutuma, hadi kutumia njia za Envelope kama alivyosema mchangiaji mmoja.
Ukiangalia wenzetu kenya na...
Waislam hawana WIVU ya maendeleo walionayo wakristo. Wakristo ndio wenye WIVU wasiopenda waislam nao kuiubuka...
kama wakristo wana nguvu...Basi waambieni Wafute Misamaha ya KODI....Taasis walizonazo wameshindwa kuziendesha...na lazima wapate support ya Serikali.
Tunachotaka waislam HAKI sawa...
Kuna watanzania wengi tu Katiba ya sasa hawaijui...na nimeona facebook kuna mtu ka-amecomment....kuwa watanzania wangapi wanajua RANGI tu ya Cover ya Katiba ya sasa? lkn leo hii madai ya Katiba MPYA yamekuwa mengi...?
...Hivi wote tumesoma katiba ya sasa au tunafuata upepo wa wanasiasa...
Acha kupandikiza Chuki bila sababu..au ndio lengo lako?...Mkiambiwa nyinyi mnakuja Juu...?
Ni vema allegation zako ziwe na Proof kama CUF wanashare nyingi kule...Mkiambiwa wadini mnaruka...!!!
Hoja zingine zipo very low..!!!
Utasemaje na Watanzania walioajiriwa na Ulaya au Amerika na makampuni ya wazungu?...Hivi hakuna Wazungu wanaoweza kufanya kazi zao? hadi waajiriwa waafrika...? Tusiwe wepesi chukua kila Hoja bila Kupima....!!!
kama Hujui Umuhimu wa Wazungu au Expats..ktk big...
Usimtie mwenzio ktk hatari...Ukikamatwa ujue nyumbani kwenu watakusahau...na bora uombe ukamatwe na polisi kuliko makaka au ndugu wa karibu, wao sheria mkononi....!!! ndugu bora uache uzinifu...Uzinifu ndio source ya Ufukara. Pesa unazochuma huko wakumbuke wazazi ..ndugu au marafiki au majirani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.