Search results

  1. S

    Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

    Shibuda ni Ndumilakuwili, hujuwi hilo?
  2. S

    Mkutano wa CCM Kizota, Novemba 11-13, 2012

    Jamani uwache wajijenge na kujikosoa.
  3. S

    Dereva aingiza basi mtaroni kisa nyimbo za CCM zinamkera!

    Jamani uwo ni Ujinga,Siasa sio Kuuwana.
  4. S

    Critical analysis: Taarifa ya polisi kuhusu jinsi alivyouawa muuza magazeti Morogoro

    ARUSHA WAMEUWA,MOROGORO WAMAEUWA ,IRINGA WAMEUWA NA BADO WANAENDELEA,Je bado wapi?
  5. S

    sakata la mwanamke aliyenyang'anywa mtoto na mhindi; ITV na CHANNEL 5 wafungwa mdomo

    Kaka maigizo,MbOna Muhindi amemchua Mtoto,na dada akiendelea kupiga kelele hampati kabisa.Watanania na wajua Sheria Tumsaidie yule Dada
  6. S

    Hiki kitendo ni cha halali wakuu?

    Ndugu yangu,ukiona hivyo jiandae kupata,Ukimwi,Kisonono na Kaswende.Kaka kama ulimpata demu clabu au baar wala usishangae.Niagieni hiyoooooooooooooo.
  7. S

    Mnyika umesema, wao wamethibitisha!!

    Jamani kwani Babu wa Lolindo yuko wapi?Ndugu zangu hii ndio nafasi ya Waganga wa Kihenyeji kuonyesha Umaarufu ilikuwasidia Watanzania.
  8. S

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hakuna kitu,Timu mbovu
  9. S

    Kova: Kelele Zenu Ni Bure, Ahmed Msangi Ni Mtu Safi. Lazima Aongoze Tume...

    KOVA,anaitaji ushauri nasaa,Tume ngapi zimeundwa,mmepeleleza matukio mangapi,Majibu yako wapi?Mimi nadhani Kova anataka kugombea Ubunge ndio maana anatafuta umaarufu wa kijinga.Katika jeshi letu la polisi kunamsemaji wa jeshi lakini utamkuta Kova anatoa taarifa na kuongea na waandishi.Je msemaji...
  10. S

    Nape atoa shule malumbano ya hoja ITV

    Jamani huyo jamaa ni Gamba gumu,ila muda si mrefu atalainika.Kama anabisha muulize Msabaha,Karamagi na Kingunge.
  11. S

    Eti kuna jamaa kachafua mboga iringa?

    Jamani sio kweli.Mboga imeingiliwa na homa ya mboga(African Swine Fever)
Back
Top Bottom