Search results

  1. G

    wazalamu ninoma

    kweli wazaramo ni noma jamani!
  2. G

    Bunge limeahirishwa kutoka na ajali ya Mv Skagit

    Wadau kuna yeyete mwenyetaarifa za chanzo halisi cha ajali hiyo na je nini kinaendelea mpaka sasa! Tunawapa pole sana wale wote waliofika na ajali na wale wote waliopoteza wapendwa wao.
  3. G

    Mtaji wa (tzs ) millioni 4 unaweza kuanzisha biashara gani? Naomba msaada wadau wa biashara.

    Wadau what matters is not how much you have,but how do u spend the litle you have.4million ni pesa nyingi sana.Unapasawa kuchagua aina ya biashara amboyo mtaji huo unakidhi.Mfano wa biashara hizo ni: -fundua duka la usambazaji mikate. -huduma za MPESA/TIGO PESA/ZPESA NA AIRTEL MONEY. -Mradi wa...
  4. G

    Barclays Bank (Tanzania) yafunga matawi 10 nchini

    jamani namkumbuka mkurugenzi CO wa baclays aliwahi tamka kuwa anataka akiwa angani kwa ndege aone Tanzania yote inashaini kwa rangi ya blue bahari,yaani matawi yameenea kila kona.Yeye alidhani matawi mengi ndo jibu. Tena wanaongoza kwa POS na Macontainer kibaao ...........This is Tanzania...
Back
Top Bottom