Search results

  1. C

    Chama cha CHAUMMA chaendelea kujikusanyia wanachama wengi

    Hizo ni porojo za mitaani tu.Kafulila anakaribishwa na hata wewe unakaribishwa CHAUMMA Tumbiri, Usiwasemee watanzania.Uliwakusanya wapi watanzania ndio wakakueleza hayo? Naomba uendelee kufanya utafiti.Watanzania wanatafuta chama chenye dira sahihi na sera za kuwaletea ukombozi wa...
  2. C

    Chama cha CHAUMMA chaendelea kujikusanyia wanachama wengi

    WANAJF, Chama Kipya chenye usajili wa Muda CHAUMMA kimeendelea kujikusania wafuasi na wanachama wengi Dar Es Salaam na mikoani. Kwa Dar Es Salaam pekee wiki ya kwanza wanachama zaidi ya 45,000 walichukua kadi.Tunaamini zoezi litakamilika mapema kwani ni wanachama 2000 tu wanaohitajika na...
  3. C

    katibu chama cha walemavu Taifa kujiunga CHAUMMA

    Tunaendelea kuwakaribisha wote mnaomini kuwa bado taifa linahitaji ukombozi.
  4. C

    katibu chama cha walemavu Taifa kujiunga CHAUMMA

    Tunayo furaha kupokea ombi la katibu mkuu chama cha wenye ulemavu Tanzania mhe masamaki kuomba kujiunga na Chama Cha Ukombozi wa Umma-CHAUMMA. Alipoulizwa kwann amependa kuchukua uamuzi huo amesema ni falsafa ya UTU NA USAWA iliyojikitika katika misingi ya CHAUMMA. Hizi ndizo taarifa rasmi...
  5. C

    Vigogo CHADEMA wahusishwa na chama kipya - CHAUMMA

    Tafadhali vuta subira.Tunaomba utuhukumu kupitia sera yetu na itikadi itakayowekwa online hivi karibuni.Nilijibu ili kuweka sawa baadhi ya propaganda zilizosambazwa kwa malengo mahususi. Tovuti yetu itakuwa hewani muda si mrefu ili uwe katika nafasi nzuri zaidi ya kuhukumu.Kumbuka chama kina...
  6. C

    Vigogo CHADEMA wahusishwa na chama kipya - CHAUMMA

    Taifa litatikisika na itakuwa historia katika harakati za mageuzi.viongozi na wanachama wenye nguvu kwenye vyama mbalimbali vya siasa watafuata baadae.hatutamzuia mtu yeyote kujiunga na chama chetu.tuna timu kabambe ya kupokea na kuzungumza na makada na viongozi wa vyama mbalimbali wanaotaka...
  7. C

    Ujio wa Chama kipya CHAUMMA na Harakati za ukombozi

    Asante 1-Ofisi zetu ziko Kijitonyama,karibu na soko la Makumbusho block no:45 plot No.376 Dar Es Salaam Simu +255767977330,+255736502056,+255787623541 2-Katiba:Katiba ya chama ya mwaka 2012 na marekebisho yake yatakayofuata itakuwa ndiyo sheria mama na mwongozo au kanuni muhimu na jinsi ya...
  8. C

    Ujio wa Chama kipya CHAUMMA na Harakati za ukombozi

    Nashukuru sana kwa ushauri wako.CHAUMMA si mali binafsi ya mtu kwa hiyo kama mtu anataka kuongoza chama ana fursa.Ni fursa kwa wote walalahoi na wote wenye dhamira njema na taifa hili.
  9. C

    Ujio wa Chama kipya CHAUMMA na Harakati za ukombozi

    Mchaka Mchaka, Si vyema kutoa hukumu kwa njia isiyo ya staha kwa mambo ambayo hayana tafiti.Watanzania tumezoea kujadiliana kwa staha na hata inapotokea tofauti ya kimtazamo.Huu ndiyo ustaarabu na sifa inayowatambulisha watanzania.Asante
  10. C

    Ujio wa Chama kipya CHAUMMA na Harakati za ukombozi

    Asante Tulipigiwa simu kwamba kuna thread imeanzishwa huku.Kwa kweli ilitusikitisha sana hasa kuhusu maudhui na jinsi ambavyo watu walivyokuwa wakipotoshwa/kupotoka.Uhuni na uchafuzi wa aina hii kwenye chama chochote cha siasa hauvumiliki.Kila chama kina mapungufu.Miongoni mwetu ndani ya...
  11. C

    Kova: Kelele Zenu Ni Bure, Ahmed Msangi Ni Mtu Safi. Lazima Aongoze Tume...

    Matumizi ya nguvu dhidi ya matakwa ya jamii hayawezi kukubalika.Hii siyo ishara ya serikali inayoheshimu watu na haki katika kuwatumikia wananchi.Tuungane kuondoa serikali ya aina hii
  12. C

    Ujio wa Chama kipya CHAUMMA na Harakati za ukombozi

    Molemo, CHAUMMA hakipambani na CHADEMA.Hata wanafunzi wa Yesu walimlalamikia kwa kumuambia 'mwalimu kuna watu wanatoa pepo kwa jina lako'.Yesu aliwajibu asiyetupinga yupo upande wetu. Kuna propaganda chafu ambazo zinaenezwa na baadhi ya watu na wengine wakiwa ni watu wa upinzani kwa lengo la...
  13. C

    Ujio wa Chama kipya CHAUMMA na Harakati za ukombozi

    Tarehe 3 mwezi julai,2012 chama kipya CHAUMMA(chama cha ukombozi wa Umma) kilipata usajili wa muda. Kwa bahati mbaya kabisa au kwa makusudi kuna baadhi ya watu wameakueneza propaganda za kukichafua chama hiki.Chama hiki hakina malengo ya kuwagawa wapinzani.Kina lengo la kutanua wigo wa upinzani...
Back
Top Bottom